Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,305
- 4,589
AminaUtavuka inshallah
Sai sana mkuu. Umeelezea vyema. Nakupongeza sana kwa wema wako wa kuwashika vijana mkono wamalize chuo. Mimi pia kwa mwaka huu nitajitahidi kufuata nyayo zako kwa kusaidia hata wawili.Mtoto uzoefu utaupata kwa kumlea, kaa na wazazi waliowahi kulea wanaooenda malezi bora watakusaidia. Jiunge vikundi vya wazazi wapya wenye changamoto sawa.
Kimataifa zaidi tafuta kitabu kinaitwa "What To Expect When You Are Expecting" kinaongelea mambo mengi kuhusu mama watarajiwa.
Kupush utapush tu hakuna jinsi, ukishindwa watakuchana Caesarean lakini hiyo mpaka ushindwe kwanza.
Ukipata mtoto ushakubali kumfanya mtoto ndiyo anakuwa kipaumbele utulivu wako unategemea bosi (mtoto) anatakaje. Akilia inabidi na wewe uwe kama mtoto uanze kuongea lugha yake unamchekesha "achigichigichigichiii... achigichigichigichiii.." mpaka anaacha kulia anacheka, mpaka ananyonya, mpaka analala.
Mimi mwaka uliopita nimewashika mkono vijana watano walio katika hatua ya masomo ya chuo, changamoto ni nyingi sana lakini tunakabiliana nazo mpaka wamalize.
Mimi malengo yangu ni matatu tu 2026
1. Kuanza Phd (chap, mwezi wa tatu)
2. Kufungua NGO (Wiki mbili zijazo naiandikisha)
3. Kuanza mchakato wa kuanzisha chama kipya cha siasa (falsafa ya chama tayari ninayo, jina lipo, logo ipo, na katiba nishaanza ku draft
So, God help me. π€²
KwishaaMimi huyo πππ
Malengo yangu ni mawili tu na hua hayabadiliki,
1.Love the life you live
2.Live the life you love.
π₯π₯Kutanua uwekezaji zaidi mwenyezi Mungu akijalia uhai.
Mtoto uzoefu utaupata kwa kumlea, kaa na wazazi waliowahi kulea wanaooenda malezi bora watakusaidia. Jiunge vikundi vya wazazi wapya wenye changamoto sawa.
Kimataifa zaidi tafuta kitabu kinaitwa "What To Expect When You Are Expecting" kinaongelea mambo mengi kuhusu mama watarajiwa.
Kupush utapush tu hakuna jinsi, ukishindwa watakuchana Caesarean lakini hiyo mpaka ushindwe kwanza.
Ukipata mtoto ushakubali kumfanya mtoto ndiyo anakuwa kipaumbele utulivu wako unategemea bosi (mtoto) anatakaje. Akilia inabidi na wewe uwe kama mtoto uanze kuongea lugha yake unamchekesha "achigichigichigichiii... achigichigichigichiii.." mpaka anaacha kulia anacheka, mpaka ananyonya, mpaka analala.
Mimi mwaka uliopita nimewashika mkono vijana watano walio katika hatua ya masomo ya chuo, changamoto ni nyingi sana lakini tunakabiliana nazo mpaka wamalize.
Kuwa bora kuliko 2025.
Uzi unaendelea kama hivi hahahaNasubiri uzi π
Mi nataka kuwa na furaha tu
π«π«Kuendelea kuishi na kuyafurahia maisha!!
Basi ulitakiwa kutoka kwenye mitandao ya kijamii, uwe bize kumpikia dikodiko mumeo ili mbegu zipate rutuba zaidi.
Huku mtandaoni tuachie sie ving'ang'a.
Hi people,
Heri ya mwaka mpya
Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu
Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa
Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
Kingine napenda utulivu,nikimpata mtoto anayelia lia sijui itakuwaje
Mambo ni mengi lakini yote kwa yote mwaka huu lengo kuu ni mtoto...nipo very excited actually
Wewe je?
Uzi bado....
View: https://youtu.be/Nm8d5ekU6Bs?si=rFwlEcjHFTpWTE8Q
Kufanikiwa kiuchumi na kusimama mwenyewe independently.
Ila Sasa njia yangu mie nnayopitia ni maporomoko miinuko,Kuna mda utanishangaa
Ila Naamini ntavuka
Shule zifunguliwe jamani.
Kha
Hapo biashara inakua ya naniMalengo yangu 2026 ni kumfungulia mkee wangu biashara. Sina malengo mengine
Kazi ya saidia fundi nitapata mkuuKumalizia ghorofa langu huku kigamboni
Kunyonyesha atakuuma ππAsante sana mkuu
Hicho kitabu sijui naweza kukipata kwa softcopy?
Loooh kunyonyesha napo sijui itakuwa inatekenya ama sijui hisia ni ile ile nayoijua π