takashi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 905
- 188
Mzee malecela amesema kwa mujibu wa magazine moja linalochapishwa marekani, Tanzania itakuwa ya 11. Aliisoma magazini hii akiwa marekani (hivi karibuni) hajasema lini. Hiyo magazine ilisema miaka 20 ijayo, China itakuwa ya kwanza ikifuatiwa na India, ya tatu Marekani na Tanzania Ya 11. Amesema Tanzania ni ya 3 Africa kwa utoaji dhahabu, Soda ash ni ya pili Duniani baada ya Marekani, Makaa ya mawe tunayo mengi sana. SISI SIYO MASKINI!..Source: Dkk 45, ITV
Huyo mzee alikua amevuta unga?