Malecela: Magufuli hatarini

Kikwete(Rais Mstaafu) ana ulinzi mzito kuliko Magufuli.Why?

Kwasababu yeye hakuwa anawatendea haki Watanzania walio wengi. Amesha fanya dhuruma nyingi kiasi kwamba hawezi tambua yupi ni rafiki au adui yake. Roho yake haina amani. Na hata Kifo chake kitakuwa ni cha masumbuko sana. Magufuli yeye anafanya kazi kwa kufuata sheria na kumtanguliza mungu, Pale kwenye ukweli pata endelea pa kweli. Hata unapo shtakiwa wakati unajua wazi kweli ulitenda kosa zile nguvu za kutaka kulipiza kisasi zinatoweka na kupotea.
 

Duuu jamaa unaelewa kweli system ya bongo
 

Naona umevimbiwa kibaraka mkubwa kwanini husianze na babako?
 
nini 14:58 Today
Nani amuongezee ulinzi ilihali yeye ndie
serikali.si ajiongezee ulinzi.japo mi naamini
watanzania tupo pamoja nae.

mlinzi wa kweli ni Mungu , tumwombee

Hiyo ndiyo point kubwa kuliko kubwabwaja yaani wao wana machungu kuliko yeye?
 
Thubutu! Nani amdhuru hakuna kitu kama hicho kwa Tanzania. Hilo la kusema atadhuriwa si la kuhofia hata kidogo. Nasema kwa herufi kubwa HAIWEZEKANI. Labda Somalia.
 
Vipi cc ya ccm jana iligusia meli ya kigogo iliyokamatwa ughaibuni na meno ya tembo?

Hapa agenda ni ulinzi wa rais we unakurupuka na meli iliyokamatwa ughaibuni wapi na wapi
 
Rais akipatwa na tatizo lolote from now huyu mzee inabidi atafutwe anyooshe maelezo....
 
Amiri jeshi mkuuu wa. Majeshi ya ulinzi na usalama aongezewe ulinzi na nani,?? Mambo mengine bwana!!
 
Naamin Mungu atamlinda.



Wee acha kumsingizia Mungu... ajilinde kwa nguvu zote, then Mungu ndio nae atamsaidia... CCM ni mafia hatari sana... wana kolimba... CCM hawana UTU wala Macho... so Magufuli ajikinge na CCM kuliko kitu chochote kile... acheke nao tu mdomoni..ila ajue moyoni CCM ni hatariii sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…