Malecela, Chitalilo Vs Dr Slaa

Hapa hatuongelei chama hapa.

Huwa, nakataa 99% ya anavyovisema jamaa, na hasa style yake ya majadiliano pale anapokuwa cornered ku defend "dataz" zake kwa wale tunaokataa kuzibugia bugia kama maji ya sharbati.

Hapa nimekusanya nguvu kumpa credit kwa ile comment kwa sababu zisizohusiana na itikadi za chama hata kidogo.

Notice, nimesema sio binadamu wengi wanaweza kufanya alichosema pale. Kama ni objectivity kwenye siasa za vyama ni wengi tu wako fair-minded kwenye hilo. Kwa hapa kuna nobility that runs deeper that party politics.

Interesting...

By the way, nimekuangalizia kwenye kamusi ya English-Swahili kuhusu maana ya neno naivete. Kwa mujibu wa kamusi, maana yake ni ushamba!

Kwa mujibu wa kamusi niliyoangalia, maana ya neno naive maana yake ni...ujinga ujinga
 
Mkuu ndilo tatizo lenu wote mnaofikiria mnanifahamu, sasa nafikiri utaelewa kuwa sina mchezo na taifa hata siku moja, kwenye mzee amekosea period Dr. Slaa ndiye muanzilishi wa ishu ya mafisadi, na mimi ndiye niliyekuwa wa kwanza hapa kuleta list ya mafisadi kabla haijawekwa hadharani,

Na ninajua nilikoitoa ile list ndio maana ninasema wazi kuwa kwenye hili mzee yupo off the line! It is abpout opur nation sio individulas haina nafasi kabisaa!

Labda sijamuelewa vizuri Mzee Malecela lakini kuna mambo mawili, unaweza kukuta ya kwamba anapoongelea kuanzisha hoja ya Mafisadi na Ufisadi anaongelea kwamba CCM ndio walioanzisha akiwa na maana ya kwamba CCM ndio walioanza kuwa Mafisadi na si kufichua suala zima la Ufisadi!

Unajua huyu mzee anatakiwa afahamu kwamba huko Bungeni wao sio watoto wa Darasa la pili wakishindana nani wa kwanza kuingia darasani ama nani ana bukta za michezo nyingi!!! Anatakiwa afahamu kwamba huko Bungeni ni Maslahi ya Taifa na Utaifa Wetu Watanzania ndio unatakiwa kutazamwa na kupiganiwa na si kutaka pata 'credit' kwamba wao waliibua issue ya mafisadi!

Muda umefika wanatakiwa kujifunza kuwa na aibu hawa!
 
Hizi ndio siasa za kiafrika. Poor we, yani wanapoteza muda kusema nani kaanza? Wameishiwa. Muda si mrefu utasikia mengi tu
 
Hivi ni lini na siku gani vibogoyo wote wataondolewa bungeni na serikalini? hasa huyo malecela na kingunge anayedai bado anajisikia kufanya kazi.Mbona tuna vijana wengi tu wenye elimu zao lini watafanya kazi au bado tunaendekeza libeneke la vijana ni taifa kesho.siku si nyingi nitakwenda HARDWRE kununua panga ili niingie msituni kwa maana siwezi kupata smg.
 
una mahusianp na moshij au ndo wewe?

mkuu mawazo haya si pahala pake jamvi hili nnasikia kuna face book sijui face nini
 
Ukiingia msituni na panga lako utaenda kufyeka miti ama? tukumbuke kwamba tunahamasishwa kutunza mazingira.

Vita ya safari hii ni vita ya Hoja, na Nguvu ya Hoja... ni vita ya kupigania Demokrasia, vita ya kuuacha ukweli ufahamike na kuweka ukweli wazi ili kila Mtanzania afahamu thamani ya Utu na Utanzania wake.

Vita ambayo tutashinda siku ile ambapo tutaamka na kupiga kura ambayo itatuhakikishia kwamba tunajiongoza wenyewe.... na tutakapoacha kupiga kura ya kula.
 
Hapa swala ni kusafisha mafisadi mambo ya nani kaleta hoja wangeyaweka pembeni kwanza lazima wajijue kuwa lengo lao ni moja kwa taifa na si kwa chama. mbona watu wazima wanakosa busara kiasi hiki?
 
Plan A IMEKUFA SASA WANAJINYEA NYEA!
Nilipowaambia huu ni wakati wa MUNGU WALIBISHA!
SASA NAONA PLAN B NI YA WAZALENDO!
HAKI NI SHERIA.
 
Peter Serukamba is just a disgrace to his constituents and the nation,i'll send my check to anybody who'll challenge him(next election)....he must be defeated....what about that guy Chitalilo? is there any way to bring a private lawsuit against those charges... just to bring him down
& shame the guy!
 
una mahusianp na moshij au ndo wewe?

mkuu mawazo haya si pahala pake jamvi hili nnasikia kuna face book sijui face nini

Unaogopa sana panga wewe? we endelea tu kusuport hao mafisadi halafu ukisikia panga unaruka , mwisho wa uwovu ni panga tu. kama hutaki mapanga jiuenge na sisi tunaotaka mageuzi bungeni kwa njia ya halali.
 
una mahusianp na moshij au ndo wewe?

mkuu mawazo haya si pahala pake jamvi hili nnasikia kuna face book sijui face nini

Ni kivipi kauli hiyo hapo juu inaonyesha uhusiano wake na mimi?
Naomba jibu tafadahali ili na mimi niweze kuweka msimamo wangu wazi ambao wewe umeshajiamulia kuwa ni upi.
 
Field Marshall, huyu ni wewe huyu, au nina makengeza?

Ok, for the record, hongera kwa kuwa objective, independent, fair-minded and genuinely patriotic, for once.

Sio binadamu wengi duniani wanaweza kufanya ulichokifanya hapo.

Upande wa wazalendo UMAINTAIN DISCIPLINE!
WATAKUJA WOTE...TARRTIIIBU!
 
Hii inawezekana ni mbinu ya CCM kuwatoa watu kwenye hoja ya msingi na kuwaingiza kwenye marumbano yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Huyu Malecela anafahamika kuanzia pale alipopendekeza Kabwe asimamishwe. Infact hana jipya kwa sasa na anazeeka vibaya kama anajiweka kwenye kundi la Chitalilo-jambazi la kughushi vyeti vya elimu.

Mchango wa mbunge haupimwi kwa malumbano yasiyokuwa na msingi bali impact kwenye jamii inayotetewa.
 
Waanzishaji wa hoja kuwa ccm hakuwapi credibility ya kuwa wamaliziaji wa hoja kwani imehusika moja kwa moja kwa kupitia viongozi wake wakuu!

Na ndio maana nilimpa Killango muda wa kuondoka huko akabisha!
Sasa wanataka kututeka akili tena!

Kwasababu watajali maslahi ya chama chao badala ya Taifa!
Upinzani wa kweli ndio wanao call the shots now since ukweli wote uko nje nje!

WAKAMATE HAO MAFISADI LA SIVYO WATATULETEA MATATIZO ZAIDI KWENYE TAIFA LETU!
 
Waanzishaji wa hoja kuwa ccm hakuwapi credibility ya kuwa wamaliziaji!Kwasababu watajali maslahi ya chama chao badala ya Taifa!
Upinzani wa kweli ndio wanao call the shots now since ukweli wote uko nje nje!
WAKAMATE HAO MAFISADI LA SIVYO WATATULETEA MATATIZO ZAIDI KWENYE TAIFA LETU!

that is why I said think about it.. which you refuses!
 
Hii inawezekana ni mbinu ya CCM kuwatoa watu kwenye hoja ya msingi na kuwaingiza kwenye marumbano yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Huyu Malecela anafahamika kuanzia pale alipopendekeza Kabwe asimamishwe. Infact hana jipya kwa sasa na anazeeka vibaya kama anajiweka kwenye kundi la Chitalilo-jambazi la kughushi vyeti vya elimu.

Mchango wa mbunge haupimwi kwa malumbano yasiyokuwa na msingi bali impact kwenye jamii inayotetewa.

Killango alisababisha akafukuzwa Bungeni.
Kikwete akamweka kwenye kamati ya madini na SIMBA ambaye kwa kutumia cheo chake cha ccm WAZAZI..ALIKWAPUA PESA ZA EPA!
zitto na kikwete sasa wanamsapoti Killango aliyesababisha zitto akatolewa bungeni na kupelekwa kwa kikwete kamatini!
Sasa wanarudi tena huko bungeni ambapo awali hapakufaa...Wanataka tuwasikilize kuhusu kurudishwa kwa pesa za EPA ambazo sasatunajua kuwa hakuna senti iliyorudishwa na ZIMBABWE!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom