Malazi jijini Arusha

Malazi jijini Arusha

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,521
Reaction score
13,999
Wadau na Marafiki JF..! Karibuni sana kwenye HOTELI yetu mpya inaitwa PENGUIN RESORT HOTEL,Iko Sakina mita 900 toka Triple A Night Club. Tuna vyumba 31 vyenye hadhi na ubora wa juu,kuanzia maji moto,vitanda,Tv,hadi balcony.Bei zetu ni nzuri sana kuanzia elfu 35 pamoja na full breakfast. Tuna punguzo kubwa la bei kwa wale watakaokaa muda mrefu.Karibuni wote.! Website www.penguinhotelarusha.com
 
Hotel nzuri ila barabara mbaya sana. Rekebisheni
 
Napenda sana kutembelea Arusha, nitafanya booking kulala hapo next time nikija Arusha.

Tiba
 
Wadau na Marafiki JF..! Karibuni sana kwenye HOTELI yetu mpya inaitwa PENGUIN RESORT HOTEL,Iko Sakina mita 900 toka Triple A Night Club. Tuna vyumba 31 vyenye hadhi na ubora wa juu,kuanzia maji moto,vitanda,Tv,hadi balcony.Bei zetu ni nzuri sana kuanzia elfu 35 pamoja na full breakfast. Tuna punguzo kubwa la bei kwa wale watakaokaa muda mrefu. Mawasilaino Reception/Meneja 0272547711 au 0752489529.Karibuni wote.! Website www.penguinhotelarusha.com
Umewalipa jf hela ya matangazo? Maana hili siyo tangazo dogo tena. Hata hivyo ni hotel nzuri lakini iko uswahilini...barabara magari hayapishani....
 
Umewalipa jf hela ya matangazo? Maana hili siyo tangazo dogo tena. Hata hivyo ni hotel nzuri lakini iko uswahilini...barabara magari hayapishani....

hii hotel ipo kwa wapi jamani? au ile rough road ya white rose?
 
Umewalipa jf hela ya matangazo? Maana hili siyo tangazo dogo tena. Hata hivyo ni hotel nzuri lakini iko uswahilini...barabara magari hayapishani....
Haiwezekani Hoteli zote ziwe location moja,tunaamini soon kutabadilika na kuwa Uzunguni,hata mbuyu ulianza kama Mchicha..!
 
Kwanini isiwezekane? au mnaogopa ushindani?!
Ushindani haukwepeki ila,just think hotel zote ziwe sehemu moja,then itakuwaje kwenye sehemu nyingine.Biashara ya Hoteli inategemea zaidi location na ni moja ya kigezo kikubwa cha kuuza Hoteli.
 
Umewalipa jf hela ya matangazo? Maana hili siyo tangazo dogo tena. Hata hivyo ni hotel nzuri lakini iko uswahilini...barabara magari hayapishani....
JF wanajua namna ya kupromoti wajasiriamali wadogo,kwa kuwapa free advert kupitia Business Forum,sawa uswahilini lakini hoteli iko poa na facility zote ni modern,kumbuka huku ni mtaani so magari kuishana kama High way ni ngumu ndugu,ila karibu sana..!
 
Back
Top Bottom