Ziwa Nyasa imo Malawi so wa tanzania mwafaa kuwacha ku deka
Na ziwa Tanganyika tuwaachie Wakongo.
Ziwa Nyasa imo Malawi so wa tanzania mwafaa kuwacha ku deka
Tanzania should know that it is playing with fire. Uganda smashed them as dogs. We will smash them as rats!! Watch out Tanzania!!
Huyu mbwa hata historia haijui....hawa dawa yao ni kuwapa kile wanacho kitaka tuuu
Kwa meseji hiii yule mlinzi na mkewe leo hiii hiii wanafunga vilago vyao na kuliacha boma langu lilitwe na ndugu zangu
Upeo mdogo wa kufikiri,kama huna cha kuchangia kuhusu nchi yako baki kuwa msomaji wa thread sio unataja taja jina la JK tu.Hatujawahi kuwa serious kwa mambo mengi watanzania na hasa baada ya JK kuingia madarakani. Hata ktk hili tulikurupushwa tu
.........afisa yupo sahihi kwamba sisi tunalinda mipaka yetu, maana wao wanaonekana washari basi walinde hiyo ya kwao ambayo iko kwenye ufukwe wa ziwa Nyasa, hawataki mazungumzo, basi walinde mipaka yao,, BRAVO AFISA JESHI, haya ndio maneno ambayo baba wa taifa alipenda watu wayasikie.Hata mimi nimemsikia, nadhani ni wale viongozi wa jeshi letu waliozoea kufikiri kwa kutumia masaburi.
Tanzania tunadai mpaka uko katikati ya ziwa na Malawi wanadai mpaka uko kwenye pwani ya ufukwe ya ziwa nyasa upande wa Tanzania, sasa kila mmoja akitumia nguvu kulinda mpaka wake hapo si ni kuanzisha VITA.
Usiombe Hilo litokee tutachapwa na mwanamke, wenzetu Wana support ya us na uk, uchumi wao una waruhusu wakati tz Hazina yetu haina ata pee matrip ya viongozi na ufisadi wote unaingia kwenye deni la taifa, wanajeshi wetu wote vitambi na silaha zime expire mpaka zinatulipua wenyewe wenzetu Malawi Wana guarantee ya kupewa non pilot chopper na western tutaleta aibu na hasara kubwa kwenye taifa hili la ki sultan.
Upeo mdogo wa kufikiri,kama huna cha kuchangia kuhusu nchi yako baki kuwa msomaji wa thread sio unataja taja jina la JK tu.
isomeke hivii malawi yasitisha mazungumzo na tanganyikania, uwezo na sababu tunavyo, why cant we try to measure our army strength bwana, mimi mzanaki huwa hatunaga kulemba, tema nkuteme...halafu huyo mama na jeshi lake wanakuwa manzi ga nyanza.
KWA MUJIBU WAPICHA: maza Hamuamini JK maana yeye alikuja na bible huku watu wake wakiwa kanisani wana omba kwa mashaka,wakati JK alikwenda na sura mbili kulia ni mjeshi kaficha mtutu kwa nyuma,huku majeshi yake yakiwa majanini na mitutu tayari kulianzisha na kushoto anampa mkono wa ki raia,mama kaliweka moyoni.sasa naona kaamua kulipua.LIWALO NA LIWE.Huyu mama ni mkorofi, lakini ni bora kwenda UN
Acha mzaha katika mambo ya maana.Hiyo guarantee umeiona au ulioteshwa?Malawi haina bandari,silaha watapitisha wapi?Msumbiji au Afrika kusini?ukipata jibu tu mwambie Joyce aanzishe vita
Upeo mdogo wa kufikiri,kama huna cha kuchangia kuhusu nchi yako baki kuwa msomaji wa thread sio unataja taja jina la JK tu.
View attachment 67045 KWA MUJIBU WAPICHA: maza Hamuamini JK maana yeye alikuja na bible huku watu wake wakiwa kanisani wana omba kwa mashaka,wakati JK alikwenda na sura mbili kulia ni mjeshi kaficha mtutu kwa nyuma,huku majeshi yake yakiwa majanini na mitutu tayari kulianzisha na kushoto anampa mkono wa ki raia,mama kaliweka moyoni.sasa naona kaamua kulipua.LIWALO NA LIWE.
Jamani si wawape tu hawa waMalawi bado tu hii kitu haijaisha