Malawi stops talks with Tanzania on Lake Nyasa/Malawi Dispute

Joyce anataka kulitoa ziwa ila anaogopa political impact yake. Anapeleka mahakamani ili lawama itupiwe mahakama na si chama chake. Wangegawa kwa mazungumzo chama chao ndio ingekuwa byebye kisiasa...
 
nia, uwezo na sababu tunavyo, why cant we try to measure our army strength bwana, mimi mzanaki huwa hatunaga kulemba, tema nkuteme...halafu huyo mama na jeshi lake wanakuwa manzi ga nyanza.


Usiombe Hilo litokee tutachapwa na mwanamke, wenzetu Wana support ya us na uk, uchumi wao una waruhusu wakati tz Hazina yetu haina ata pee matrip ya viongozi na ufisadi wote unaingia kwenye deni la taifa, wanajeshi wetu wote vitambi na silaha zime expire mpaka zinatulipua wenyewe wenzetu Malawi Wana guarantee ya kupewa non pilot chopper na western tutaleta aibu na hasara kubwa kwenye taifa hili la ki sultan.
 
but wait a minute....i could still be wrong here. am i smelling something horrible here? aren't we being set up to be the vehicle for the re-emergency of another cold war era in its modernity?
maana huyu mama anaonekana kama vile ame-bed in vizuri sana na wakubwa wa west. vipi TZ....with the eastern camp?

GOD forbid lakini!!

Tatizo the Kikwete administration behaved more like a prostitute who wants to jump into bed with every man!

The Americans now know our military weakness through AFRICOM( US AFRICA COMMAND). It is said two weeks after the retirement of Waitara JK opened doors to military cooperation with the US. Waitara had opposed such a move before

America/Britain behind the scenes want Malawi to get that oil and in the event that the oil is shared with Tanzania, chances that America/ Britain will monopolise this oil are very slim
 
liwalo na liwe, ni vita ya malawi tu ndio imebaki kuwa mtaji wa kisiasa kwa ccm ktk uchaguzi wa 2015, vinginevyo ccm byebye.
 
Vitabu nilivyowahi somea vilikuwa vyote vina ziwa liligowanywa vipande vitatu malazi wakiwa na kubwa katik hiyo half, wati mozambique wakishare kipande.Ila nilianza pata hisia za conflicts nilipoanza sikia wengine wakiliita Nyasa wengine malawi. Hakuna sabau ya kuogopa US wala UK. Wakileta zao tunawaweka Russia na China In the board huku tukiwasha moto upande wa Zambia na Mozambique,kwani napo malawi hawana amani sana Tunawarudisha Sufuri tena.Ingawa nina mashaka sana na uwezo wa CCM.Na mud amwingi watapoteza kujilegeza nakuigilia mipango ya Jeshi.

Wakicheza tunajaza viazi katika upande wao wote.Wajinga kweli hawa, ile meli yetu alikuwa ikilipa kodi kwao enzi zile?
 
you are right. kila party inajua inachokitaka...

all this dialogue nonsense ilikuwa ni usanii tu... more to draw the attention of those western sharks. I think.

but wait a minute....i could still be wrong here. am i smelling something horrible here? aren't we being set up to be the vehicle for the re-emergency of another cold war era in its modernity?
maana huyu mama anaonekana kama vile ame-bed in vizuri sana na wakubwa wa west. vipi TZ....with the eastern camp?

GOD forbid lakini!!

Mhnnn..i think ssm and its gvt allies well with middle east (we are in trouble).
 
CCM imepoteza ile nguvu tuliyoitafuta kwa bidii kubwa ktk ukanda wetu huu wa Africa.Tungekuwa ktk position ya kuwafanya waisngereza na wamarekani wajifikie mara mbili kabla ya kumsupport malawi.In anyway wanaweza amua kipi bora Uranium Yenu na madini mengine au vimafuta zilivyopo upande wa Tanzania kupitia malawi.

Ni sisi tujiweke sawa ili US waone ni wapi wanaweza jikuta wakiwa na hali ngumu ukanda huu kama enzi ya mwalimu.
 
CCM imepoteza ile nguvu tuliyoitafuta kwa bidii kubwa ktk ukanda wetu huu wa Africa.Tungekuwa ktk position ya kuwafanya waisngereza na wamarekani wajifikie mara mbili kabla ya kumsupport malawi.
Enzi hizo wakati marafiki zetu kijeshi ilikuwa China na Urusi tu
 
Malawi is contemplating reporting the lake dispute issue with Tanzania to International Court of Justice (ICJ).
President Joyce Banda told journalists in Lilongwe on Tuesday that the issue has gone too far and Malawi will seek international help to ensure that justice prevails, saying Malawians cannot entertain embarrassment whenever they want to fish on the lake.

“The lake issue has gone to next step. I have decided to take to International Court of Justice to determine and resolve this wrangle,” President Banda said.


President-Banda-speaking-at-a-news-conference-at-the-New-State-House-Tuesday-on-her-attendance-of-the-UN-General-Assembly-in-Ne-e1349193898196-300x257.jpg
President Banda speaking at a news conference at the New State House Tuesday on her attendance of the UN General Assembly in New York.-Photo by Sam Makaka/Mana


Banda explained that government through Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation wrote their Tanzanian counterparts over the issue of producing new map that include part of Lake Malawi.

She said the agreed follow-up dialogue meeting that was supposed to be held in Tanzania was called off after realizing that they had produced new map, saying unless they have responded to the letter then Malawi can decide whether to go ahead with the meeting or not.

“We decided to call off the follow-up dialogue meeting over the lake issue after we discovered that Tanzania had issued a new map with part of our lake. If they don’t respond to our letter, we will look at alternatives.
“Government through Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation wrote them and we are waiting for their response,” she added.

President Banda returned home on Tuesday from United States of America where she attended the 67th United Nations General Assembly which started on September 25 through October 1, 2012.
During the Summit, President Banda made her first maiden speech at the General Assembly. In her speech, she commended the President of General Assembly on the theme as it offered an opportunity for world leaders to reflect on the devastating effects of conflicts on the lives of millions of people.
She also told the Assembly that achieving sustainable development for all was the best way to ensure a peaceful and stable world, saying the greatest threats to peace are poverty, lack of opportunity and hope.
The President also shared her vision of transforming Malawi by eradicating poverty through economic growth and
wealth creation.

Minister-of-Information-on-the-left-the-Vice-President-the-President-and-the-Minister-for-Foreign-Affairs-on-the-right-at-a-.bmp







 
Raisi Joyce Banda aliwaambia waandishi wa habari kwamba
kwa hapa ishu ya ziwa nyasa ilipo fikia,anaona meza ya mazungumzo
haina umuhimu tena,ila kwenda mahakama ya haki ya kimataifa,(ICJ,International Court of Justice).

Hebu na tuone jinsi wamalawi wanavo tuona sisi watanzania,je ni haki kwa wanavo tu judge?

Kwa comment zao zaidi,fuatilia hapa
 
Hizi ni baadhi ya comment zao.

Thats only way 2 go Mama,these greedy-half-educated Taifas r yet 2 be embarrassed in ICJ

when did lake Malawi started belonging to TZ,I think best solution now is to start fasting

Lets get our amoury to the boaders so that Taifa knows that we are serious.

When you went to Mozambique you had a sideline meeting from which you told us President Kikwete was your brother. Know from today that in diplomacy the words sister or brother do not mean what you know.

That is the way forward. USA drones will come and incernarate and smother Jakaya. Sadam Hussein invaded Kuwait where is he.Watchout Jakaya

Do not hurry or lose temper madam.What KIKWETE is doing is politics to show his people that he is with them.This president knows quiet well that the lake belongs to Malawi.As a leader there is no way he can lead in accepting to lose but to disguise as if he is also fighting for the lake.There are strong men in Tanzania who can not see and if Kikwete puts himself ,would be proved weak.Koma nanuso mayi mataifa mwatenga ngati a Malawi,giving them our own business and leave us to starve.Remember Jusus said to the JEWS first.

this is the price to pay for dicovering oil and gas in the lake

Madam! up to now you never knew that these Taifas are crooked.You can not do business with them.If you did not know ,know it from now.I have a friend in Lilongwe who has just lost K7,000,000 to his partner in Tanzania.When he tried to report to TZ Police ,they turned against him.Never to engage in any business,they are second to Nigerians and they never accept Nigerians to live in their country.

u hv part of indian ocean n lake victoria plus lake tanganyika,y r u taifas so greedy?mwalimu julius nyerere n benjamin nkapa acknwlgd zat ze whole lake belongs 2 us and kikwete thinks is wiser zan ziz great african heros,i dnt tink so…!nt even a spoonful drop of water shal u taifas get, zats ze way 2 go madam JB

This creature called Tanzania killer is as brainless as his president Kikwete. I am convinced that he has phlem (mamina) for a brain. The lake belongs to Malawi 100%. We'll take arms to defend our lake and our country from these sadists and the agents of satan.

The ICJ will rule in our favour, Malawians are not cowards but peace loving people, but if these stupid swahilis want to stretch our patience to the limit, we will definately react and Dar salaam will live to regret for the lest of their life. Fotsek, stupid Tanzania

I now believe that most leaders who are moslems like to act as islamist terrorists this can be seen in kikwete

Tanzania should know that it is playing with fire. Uganda smashed them as dogs. We will smash them as rats!! Watch out Tanzania!!
 
Huyu ni mtanzania,...

Poor nyasas think because they accepted hommosexuality they are now on good side of Clinton's..FYI to them you are just some poor black gays period..you have nothing of interest to them.

Why bothering yourselves with the ICJ, why dont you bring your gunboats over and see what happens!!Really?the army of hommos?…
 
mkuu kweli Tanzania sasa inapitishwa kwenye moto!hawa wanachokifanya ni kutuchezea kisiasa ili sisi tutake kutumia nguvu ili jumuiya za kimataifa zituchukie na kum-favour mmalawi,...kumbuka mama Banda na serikali yake wanajua vizuri even if they are allied with some external powers still the damage of war would be beyond their comprehension,.....na pindi we start to mobilize our troops kutishia vita kama baadhi ya wanasiasa walivyofanya hapo awali ndipo Jumuiya hizo zitakapo kuja kwenye suddenly conclusion kwamba Tanzania is a bullying state kwa kudai kwamba toka mwanzo nyerere na Tanzania tulitumia the same method....trully its a very advanced move ambayo it needs advanced calculations kui-solve....for half a century now we were good at solving others disputes now its ourselves dying alone and betrayed even by contries which clinged unto us and possed as our sister states.
 
Ziwa hili hata kama kuna makubaliano ya wazungu miaka ya 1890 bado hayatazuia kamwe watanzania kulitumia ziwa hili na kumiliki sehemu ya ziwa,. Watanzania walikuwepo hata kabla ya malawi kupewa ziwa na mzungu. HAKUNA ATAKAYE TUNYANG'ANYA HAKI HII TULIYOPEWA NA MWENYEZI MUNGU!.. Hata mahakama ya kimataifa haitafanikiwa katika hili!.. Wakazi wa kando ya ziwa upande wa TANZANIA WAISHIJE?
 
Katika hili mimi nasema AFRIKA haiwezi kuungana kamwe!.. Iwapo waafrika mgogoro mdoogo kama huu hatuwezi kuumaliza mpaka wazungu wawepo, ni wazi USA ya Afrika ni ndoto za mchana!
 
Huyu Mama naye mzushii..hilo Mbona Tunalijua na Hata Membe alilisema kwenye Speech yake Kwamba Sasa UN ndio wataamua...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
IWAPO wazungu wataibeba malawi, na mambo mengi tunaweza kufanya. Sehemu kubwa ya mito inayojaza maji katika ziwa hili inatoka TANZANIA. Hivyo mito yote kama Mbaka, Songwe, na Kiwira itumike katika kilimo cha umwagiliaji ili mpaka tunaoutaka tuufikie.. Ndani ya miaka 10 ziwa hili litakuwa limepungua maji kwa kiasi kikubwa na eneo kavu lililokuwa sehemu ya ziwa litapatikana..
 
Back
Top Bottom