Malawi stops talks with Tanzania on Lake Nyasa/Malawi Dispute | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi stops talks with Tanzania on Lake Nyasa/Malawi Dispute

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 3, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  By Mabvuto Banda | LILONGWE (Reuters)

  Malawi has cut off dialogue with Tanzania in a long-time territorial dispute concerning Lake Malawi, thought to sit over highly coveted oil and gas reserves.

  Malawi claims sovereignty over the entirety of Africa's third largest lake, while Tanzania says 50 percent is part of its territory. The row, which goes back half a century, could worsen if significant oil and gas discoveries are made.

  Malawian President Joyce Banda said late on Tuesday she believed Tanzania had raised tension by moves such as alleged intimidation of Malawian fishermen on the lake, which also borders on Mozambique.

  "I was of the view that the matter is being resolved through dialogue but now it looks bigger than I thought. While in New York, I wrote them (Tanzania) telling them that there is no point going on with the dialogue," Banda told a news conference in Lilongwe.

  Tanzanian foreign ministry officials were not immediately available for comment on Banda's remarks.

  The Malawian leader also cancelled a planned visit to Tanzania this month for talks on the dispute.


  ENDELEA @ REUTERS

  My Take:
  Kuna kitu ambacho kinaendelea na Malawi inaonekana wanajipanga vizuri zaidi. Ina maana TZ itabidi iwabembeleze.

  Miye nilitoa ushauri wangu; Tanzania ianze utafiti upande wake wa Ziwa Nyasa tuone Malawi itafanya nini? Na kwenda ICA hatuendi.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hapa dawa ni kuanza na sisi kufanya utafiti wa mafuta Ziwa Nyasa!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Intelligensia imeelekezwa kwenye wrong issues, badala ya kutabiri/kunusa 'machafuko' kwenye mikutano ya siasa, hawa wana-intelligensia walitakuwa kutabiri nini kinaendelea Malawi, na bila kupoteza muda waliwatakiwa (Tanzania) kuanza utafiti. Sasa hivi tungekuwa tusingekuwa na hizi ngonjera.
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  na huku ukijua kuwa Ziwa si la kwako?!, Nyerere tutamkumbuka juu ya hili.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hao wamalawi wanajistukia tu!

  Sioni kama hizo dialogue zingesaidia kitu maana wao wana msimamo wao na sisi tuna msimamo wetu.
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Tanzania wamejitahidi kutumia vipande toka ktk "The secrets of Ninja" kumshape Maravi ktk pubic.Engineer wa hiyo project inabidi apull string zote hadi watoe kaui tata zaidi wenyewe.Kaba hatujaweka Kagame style ndani ya kongo.
   
 7. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,989
  Likes Received: 3,737
  Trophy Points: 280
  you are right. kila party inajua inachokitaka...

  all this dialogue nonsense ilikuwa ni usanii tu... more to draw the attention of those western sharks. I think.

  but wait a minute....i could still be wrong here. am i smelling something horrible here? aren't we being set up to be the vehicle for the re-emergency of another cold war era in its modernity?
  maana huyu mama anaonekana kama vile ame-bed in vizuri sana na wakubwa wa west. vipi TZ....with the eastern camp?

  GOD forbid lakini!!
   
 8. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu wana JF,ni miezi kadhaa sasa tangu mgogoro wa mpaka baina ya Tanzania na Malawi uanze kufukuta. Awali Rais wa Malawi Bi.Joyce Banda alitangaza kuwa ziwa nyasa lipo Malawi huku viongozi wa Tanzania wakieleza kuwa nusu ya ziwa ndipo ulipo mpaka,kitu ambacho kinapingwa vikali na Rais Banda. Kulikuwa na majadiliano ya amani baina ya wataalamu wa mipaka kutoka Tanzania na Malawi,mazungumzo ambayo hayakuzaa matunda ya usuluhishi.| | Juzi juzi,Tanzania imepeleka mgogoro wa mpaka kwenye mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya mipaka huku Rais Joyce Banda akizidi kusimamia maamuzi yake,kuna tetesi kwamba Rais Banda ametishia kuipiga risasi mitumbwi ya Watanzania akidai ni kujibu mapigo ya kile alichokisia kwamba Tanzania ilitishia kufanya hivyo,bila kueleza kauli hiyo ilitolewa na nani? (source-DW) Mantiki yangu ni kwamba,sijaelewa viongozi wetu wanachokisimamia haswa,kuanzia Mh.Rais Kikwete,Waziri wa Ulinzi n.k | Hivi wanamchukuliaje Rais Joyce Banda?
   
 9. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi hawa Wamalawi walikuwa wanatarajia la maana toka kwenye deligation ya JK. Kwanza sidhani kama hata wengine walikuwa wanajua ni nini cha ku-compromise.
   
 10. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  urais ni taasisi na kauli za rais yoyote hupitia kwa washauri mbalimbali kabla ya kutoka hadharani.

   
 11. M

  Mkandara Verified User

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nadhani wayaone yanayotokea huko Japan na China wanavyojipanga kwa kisiwa kimoja tu ambacho haishi mtu. Inasemekana kuna mafuta kwa hiyo wajiandae vizuri maana Muingereza hatakuwepo mstari wa mbele isipokuwa kukuza uchumi wao kwa kuuza vifaa vya kivita..
   
 12. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,401
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Nasikiliza BBC Swahili mida hii. Katika moja ya extracts za habari, mheshimiwa mmoja (sijui kama ni afisa wa JWTZ au Serikali), amesikika akisema "Tanzania itaendelea kulinda mipaka yake, na Malawi kama wanaona kuna sababu ya kulinda mipaka yao basi wailinde. Ila kama tulivyowaambia kabla, kitendo chochote kitakachofanyika kwenye eneo la nchi yetu kama kutafuta mafuta, sisi tutachukulia kuwa ni uchokozi"

  Taarifa zaidi tune in BBC swahili saa tatu kasorobo leo usiku (8:45pm)

  Source: BBC Swahili
   
 13. Jimjuls

  Jimjuls JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwanza huyu mama ni swahiba san na western countries esp US..yaani tokea atie saini ule muswada wa ndoa za jinsia moja,naona US wanamkubali sana.Na ninahisi alikuwa na kikao cha pembeni wakati alipokuwa NY mkutanoni na akaahidiwa kwamba atapewa full support hivyo asiwe na wasiwasi.Na ndicho kinachompa kiburi.
  "Where there is no wind,row." Sisi tutakuwa tayari kwa chochote kile
   
 14. C

  Concrete JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimemsikia, nadhani ni wale viongozi wa jeshi letu waliozoea kufikiri kwa kutumia masaburi.

  Tanzania tunadai mpaka uko katikati ya ziwa na Malawi wanadai mpaka uko kwenye pwani ya ufukwe ya ziwa nyasa upande wa Tanzania, sasa kila mmoja akitumia nguvu kulinda mpaka wake hapo si ni kuanzisha VITA.
   
 15. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Acha tulinde mwana,maana nasikia ukifuatilia ki coordinates za ki jiografia inasemekana ziwa liko malawi!
   
 16. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,098
  Likes Received: 11,248
  Trophy Points: 280
  heshima iwepo.
   
 17. a

  alfazulu JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 735
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Unajua ndugu yangu hata mimi sidhani kama kweli tunaelewa tunachokifanya, leo hii ukisoma ramani ya TZ ktk vitabu vya kufundishia secondary eg kitabu cha kemia ktk topic ya metals, ipo ramani ya TZ inayoonesha distribution ya madini, na ramani hiyo yaonesha kabisa ziwa "malawi" loooote lipo malawi. Kitabu hicho kina mihuri ya EMAC kitengo cha wizara ya elimu kinacho hakiki na kuthibitisha LEARNING MATERIALS. Na sahihi ya mkurugenzi msaroche ipo. sasa hebu jiulize kama huku sii kukurupuka!!!!!! JK na wasaidizi wake wanatuchangany'a.
   
 18. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Jamani si wawape tu hawa waMalawi bado tu hii kitu haijaisha
   
 19. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,709
  Likes Received: 1,891
  Trophy Points: 280
  nia, uwezo na sababu tunavyo, why cant we try to measure our army strength bwana, mimi mzanaki huwa hatunaga kulemba, tema nkuteme...halafu huyo mama na jeshi lake wanakuwa manzi ga nyanza.
   
 20. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hatujawahi kuwa serious kwa mambo mengi watanzania na hasa baada ya JK kuingia madarakani. Hata ktk hili tulikurupushwa tu
   
Loading...