Unauhakika na unachokisema? Mbona Kenya haijasema hivyo??Ule ulikuwa upuuzi wa hali ya juu, kweli msiba mkubwa kama ule ni wa kutuletea sisi senator? kama hawakutaka kuleta kiongozi wa kitaifa basi wangekaa kimya tu.
Kafariki Moi JPM alituma ujumbe mzito ukiongozwa na maRais wawili, washenzi wakae kwao tutakaa kwetu.

Yaani hadi sasa hivi kwenye uzi huu hakuna hata mmoja wao ambaye ameelewa kinachozungumziwa kwenye barua hiyo? Eti na wote hawa walifunzwa kwa kiingereza kutoka kidato cha kwanza. Kuna 'scenario' mbili tu hapa; a)Itakuwa wote hawa ni mavichwa boga kupindukia, na b) Wote ni madrop out wa darasa la 7. 😁😁😁