Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Nchi ya Malawi imetangaza kuchoma moto chanjo ya Corona aina Astrazeneca iliyokuwa ikitolewa nchini humo baada ya wananchi kuingiwa na hofu kuwa shehena ya chanjo hizo imepitwa na wakati na itawaletea madhara.
Wizara ya afya nchini humo imethibitisha kuchoma moto chanjo hizo zilizotolewa kwa msaada ili kulinda imani kwa wananchi .
Source. Bbc swahili.
Taarifa ya lini hii?Nchi ya Malawi imetangaza kuchoma moto chanjo ya Corona aina Astrazeneca iliyokuwa ikitolewa nchini humo baada ya wananchi kuingiwa na hofu kuwa shehena ya chanjo hizo imepitwa na wakati na itawaletea madhara.
Wizara ya afya nchini humo imethibitisha kuchoma moto chanjo hizo zilizotolewa kwa msaada ili kulinda imani kwa wananchi .
Source. Bbc swahili.
Kweli kabisa mkuuHio Inaweza kuwa ni njia nzuri ya kumuenzi Mpendwa wetu Baba yetu JPM
As far as tumekataa kumtanguliza MUNGU mbele katika janga hili na tunataka kukimbilia chanjo, kitu ambacho alitukaza
Raha ya milele umpe eeeeh bwana na jina lihimidiwe
Innalilaah wainairaih rajioun
Hiyo mimba ya mwendazake itakutoa rohoShehena iliyochomwa moto ime expire.
Mwendazake alichoma moto vifaranga hai sembuse chanjo iliyokwisha muda wake?
Malengo ya kuleta taharuki kuhusiana na hii chanjo yatashindwa kama nyungu ilivyo kwama.
Acha upotoshaji bwana hizo chanjo sio kwamba zimekwatiliwa bali zimekwisha muda wake, hata south sudani nako, zipo ambazo zimeisha muda wake wa matumizi.na ni dose 20, 000 tu, kwani WHO, waliwaambia kuwa zinaweza kutumika kwa miezi 3 zaidi toka muda wake wa matumizi kumalizika .Ila malawi wamekataa na ndio maana waameamua kuziteketeza live ili wananchi wawe na imani kuwa hizo hazipo ila zinazoendelea kutolewa ni salama.JAMANI tumeshakubaliana hizo chanjo sio za lazima kama huna imani nazo achana nazo waache wengine wapate, sasa cha ajabu kundi hilo linatumia muda mwingi sana kupotosha ili watu wasipatiwe chanjo hizo!!eti damu zinaganda yaani kati ya watu milioni 19, watu 76, 000 ndio wamekutana na tatizo hilo!!(0.0004%)hapo kwa waliosoma hesabu wanafahamu huwa inaitwajwe hiyoNchi ya Malawi imetangaza kuchoma moto chanjo ya Corona aina Astrazeneca iliyokuwa ikitolewa nchini humo baada ya wananchi kuingiwa na hofu kuwa shehena ya chanjo hizo imepitwa na wakati na itawaletea madhara.
Wizara ya afya nchini humo imethibitisha kuchoma moto chanjo hizo zilizotolewa kwa msaada ili kulinda imani kwa wananchi .
Source. Bbc swahili.
Akili ndogo hiziShehena iliyochomwa moto ime expire.
Mwendazake alichoma moto vifaranga hai sembuse chanjo iliyokwisha muda wake?
Malengo ya kuleta taharuki kuhusiana na hii chanjo yatashindwa kama nyungu ilivyo kwama.
Hiyo mimba ya mwendazake itakutoa roho
Akili ndogo hizi
Kwa nini ziishe muda wake wakati watumiaji wapo?Acha upotoshaji bwana hizo chanjo sio kwamba zimekwatiliwa bali zimekwisha muda wake, hata south sudani nako, zipo ambazo zimeisha muda wake wa matumizi.na ni dose 20, 000 tu, kwani WHO, waliwaambia kuwa zinaweza kutumika kwa miezi 3 zaidi toka muda wake wa matumizi kumalizika .Ila malawi wamekataa na ndio maana waameamua kuziteketeza live ili wananchi wawe na imani kuwa hizo hazipo ila zinazoendelea kutolewa ni salama.JAMANI tumeshakubaliana hizo chanjo sio za lazima kama huna imani nazo achana nazo waache wengine wapate, sasa cha ajabu kundi hilo linatumia muda mwingi sana kupotosha ili watu wasipatiwe chanjo hizo!!eti damu zinaganda yaani kati ya watu milioni 19, watu 76, 000 ndio wamekutana na tatizo hilo!!(0.0004%)hapo kwa waliosoma hesabu wanafahamu huwa inaitwajwe hiyo
TutazivumiliaHeri mno ndogo mbona wewe huna kabisa!
Mbona Sasa na yeye amefia hospital? Inamaana hakumtanguliza Mungu?Hio Inaweza kuwa ni njia nzuri ya kumuenzi Mpendwa wetu Baba yetu JPM
As far as tumekataa kumtanguliza MUNGU mbele katika janga hili na tunataka kukimbilia chanjo, kitu ambacho alitukaza
Raha ya milele umpe eeeeh bwana na jina lihimidiwe
Innalilaah wainairaih rajioun
Acha upotoshaji bwana hizo chanjo sio kwamba zimekwatiliwa bali zimekwisha muda wake, hata south sudani nako, zipo ambazo zimeisha muda wake wa matumizi.na ni dose 20, 000 tu, kwani WHO, waliwaambia kuwa zinaweza kutumika kwa miezi 3 zaidi toka muda wake wa matumizi kumalizika .Ila malawi wamekataa na ndio maana waameamua kuziteketeza live ili wananchi wawe na imani kuwa hizo hazipo ila zinazoendelea kutolewa ni salama.JAMANI tumeshakubaliana hizo chanjo sio za lazima kama huna imani nazo achana nazo waache wengine wapate, sasa cha ajabu kundi hilo linatumia muda mwingi sana kupotosha ili watu wasipatiwe chanjo hizo!!eti damu zinaganda yaani kati ya watu milioni 19, watu 76, 000 ndio wamekutana na tatizo hilo!!(0.0004%)hapo kwa waliosoma hesabu wanafahamu huwa inaitwajwe hiyo
Tutazivumilia
Samia amewapuuzaNi nia yao kupotosha na kuleta wanachoita taharuki.
Ukweli mchungu tutasimama na mama Samia dhidi yao. Na tuko wengi kweli kweli.
Habari hiyo iwafikie pande zile za Lumumba wakapate kutambua hii ni awamu ya sita.
Samia amewapuuza
Na huku kwetu hadi hizo chanjo zifike Shitimbi ambako hata umeme hakuna na kufika inabidi upande mtumbwi sijui kama hizo chanjo zitakuwa kwenye ubora wake kama wa hao wanakamati wanaodai chanjo ni salama,bado najiuliza logistic na usalama wa hizo chanjo kuwafikia wananchi huko vijijini ambako hata basi linapita mara moja kwa wiki.Acha upotoshaji bwana hizo chanjo sio kwamba zimekwatiliwa bali zimekwisha muda wake, hata south sudani nako, zipo ambazo zimeisha muda wake wa matumizi.na ni dose 20, 000 tu, kwani WHO, waliwaambia kuwa zinaweza kutumika kwa miezi 3 zaidi toka muda wake wa matumizi kumalizika .Ila malawi wamekataa na ndio maana waameamua kuziteketeza live ili wananchi wawe na imani kuwa hizo hazipo ila zinazoendelea kutolewa ni salama.JAMANI tumeshakubaliana hizo chanjo sio za lazima kama huna imani nazo achana nazo waache wengine wapate, sasa cha ajabu kundi hilo linatumia muda mwingi sana kupotosha ili watu wasipatiwe chanjo hizo!!eti damu zinaganda yaani kati ya watu milioni 19, watu 76, 000 ndio wamekutana na tatizo hilo!!(0.0004%)hapo kwa waliosoma hesabu wanafahamu huwa inaitwajwe hiyo