Malawi Kiboko kwa Intelijensia

Malawi Kiboko kwa Intelijensia

tanzanias niwamasikini sana! Lets stop talking about war please. We are a poor country under islamic arab influence
 
naona umeshaanza kuona woga hata kabla ya mambo yenyewe...chezea tanzania wewe...
tanzanias niwamasikini sana! Lets stop talking about war please. We are a poor country under islamic arab influence
 
sasa unadhani
wangefanya nini? hawana cha kufanya zaidi ya kutupeleka mabwepande na
kutunyofoa kucha na meno..

Ingekuwa ivo nchi hii!isingekuwepo!na intelligencia kama ilivyo maana yake,tutulie tule maisha tuache dharau
 
Pamoja na umahiri wao wa kutupeleleza lakini kauli aliyowapa Amiri jeshi wetu yatosha kwani nina hakika anaelewa kabisa nyendo zote za Malawi.Sina hofu yoyote na Rais wetu kwa sababu yeye mwenyewe ni Mjeshi.Hiyo yatosha.
 
Back
Top Bottom