Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Sasa wewe unataka kuwafundisha Tanzania ambao wamepigana vita vyao na vya wengine? usitake ncheke!
ukisoma zaidi btn lines, ktk vita ya uganda Tanzania ndiyo iliyoshindwa. Taarifa za uchunguzi wa kivita ilionesha kuwa Uganda ilikuwa na war intelgence kali zaidi, ushahidi unaonesha kuwa watanzania walipofika kampala na entebe walikuta mipango yote ya vita ya tanzania ikiwa mezani. Amini aliondoka nchini kwa kuwa wananchi wake na jeshi lake hawakumuunga mkono kwa kuwa walikuwa wamechoshwa na udikteta wake. Wamalawi wanalitaka ziwa Malawi kwa kuwa kisheria nila kwao na hawana eneo lingine lenye resources nyingi kama hili.
Watanzania tungejua kupigana vita tungekuwa tulisha appeal mapema kwani si mara ya kwanza kwa malawi kutangaza kuwa ziwa ni lao. Hata tukienda mezani tuapeleka silaha gani, mtanzania hupi atatetea hoja?!, nikupe mifano inayoonesha jinsi tanzania tusivyokuwa na wazalendo khasa kwenye international arena: tulipeleka wawakilishi kule japani kuzungumzia mpango wa uvunaji wa samaki aina ya Tuna, TZ kama moja yenye tuna wengi, iliandikwa kuwa wawakilishi wetu walihongwa vidosho na kukubali mpango wa uvunaji wa tuna uliokuwa umebuniwa na walafi.
Fikiria hata kisa cha ml. Kili kuingizwa ktk maajbu ya dunia, wahusika waliuchuna ili makampuni yetu ya simu yapate kipato kwa text, nchi nyingine kupiga kura ilikuwa bure na hatimaye table mountain ya S.A ikashinda. Unayaona haya?.