uzuri wa intelijensia, kila kitu kinakusanywa na kufanyiwa analysis na baada ya hapo ndio wenyewe wanaita classified info...sasa hapa wanakusanya kila wakionacho na mwisho wa siku wanaunganisha dts kupata habari kamili...tusiwa-undermine. leo madame wao katangaza kuwa hatapenda nchi hizi zinaingia vitani kwa sababu ya ziwa malawi, anasema atatumia diplomatic ways kumaliza tatizo,je, iwapo tutang'ang'ania kumiliki kipande kimojawapo atakuwa tayari kukitoa ilihali alishasema ziwa lote ni mali ya malawi?
nimeamini malawi ni kiboko kwa kukusanya habari za kiintelijensia hasa baada ya huu mgogoro wa mpaka maarufu kama mgogoro wa ziwa nyasa.
Toka lowassa, membe na sitta walipotangaza kuwa tanzania iko tayari kupigana ili kulinda mipaka yake, haiishi siku bila kuona delegation mbalimbali kutoka malawi zikiwa hapa nchini eti kuongea mara na tume ya uchaguzi, mara bunge, n.k.
Kwa taarifa yenu kama hamjui, delegation hizi zinakuja maalum kuangalia the state of art! Wanajaribu kuangalia kama kuna any movements zinazoweza kuonyesha kuwa tuko tunajiandaa kivita. Mipangilio hiyo ambayo wanaweza kuangalia ni pamoja na bulk procurements za vyakula, mambo ya silaha na mobilization za majeshi kutoka eneo moja hadi lingine hasa kuelekea maeneo karibu na huko kwenye mgogoro.
Wakati wakiangalia hayo, wanajaribu pia kuangalia weak spots za kwetu ili kama kweli ikitokea, basi watuzime ghafla na kwa haraka zaidi
kwa taarifa yenu, malawi tuwa-underestimate eti na ka-nchi kadogo, hata chura alimuua tembo!
Let us be extra careful guys!!
.....nyie sikieni tu, .....ile jumapili iliyopita "njiwa" wetu warukao kasi wawili kutokea kaskazini na wawili kusini ya ziwa kwa kasi na milio zaidi ya ile ya miaka 50 pale taifa imekuwa onyo tosha kwamba wajukuu wa Nyerere hawataki utani .Karibuni huku kusini kwetu mjionee
tukiwatandika wamalawi kwa ajili ya ziwa malawi huenda baadye tukaonekana wachokozi maana ktk pitapita zangu zijaona hata mahali panapoonesha kuwa hili ziwa na sisi tumo...mpaka umepita upande wetu kabisa...
Zomba we sema tumepigana tu na tuna uzoefu....kwa taarifa yako kwa sasa tumebaki na intelijensia ya kuwapeleka watu mabwepande, mpaka tunashtuka jamaa watakuwa wameshamchukua Vasco na kuondoka nae...
nimeamini malawi ni kiboko kwa kukusanya habari za kiintelijensia hasa baada ya huu mgogoro wa mpaka maarufu kama mgogoro wa ziwa nyasa.
Toka lowassa, membe na sitta walipotangaza kuwa tanzania iko tayari kupigana ili kulinda mipaka yake, haiishi siku bila kuona delegation mbalimbali kutoka malawi zikiwa hapa nchini eti kuongea mara na tume ya uchaguzi, mara bunge, n.k.
Kwa taarifa yenu kama hamjui, delegation hizi zinakuja maalum kuangalia the state of art! Wanajaribu kuangalia kama kuna any movements zinazoweza kuonyesha kuwa tuko tunajiandaa kivita. Mipangilio hiyo ambayo wanaweza kuangalia ni pamoja na bulk procurements za vyakula, mambo ya silaha na mobilization za majeshi kutoka eneo moja hadi lingine hasa kuelekea maeneo karibu na huko kwenye mgogoro.
Wakati wakiangalia hayo, wanajaribu pia kuangalia weak spots za kwetu ili kama kweli ikitokea, basi watuzime ghafla na kwa haraka zaidi
kwa taarifa yenu, malawi tuwa-underestimate eti na ka-nchi kadogo, hata chura alimuua tembo!
Let us be extra careful guys!!
mzaha mzaha hutumbuka usaa...chezea malawi wewe!!!
safi..nmeipenda taarifa yako. Ya kzalendo zaid, waambie wasojielewa hao.
teh teh..usijipime nguvu kwa ukubwa wa mwili ndugu...sina imani na nguvu ya jeshi letu hasa upande wa silaha..kama unakumbuka milipuko ya gongo la mboto, taarifa ya jeshi ilisema maghala zaidi ya nane yamelipuka PIA walisema ile ndio arsenal kuu ya silaha (the central arsenal). sasa kama ghala kuu za silaha zinalipuka na impact ndo ile unategemea tutashinda vita yoyote.
Kama kweli ile ndo GHALA KUU na tungekuana silaha nzito BASI GONGO LA MBOTO isingekua katika lamani ya dar tena katika ile siku, kata nzima na jilani zake zingevunjwa vunjwa, lakini ghala nane za mabomu zinalipuka hata kambi yenyewe ilipona ,TUNA SILAHA HAPO AU BARUTI.wenzetu wanapata taarifa kama izo ndo maana wameona muda muafaka wa kuleta choko choko ni huu, wanajua hatuna kitu zaidi ya vi grenade na locate lounchers tu.
Sasa we jifaliji na ndege zako izo za maonyesho ulizoziona wengine tushaanza ku renew passports, wanajeshi wenyewe wamechoka na hii system mbovu so hawana tena moyo wa kupigana ndugu yangu,hata wananchi pia. THIS COUNTRY IS VERY WEAK NGUGU
lakini mi mpaka sa izi najiuliza, ni kwa nini kila ramani kuanzia mpaka google earth wanaonesha kuwa hili ziwa liko moja kwa moja malawi? ni mozambique tu ndio mpaka unapita katikati ya ziwa, lakini kwa kwetu, mpaka unapita ukingoni kabisa, yaani kwenye beach ya tz...hebu chck hiyo ramani...View attachment 61981
Zomba we sema tumepigana tu na tuna uzoefu....kwa taarifa yako kwa sasa tumebaki na intelijensia ya kuwapeleka watu mabwepande, mpaka tunashtuka jamaa watakuwa wameshamchukua Vasco na kuondoka nae...