Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,456
- 3,382
Haahaahaaaaaaaaaaaa!Ninazungumza kwa niaba ya Watanzania walio wengi pamoja na uhalisia
Haahaahaaaaaaaaaaaa!Ninazungumza kwa niaba ya Watanzania walio wengi pamoja na uhalisia
Asa balozi wa Malawi ni sawa na katibu tarafa, kwanza pole pole alipelekwa na bus la taqwa, je angekuwa balozi wa nchi za ulaya si tungekoma na vichambo vya wahuni?Ubalozi ni cheo kikubwa, ni mwakilishi wa raisi katika taifa husika. Anakagua gwaride kwa niaba ya raisi. Ndugu Nape unaonaje hapo?
Usiwapeleke watu mrama!!Unamjua Moses nnauye?alikuwa mpiganaji wa jwatz,alifanya Mengi kwenye jeshi na ccm,nenda kamsome ndio utajua nape nnauye yupo deep kiasi gani ndani ya system
Ok, tunaona matunda ya darasa la itikadi limemwaga neema.Katibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.
My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.
View attachment 2263066
Aiseee hivi vichekesho mnavitoaga wapi? Mabalozi wanaokwea mapipa huko Canada na ulaya wala hawawazi, eti mhuni huyu aliyepelekwa na bus la taqwa ndo anapigiwa chapuo aje amtoe maza kwenye kiti, hahaha hahahaha aiseee umenivunja mbavu zangu.The man himself. Go go, let's meet in 2025.
Usiwapeleke watu mrama!!
Mbona hueleweki umemwambia akamsome Moses nnauye alafu akimaliza ndo atajua ni jinsi gani nape nnauye yuko deep kwenye system.
Sakwanini usimwambie akamsome tu nape nnauye uumpe kazi yote hiyo,
Kwahiyo tukitaka kumjua makongoro kwenye system tukamsome Julius k. Nyerere sio ndio??


Balozi ni muwakilishi wa Rais hata anapewa Present army salute ya kijeshi na ndio anayopewa Rais, mawaziri, mabalozi,RC's qnd so on wangempigia 21 canons hapo tungeuliza maswali ila hii ya ukaguzi mbona hata wakuu wa wilaya na ni mikoa wanafunga mafunzo mbali mbali ya kijeshi hufanya Mkuu.
Ndio nani🤔Chakubanga
Unaandika vitu vya ajabu sana
Jielimishe kidogoKwahiyo Polepole ni mkuu wa mkoa au wilaya gani huko Malawi?
Mna lengo la kumpoteza kabisa Pole pole huyo, na kwanza ni mtu hasiejielewa ni tofauti kabisa na mnavyomuelezea, kama angekuwa mtu mwenye kujielewa hasingekubali kununulika kutoka kwenye msimamo wake wa awali wa katiba mpya.Polepole ni next level
Hilo dua kama la Kuku!NAPE mkuu ni sabufa yakina kikwete anawaamini hao kuwa bila wao nchi hakuna wakuitawala ipo siku atalia hatiamini siku wakipalangamyika atabaki analialia
Lini ulipoamua wewe kama mwananchi wa kawaida nani awe Rais na ikatokea hivyo?Kabisa, hii nchi kuna masihara mengi sana. Mpaka Jiwe akawa Rais hivi hivi
Vipi huko Ukraine hakuna Corona?Wengi wa walioidharau Corona waliondoka, nawakumbuka watu wangu wa karibu hasa waliokuwa karibu na baba jenet waliondoka.
Mungu awape pumziko jema huko mliko
Kuna mabomuVipi huko Ukraine hakuna Corona?
Hata kipindi kile hamkuwaingiza.No worries, lakini Sukuma gang hawatakuja kuingia madarakani tena, tumejifunza kwa Jiwe
Tuna imani na Mamvi
KabisaBig Up!!!
Hata kipindi kile hamkuwaingiza.
Sema ule Wimbo wa
Tuna imani na Mamvi
Uliwavuruga sana
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app


Hata kipindi kile hamkuwaingiza.
Sema ule Wimbo wa
Tuna imani na Mamvi
Uliwavuruga sana
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app




