Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Haisaidii chochote zaidi ya kupoteza muda wako bure

Hakuna Rais asiye muovu.

Na huna uwezo wa kupanga nani awe Rais.

Magufuli alipendwa baada ya utendaji wake uliotukuka kabla hajawa Rais.

Wewe endelea kupoteza muda wako lakini anayeamua nani awe Rais ni cc ya ccm siyo wewe wala wapiga kura.
Hata kama cc ya ccm ndiyo inaamua lakini kwa jiwe wamejifunza kitu, haitakuja kutokea tena mtu kama jiwe kuingia tena Ikulu
 
Kwani jiwe alikuwa hivyo kabla hajawa Rais? Anaweza kuwekwa yoyote na akabadili tabia kama jiwe.

Jiwe hakuamka tu na kuwa Rais, ni historia yake iliyotukuka ya miaka ya nyuma ndiyo iliyompa Urais

Usiwe na roho mbaya namna hiyo kwa marehemu

Hakuna mkamilifu hapa chini ya jua
 
Nakuhakikishia Jiwe atasemwa vizazi na vizazi ili kosa lililotokea lisije kujorudia tena. Na kila mwenye akili timamu asimamie alisimamie hilo tusije weka tena mtu kama yule
Lisu naye ni JIWE kwerikweri[emoji23]
 
Kwani jiwe alikuwa hivyo kabla hajawa Rais? Anaweza kuwekwa yoyote na akabadili tabia kama jiwe.

Jiwe hakuamka tu na kuwa Rais, ni historia yake iliyotukuka ya miaka ya nyuma ndiyo iliyompa Urais

Usiwe na roho mbaya namna hiyo kwa marehemu

Hakuna mkamilifu hapa chini ya jua
Mimi sina roho mbaya kwake kwani siwezi punguza au kuongeza chochote. Ila kama kusema matendo yake maovu ndiyo kuwa na roho mbaya basi nakubali kuwa na roho mbaya dhidi yake. Je ufisadi wa kugawa nyumba za serikali kwa vimada wake na kile kivuko feki alikuwa ameshakuwa Rais au ndiyo hiyo historia yake iliyotukuka unayoizungumzia?
 
Una roho mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom