Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Kunyooka na nini tena, mbona kama nje ya mada. Mimi nasema tusije kosea tena kumweka kichaa Ikulu wewe unasema ntanyooka. Uko sawa upstairs kweli au wewe ni sukuma gang?
Umsamehe,
kaza mwendo.

Ndio maana yake. Ni matamshi ya Kijeshi Jeshi.

Mguu mbeleeee, nyooooka....tembeaaa...

Huwa usikii haya kwenye gwaride? 😉
🙄😂😂😂😂
 
Katibu mwenezi msitaafu wa ccm ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.

My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume.

View attachment 2263066

Hii heshima amepewa na nan?
 
alipigania Katiba mpya na Demokrasia kabla ya 2015…

2015-2021 alipinga Katiba Mpya na Deomkrasia

2021 to date anapigana Demokrasia na Katiba Mpya

'msimano wake' other factors remain constant
Polepole ni genius acha hao wanaosema chama ni cha kwao siku koti lao likiondoka watajificha sehemu ambayo haifichiki!
 
Ubunge unaweza kukagua gwaride la heshima?

Hilo ni gwaride au ukhanithi? Toka lini balozi akakagua jeshi? Hayo makampuni ya ulinzi jamii ndio mnasema jeshi? Hata kama ni jeshi kweli basi litakuwa jeshi la kipuuzi sana mpaka kukubali kukaguliwa na muhuni.
 
alipigania Katiba mpya na Demokrasia kabla ya 2015…

2015-2021 alipinga Katiba Mpya na Deomkrasia

2021 to date anapigana Demokrasia na Katiba Mpya

'msimano wake' other factors remain constant
Magufuli alimweza sana

Alimfanya ayakane maneno yake ya 2015 kwenda nyuma
 
Back
Top Bottom