Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Lini ulipoamua wewe kama mwananchi wa kawaida nani awe Rais na ikatokea hivyo?

Una mponda Magufuli kila siku hata aibu huna na mtu ni marehemu.

Hakuna mkamilifu hapa chini ya jua kila mtu na mapungufu yake. Hakuna Rais wa kukuletea wewe maisha mazuri zaidi ya kupambana wewe mwenyewe
Hata mimi nikinyamaza bado mawe yatapaza sauti, hii yote na kwasababu ya uovu wake.
 
Katibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.

My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.

View attachment 2263066

16 June 2022
Kamuzu Palace,
Area 44
Lilongwe, Malawi

1655481146613.png

His Excellency the State President, Dr. Lazarus McCarthy Chakwera, says Malawi will continue fostering meaningful trade and economic ties with Tanzania in order to realize mutual benefits for both populations.

The President said this on Thursday when he officially welcomed the new Tanzania High Commissioner, His Excellency Humphrey Polepole, who presented his letters of credence at Kamuzu Palace.


The Malawi leader stated that Malawi will continue fostering meaningful ties with Tanzania to open new opportunities to our citizens in particular and national economies in general.

“Tanzania remains a key ally for Malawi mainly because of shared interests in economy, trade, investment, education and culture among other areas of human undertaking. Our neighborliness has become a social capital through which our people continue to thrive,” said President Chakwera on his official social media platforms.

.

IMG-20220616-WA0019.jpg
President Chakwera and High Commissioner Polepole sharing lighter moments after their deliberations

He noted the significance of the trade route that exists between the two economies.

“The vast import and export corridor that connects the two economies continues to offer job and wealth creation opportunities to citizens and businesses from both ends. These are just some of the mutual benefits that motivate all of us to keep this relationship sound and growing,” he wrote.

During their deliberations, High Commissioner Polepole assured President Chakwera and the people of Malawi that he is geared to develop and nurture the existing strong relations in line with respective development goals of the two countries.
source : https://statehouse.mw/malawi-tanzania-ties-key-to-national-development-president-chakwera/
 
Balozi ni muwakilishi wa Rais hata anapewa Present army salute ya kijeshi na ndio anayopewa Rais, mawaziri, mabalozi,RC's qnd so on wangempigia 21 canons hapo tungeuliza maswali ila hii ya ukaguzi mbona hata wakuu wa wilaya na ni mikoa wanafunga mafunzo mbali mbali ya kijeshi hufanya Mkuu.
Elimu ni shida. Watu hawajui hata ambassador ni nani
 
Sasa mleta mada Kwa hiyo balozi Yuko juu ya waziri?Halafu Nape sio kiroboto.Kiroboro ni huyohuyo Polepole!
 
Eti anatoka Dar anakwenda kuishi Songea kweli maisha haya acha tu


Hivi kakumbuka kweli kubeba na KY
 
Katibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.

My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.

View attachment 2263066
Rais Rais Rais .... siyo huyu chifu mafii anaye jifanya muarabu
 
Kwahiyo Polepole ni mkuu wa mkoa au wilaya gani huko Malawi?
Mkuu yeye sio Mh. Balozi wa kwanza kufanya hivyo. Hadhi ya Ubalozi sio ndogo.

Huyu hapa wa Israel huko Rwanda
Screenshot_20220617-204747_Opera%20Mini.jpg
 
Aiseee hivi vichekesho mnavitoaga wapi? Mabalozi wanaokwea mapipa huko Canada na ulaya wala hawawazi, eti mhuni huyu aliyepelekwa na bus la taqwa ndo anapigiwa chapuo aje amtoe maza kwenye kiti, hahaha hahahaha aiseee umenivunja mbavu zangu.
Enjoy weekend na watoto wazuri. slow slow for presidency.
 
Ubunge unaweza kukagua gwaride la heshima?
Wamalawi wapo tofauti sana Askari bara barani anaanza kukupigia saluti raia harafu na salamu ndio anaanza kukukagua kwa heshima wanazotoa hao jamaa kwa sisi tulioishi huku mtu akisimamisha tuu gari cha kwanza anakunja sura huko tunaishi nao vizuri mno...
 
Back
Top Bottom