Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Polepole ni genius acha hao wanaosema chama ni cha kwao siku koti lao likiondoka watajificha sehemu ambayo haifichiki!
Kama chama kingekuwa na mwenyewe basi watoto wa Hayati Nyerere na Hayati Karume ndio wangestahili kusema Chama chao !! Sio wanojimwambafay kwa sasa ! Lakini kwa mbali naona wapo watu wanausoma mchezo tu IPO siku watu watatafutana !!
 
Polepole hana tofauti na bwana yule. Hawa watu tuwe nao makini sana tusije rudia kumuweka kichaa ikulu
Everything is happening for a reason !! Na siku zote tunaamini kwamba Mamlaka huteuliwa na Mungu !! Kwahiyo nadhani mbele ya safari tutakuja kujua ni kwanini Mungu alimteua yule Mheshimiwa japo alimwacha atawale kwa miaka sita tu !
 
Katibu mwenezi msitaafu wa ccm ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.

My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume.

View attachment 2263066

Ki protocal hakutakiwa kuvaa tai nyekundu !
 
Katibu mwenezi msitaafu wa ccm ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.

My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume.

View attachment 2263066

Hii Picha ihifadhiwe kwa matumizi ya mbeleni sanaaa huko.
 
Back
Top Bottom