Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Malawi: Balozi Polepole akagua gwaride la kijeshi

Tuseme ukweli nape na kundi lake hawana amani kwa kumuona Polepole akiwa Pale alipo.

Na sio hao tu hata lile kundi la wakaanga sumu kutoka Hai nao povu limewajaa ingawa hakuna namna.
 
Kama chama kingekuwa na mwenyewe basi watoto wa Hayati Nyerere na Hayati Karume ndio wangestahili kusema Chama chao !! Sio wanojimwambafay kwa sasa ! Lakini kwa mbali naona wapo watu wanausoma mchezo tu IPO siku watu watatafutana !!
 
Wengi wa walioidharau Corona waliondoka, nawakumbuka watu wangu wa karibu hasa waliokuwa karibu na baba jenet waliondoka.

Mungu awape pumziko jema huko mliko
 
Hivi hata mabalozi wanaoletwa hapa Tz nao huwa wanakagua gwaride la JWTZ au hata la Polisi?au ni protokali za Malawi tu?
 
Katibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.

My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.

View attachment 2263066
Katika maisha ukitaka kujifunza kuwa karibu na watu wa aina ya comrade polepole,,

Pia ukitaka ushindani, hawa watu niwakukaa nao mbali saaana.

Nilichojifunza kwa polepole nikwamba ni mtu anaeamini katika haki na ukweli bila kujali wangapi wako upande wake au wao.

Lakini pia msimamo na imani yake imeambatana na heshima kubwa saana kwa maana kwake hadharau mtu.

Lakini pia ana uwezo mkubwa sana wakuigeuza akili yake ili iendane na mazingira na akaendana vizuri na hayo mazingira.

Watu wa aina hii niwachache saana kuwashuhudia katika maisha yangu nafikiri huyu anaweza akawa wa 4 au wa5 ninaowafahamu kwa hapa kwetu Tanzania.

Watu Kama hawa mungu akiwapa neema yakuongoza watu wengine mara nyingi watu hunufaika kabisa endapo wataongoza kwa nia njema au kwa manufaa ya wengi.
 
Mbona kama kaheshimiwa sana?
Huyu jamaa namtabiria makubwa mbele yake
Kawaida kwa balozi mpya kabla ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa rais,hupewa nafasi ya kukagua gwaride.
Balozi ni muwakilishi wa rais.
 
Polepole ni genius acha hao wanaosema chama ni cha kwao siku koti lao likiondoka watajificha sehemu ambayo haifichiki!
Alikuwa genius enzi zileee ,kama ilivyokuwa kwa Bashiru na Kabudi( those days). Marehemu alikuwa fundi wa kunyofoa ubongo ukikanyaga tu viunga vya ccm ubongo unaacha ulikotoka
 
Katibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.

My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.

View attachment 2263066
ukute hapo ana KY gel mfuko wa koti.
 
Back
Top Bottom