Bikirajohola
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 356
- 634
- Thread starter
- #121
Inakuhusu nini weweukute hapo ana KY gel mfuko wa koti.
Inakuhusu nini weweukute hapo ana KY gel mfuko wa koti.
na wewe inakuhusu nini? Acha nyege za matako basi chief.Inakuhusu nini wewe
Eti hadharau mtu ww utakuwa under 18 sio bure, unakumbuka alivyokuwa anamsimanga marehemu Maalim Seif?Katika maisha ukitaka kujifunza kuwa karibu na watu wa aina ya comrade polepole,,
Pia ukitaka ushindani, hawa watu niwakukaa nao mbali saaana.
Nilichojifunza kwa polepole nikwamba ni mtu anaeamini katika haki na ukweli bila kujali wangapi wako upande wake au wao.
Lakini pia msimamo na imani yake imeambatana na heshima kubwa saana kwa maana kwake hadharau mtu.
Lakini pia ana uwezo mkubwa sana wakuigeuza akili yake ili iendane na mazingira na akaendana vizuri na hayo mazingira.
Watu wa aina hii niwachache saana kuwashuhudia katika maisha yangu nafikiri huyu anaweza akawa wa 4 au wa5 ninaowafahamu kwa hapa kwetu Tanzania.
Watu Kama hawa mungu akiwapa neema yakuongoza watu wengine mara nyingi watu hunufaika kabisa endapo wataongoza kwa nia njema au kwa manufaa ya wengi.
Hebu nenda na wewe ukawakague hao wagamboHaka kahuni kukagua gwaride la wagambo tu, tayari kamejikuta ni karais.
Kwani shingapi?Hebu nenda na wewe ukawakague hao wagambo
Utanyooka tuHaka kahuni kukagua gwaride la wagambo tu, tayari kamejikuta ni karais.
Kwa kweli babu yenu alitunyoosha, asaiv nyie wahuni ndo tunawanyoosha, sie tunalamba zetu asali.Utanyooka tu
Balozi ni muwakilishi wa Rais hata anapewa Present army salute ya kijeshi na ndio anayopewa Rais, mawaziri, mabalozi,RC's qnd so on wangempigia 21 canons hapo tungeuliza maswali ila hii ya ukaguzi mbona hata wakuu wa wilaya na ni mikoa wanafunga mafunzo mbali mbali ya kijeshi hufanya Mkuu.Hilo ni gwaride au ukhanithi? Toka lini balozi akakagua jeshi? Hayo makampuni ya ulinzi jamii ndio mnasema jeshi? Hata kama ni jeshi kweli basi litakuwa jeshi la kipuuzi sana mpaka kukubali kukaguliwa na muhuni.
Yaani wewe hujui Itifaki ya Balozi akiwasilisha hati inavyokuwa, Huyo jamaa hana Nguvu yoyote ukilinganisha na Nape kwa sasa. Kwa Kuongezea Malawi ni masikini mno tunachopata huko ni house girls tuKatibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.
My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.
View attachment 2263066
Rudi shuleYaani wewe hujui Itifaki ya Balozi akiwasilisha hati inavyokuwa, Huyo jamaa hana Nguvu yoyote ukilinganisha na Nape kwa sasa. Kwa Kuongezea Malawi ni masikini mno tunachopata huko ni house girls tu
Ninazungumza kwa niaba ya Watanzania walio wengi pamoja na uhalisiaJisemee wewe, bwege Mkubwa wewe
Unaandika vitu vya ajabu sanaHilo ni gwaride au ukhanithi? Toka lini balozi akakagua jeshi? Hayo makampuni ya ulinzi jamii ndio mnasema jeshi? Hata kama ni jeshi kweli basi litakuwa jeshi la kipuuzi sana mpaka kukubali kukaguliwa na muhuni.
Slow slow mi moja ya watu wasio na msimamo hata kidogo. Nadhani kama ulikuwa nchini wakati wa bunge la katiba, SlowSlow wa kipindi kile na wa sasa ni vitu viwili tofauti. Natumai na wewe ni shahidi wa hiliKatika maisha ukitaka kujifunza kuwa karibu na watu wa aina ya comrade polepole,,
Pia ukitaka ushindani, hawa watu niwakukaa nao mbali saaana.
Nilichojifunza kwa polepole nikwamba ni mtu anaeamini katika haki na ukweli bila kujali wangapi wako upande wake au wao.
Lakini pia msimamo na imani yake imeambatana na heshima kubwa saana kwa maana kwake hadharau mtu.
Lakini pia ana uwezo mkubwa sana wakuigeuza akili yake ili iendane na mazingira na akaendana vizuri na hayo mazingira.
Watu wa aina hii niwachache saana kuwashuhudia katika maisha yangu nafikiri huyu anaweza akawa wa 4 au wa5 ninaowafahamu kwa hapa kwetu Tanzania.
Watu Kama hawa mungu akiwapa neema yakuongoza watu wengine mara nyingi watu hunufaika kabisa endapo wataongoza kwa nia njema au kwa manufaa ya wengi.
Hakuna la ajabu!Katibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.
My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.
View attachment 2263066
Katibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.
My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.
View attachment 2263066

Unamjua Moses nnauye?alikuwa mpiganaji wa jwatz,alifanya Mengi kwenye jeshi na ccm,nenda kamsome ndio utajua nape nnauye yupo deep kiasi gani ndani ya systemKatibu mwenezi mstaafu wa CCM ambaye kwa sasa ni balozi wa Tanzania nchini Malawi, leo amekagua gwaride la heshima nchini humo kwenye mapokezi yake.
My take
Nape(Kiroboto) unajisikiaje huko ulipo maana wewe unajiona ndiyo mmiliki wa CCM kwa sasa, wakati huna undugu wowote na Nyerere wala Karume waliounganisha TANU na ASP.
View attachment 2263066