steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,191
- 1,630
🤣🤣🤣Yeah hata mimi pia nilifanya muamala na bado uko kwenye progress, tuwe wapole tu hamna namna😆
Sawa nadhani NMB wafanyie kazi changamoto yako
Vp kama sina pesa nyingine? Pengine hiyo pesa nalipia matibabu mtu si anafariki? Yaani ni bora mtandao wa simu kuliko bank kwenye ku refund pesaMbona ni tataizo dogo sana.
Si wamekuambia pesa yako itarudishwa, tumia pesa nyingine uliyonayo kufanya shughuli zako.
Nmb ni wa hovyoEquity naona ni afadhali, japo crdb hawa niangushi pia.
Akili huna kaama unafanya biashara ukifanya miamala mitano ikasumbua hivyo kun biashara tena hapo kweli. Think twise kitimotoMbona ni tataizo dogo sana.
Si wamekuambia pesa yako itarudishwa, tumia pesa nyingine uliyonayo kufanya shughuli zako.