Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

KUTATABHETAKULE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
1,872
Points
2,000

KUTATABHETAKULE

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
1,872 2,000
Kwa siku ya leo nimeona makala mbili tofauti toka kwa wanaosema ni wafanyakazi wa NSSF. Moja ya makala haya yanampongeza sana Bw. Erio ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo na hii hapo juu inamtuhumu kwa makosa kadhaa na hivyo kumlaumu kwa kuliendesha Shirika hilo vibaya. Naona kuna jambo linafukuta ndani ya Shirika na hivyo ni vyema Viongozi husika wakafuatilia ukweli kuhusiana na jambo hili.
 

dadaake

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Messages
785
Points
1,000

dadaake

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2017
785 1,000
Kwa siku ya leo nimeona makala mbili tofauti toka kwa wanaosema ni wafanyakazi wa NSSF. Moja ya makala haya yanampongeza sana Bw. Eric ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo na hii hapo juu inamtuhumu kwa makosa kadhaa na hivyo kumlaumu kwa kuiendesha Shirika hilo vibaya. Naona kuna jambo linafukuta ndani ya Shirika na hivyo ni vyema Viongozi husika wakafuatilia ukweli kuhusiana na jambo hili.
Umesema vyema ipo shida huko Nssf,uzuri haya majukwaa wanapita watu mbalimbali kwa haraka wataanza kufatilia kwa ukaribu suala ili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

cmoney

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
2,607
Points
2,000

cmoney

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
2,607 2,000
alieharibu nssf ni yule aliekuwa anajenga misikiti kila palipo na jengo la shirika. nssf siyo nyumba ya ibada, ni shirika la umma. vijana wa kiislamu mlioajiriwa ndani ya shirika fanyeni kazi acheni hizi risala ndefu mnazoandikiwa na maimamu.
Siasa zimekua nyiingi baada ya kubanwa pabaya......fanyeni kazi kweli vijana utawala umebadilika..na ukiona usalama wanatumika ujue wametumwa na mkulu...siku hizi mh raisi haweki mtu sehem bila kuchunguza....tulieni dawa iwaingie vijana
 

Forum statistics

Threads 1,382,352
Members 526,332
Posts 33,825,282
Top