Malalamiko kuhusu kuvunjwa msikiti, uhamisho wa wahadhiri Waislam UDOM

Yes, but usiombe jambo la kijinga kupitiswha na watu wajinga halafu mwelevu akiliona ulalamike. That is illogical! Hakuna cha dini wala kingine. Ni suala la uelewa.

Unaandika barua kama hiyo isiyojieleza nini ni tatizo. Ni kuhamishwa waislamu au msikiti kuzuiliwa? Kama ni kuhamishwa kote, UD, SUA, NIMR staff wamehamishwa tena seniors. La kujiuliza ni kwa nini seniors hao wa UDOM wote ni waislamu? waliingiaje wote wakiwa waislamu watupu. Hapo ndo utajua historia ya kijinga ya UDOM. Tusipende kuficha upuuzi wa watu walioshindwa kubadilika.

Ukisoma ubadilike. Usipobadilika unaitwa mpuuzi. Hadi level ya Chuo kikuu bado dini na kabila na ukoo ni tatizo kwako? Kama unaona dini ni muhimu kuliko kingine hama chuo kikuu. Dodoma imejaa mapori, peleka sadaka zako huko ujenge madrassa na himaya yako, kuliko kuomba ekari 20 za msikiti mmoja uwe na himaya ndani ya eneo la serikali.
 

Mwanzoni uongozi wa chuo ulitoa eka kumikumi kwa Waislamu na Wakiristo wajenge nyumba zao za ibada!

Waislamu wakafuata taratibu zote za ujenzi ikiwemo kupata vibali vya ujenzi

Wakaanza Ujenzi huku chuo kikiwa na taarifa zote kwa mujibu wa sheria

Lakini uongozi mpya wa UDOM baada ya ule wa mwanzo kwa sababu zinazoonyesha dalili za UDiNI za uongozi huu mpya wakavamia na Kuvunja Msikikti uliokuwa ukijengwa

Hata uvunjwaji haukufuata sheria za kuvunja majengo yaliyojengwa bila taratibu maana lazima ingetanguliwa na stop order

Na ili kulizima Jambo Hilo Wakafukuza Watumishi Waislamu hapo UDOM na kubakisha wanne tu katika nafasi za Uongozi huku Zaidi ya Asilimia 88 waliobaki ni WAKIRISTO

Huu Udini ni Kansa kubwa mno na ninavyowajua Waislamu hawatokubali huu Udhalimu maana ni Uonevu wa wazi!
 

Unahoji ilikuwaje hao waliohamishwa ni Waislamu watupu kisha unajaribu kuuaminisha umma kuwa huenda waliajiriwa hapo kwa kupendelewa kidini, Huoni kuwa Managemement ya Chuo ina Wakiristo zaidi ya 88%? . Hilo umeshajiuliza au unaona ni ishu kubwa kama sehemu ina waislamu wameshika nafasi mbili tatu?

Hivi umeshajiuliza mbona Teuzi nyingi za Raisi ni Wakiristo, umewahi kujiuliza the same question?

Udini tu unakusumbua wewe!
 
Wewe sikiliza! Utateseka bure kwa kuamini dini ina immunity, dini haiguswi, dini haikosei. UNawezaje kusubili stop order ndani ya eneo la mwenyewe? Hilo ni eneo la chuo, siyo kiwanja cha manispaa! Mwenyewe anasena usilime hapo wewe unasubili akupe stop order!
 
Mnacho otesha mtavuna ni suala la muda kama mnahisi mbegu zikiwekwa kwenye udongo hazioti subirini kuna siku zitaota!
 
Wameendesha operesheni ya hamisha hamisha ya wafanyakazi waislamu UDOM wamebakisha WAKIRISTO zaidi ya asilimia 88 .
Tukisema Utawala huu unanuka UDINI huu ni mfano mmoja wapo!
Tulia mzee namba1 wakutengeneza tatizo na kulitatua atatoa kauli hivi punde ya kwamba mara moja ujenzi wa msikiti uendelee ilikuvuta hisia za wengi hasa waislamu,na nyie wakiristo jengeni na makanisa yenu mu swali mfanye ibada serikali haina dini ila watu wake wanadini watanzania tusibaguane kwa udini. Muda utaongea.Ila Lisu bado anaendelea kutoa dozi
 
unasema hivyo kwa kiburi kwa kuwa ni dini ya kiislaam..Hivi ingekuwa ukristo hasa catholic ungesema maneno hayo ya kiburi??..

Uislaam unapigwa sana vita! mkuu acha chuki dhidi ya uislaam..Kukosoa ni jambo jema ktk jamii lakin tumia lugha ya staha!

Ni vema tukaishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na tushirikiane pamoja na uwepo wa tofauti zetu za kidini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumuiya zao waislamu na wakristo walioewa eneo na chuo kwa shughuli zipi?
Uliyasikiliza maelezo ya Mwenyekiti wa baraza, Kabaka? Yako Youtube naomba uyasome with impartiality. Utaona kosa liko wapi.
 
Acha ujinga hilo eneo ni mal ya serikali na sio eneo la bakwata wataenda kudai fidia kwa njia zipi au vigezo gan na nani ataenda kudai fidia wakati maamuzi ya kuvunja huo msikiti yametolewa na baraza la chuo kikuu . tumia ubongo wako vizur
Hapa ndo kuna utata kidogo,mfano wakienda mahakamani chuo kinaweza kuwalipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea fact
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wasipokubali watafanya nin serikali imezuia huo ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…