Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Mkuu inawezeka wewe ndo umevulugwa!
 
Kulingana na theolojia ya dini kuu (Uislamu na Ukristo), malaika hawana jinsia (mume au mke) kwa sababu hawazaliani, hawali, na hawanywi.
 
Tatizo ni kwamba wanadamu huwa wanaingizwa kwenye hizi dini mapema sana wakiwa watoto wadogo kabisa wanakuwa brainwashed vizuri kiasi cha kutoweza tena kuja kuzihoji, kuzidadavua na kuzichambua kama zina mantiki.
Mi nimeanza kuhoji/kujihoji nikiwa na miaka 13 Form one Mtwara girls.

Najutia hilo! 😩
 
Wangewatajia hivyo vifaa kwa maono binadamu hawahawa walivyo wabishi?Yaani malaika wangeitwa kila majina mabaya k.m waongo,wazushi,waleta taharuki,wahuni, wahaini, magaidi n.k.
Kulingana na hadithi za biblia na Quran manabii na mitume walifanyiwa hayo yote regardless
 
Ukikubali kuwa Mungu hayupo na hizi zote ni hadithi za kuungaunga za watu tu, maswali haya yote yanaisha.
 
Same ol people, same ol scoffing

 
Ina maana hivi sasa wameshajiupdate na kumiliki zana za kisasa? maana kwa mujibu wa utetezi wako walikuwa hawana kwa sababu ilikuwa ni analogia
Inawezekana sasa hivi watu wanaoenda mbinguni wanaona malaika wenye bunduki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…