roma mnazarety
Member
- Dec 5, 2013
- 94
- 15
Sasa mtu mweusi ulitaka awe na kwapa kama rangi ya chungwa?
Wadada huwa mna makwapa fulani hivi yana ule ukakasi kama kaangio la chips
Teh teh teh
Sasa mtu mweusi ulitaka awe na kwapa kama rangi ya chungwa?
Wadada huwa mna makwapa fulani hivi yana ule ukakasi kama kaangio la chips
Hahahaha..huu uzi umenifurahisha, jana nlikua nabishana na jamaa mmoja, tulikua gym, nkaona jamaa kumbe mfugaji, ikabididi nimuulize kwanini analea uchafu? jamaa akasema ye anapenda tu na sasa ni miezi sita hajanyoa..nlibishana nae sana na kumshaur anyoe akagoma kabisa. Nlivyoona huu uzi nkacheka sana.
Nlimtania aweke dread,.Afu yuko very smart kwa nje.kama hataki kunyoa azisuke..akisweat sijui inakuwaje huyo
Nlimtania aweke dread,.Afu yuko very smart kwa nje.
Mbona nishawahi kusikia eti wanaume wasiponyoa makwapa wanakuwa sio wanaume timilifu??Kuna ukweli wowote hapo? Himidini Mkoroshokigoli Eiyer watu8.....
Kwani 'singlendi' ina uhusiano gani na maumbile ya kwapa la mtu?
Ninyi wadada huwa mna kijasho fulani hivi, mbaya zaidi ukutane na yule aliyekumbatia mpochi wake siku nzima wenyewe sijui mnaita pima joto...
Usiombe sasa kwenye daladala anyanyue mkono kushika bomba au kupokea simu ya shosti...:tape:
Nawe shirikisha makalio...
Kwa risk na cost zako bila taaabu.......ila ujiandae tu na mitindo mipya ya tops
Hahhhahhha hapa leo patamu aisee nashukuru kwa kunifurahishaaa lop
Washadadia wenzako wakitiwa masingi eenh...
Ooohhh...lile singlendi ambalo mkono wake unakaribia kugusa kiuno halina uhusiano na sisi kushuhudia hayo maumbile ya kwapa eeh...
watu8 bwana eti wadada wana kijasho fulani hivi...hao wenye singlendi wanaotunyanyulia mikono kwenye madaladala wananukia uturi eeh...
Eeeeheee we wataka kila siku mie tu akaaa na sitoki mpaka nione mwisho wakee sijui kakusamehee maana hata hajii shauri yako utalambwa kwapa