Makwapa yawe safi jamani

Makwapa yawe safi jamani

Waaacheni watu na style zao!!!!!!!!

underarm+hair.jpeg
Armpit_Hair_Big.jpg
 
Hahahhaaaa jamani Tyta ah mi nilikuwa nina kikombe cha chai pembeni hamu yote imeniisha! Hebu nitoeni ushamba, mbona kuna wanaodai wanaume wakiwa na hii kitu makwapani ndio "sexy"?

Ni sexy vibaya mno.halafu mabinti wanakuwa wanaipenda ile harufu natural ya kikwapa. Yani wanachanganyikiwa nayo mabinti
 
Wanaume nyie ndio balaa, sasa kama ni mweusi atakua na kwapa jeupe?weusi anaweza mtu kua hivyo tu lakin pawe pasafiiiiiiiiii jamaniii

Sasa mtu mweusi ulitaka awe na kwapa kama rangi ya chungwa?

Wadada huwa mna makwapa fulani hivi yana ule ukakasi kama kaangio la chips
 
Za huyo mzungu natural lakini huyo mchina naona kama kazichomeka vile????

Kweli mana hata ukiangalia zilipoanzia kama hazieleweki eleweki. Ila wenzetu wana moyo mana wakija kwenye miji ya joto c itakuwa balaa.
 
Wadada ndio huwa mna makwapa meusi kama uchafu wa vocha...halafu mbaya zaidi mnavaa vile vikata mikono

Mmh wadada au wakaka? Wakaka wanatoka na singlendi za ndani kutoka pugu mpaka msasani! Na huko kwapani kumesheheni 'matunzo' ya miezi sita, tena yana rangi tofauti na ya asili! Sijui huwa yanafugwa ya nini.....Si afadhali huyo wa uchafu wa vocha kuwa ametoa ila kwapa tu ndio limebaki jeusi kama limepishana na matunzo....
 
Tena ya wadada ndio kiboko
Wadada tunakumbuka usafi nyie wanaume ndoo puuuuuh! umekesha huko kwenye shughuli zako hata muda wa kujichek hakuna af na usafi iwe kwako homa ni balaaaa.....wadada, wadada wa wap...
 
Back
Top Bottom