makwapa meusii!!

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,317
ninatatizo la makwapa yangu kuwa meusii sana, kama kuna mtu anajua dawa naomba anielekeze.
 
Waone wakongo wakusaidie mkorogo ila kua makini usije ukaingie kwenye mtego wa kimapenzi nao utaumia sana jamaa ni malaya wa kutupwa
 
:photo:HUO NI UCHAFU TU, PITA PALE FERI KWA WAVUVI,
WAKUGAWIE KIPANDE CHA NYAVU, UTAFUTE NA JIWE LA KAMASIA,
UKIONGEZEA NA SABUNI YA OMO ALAFU UNASUGUA IPASAVYO,
MAMBO YATAKUWA BYEEEEEEEEE!
UPUNGUZE PASPOTI SAIZI! LAKINI PIA UANGALIE NA KWAPA LA CHINI!
 
Usitumie Viwembe butu katika kunyoa, unashauriwa kutumia mashine ya umeme au betri.
 
Kuwa na makwapa meusi inawezekana una fungal infection au pseudomona infection. Hawa wanapenda sehemu nyevu nyevu na yenye acidic ph. Dawa muafaka ni kutumia antiseptic inayotoa Oxygen kwa wingi. Kama Hydrogen peroxide au povidon Iodin. Hii utapaka kwenye pamba au gauze na unasuguwa kwenye kwapa iliyokuwa nyeusi. Hii itasaidia pia kunuka kwa kwapa.
 
Nakubaliana na wewe, pia matumizi ya kemikali inaweza kuchangia. Tembelea mwanamkewanguvu.blogsot.com utapata majibu. Karibu.
Kuwa na makwapa meusi inawezekana una fungal infection au pseudomona infection. Hawa wanapenda sehemu nyevu nyevu na yenye acidic ph. Dawa muafaka ni kutumia antiseptic inayotoa Oxygen kwa wingi. Kama Hydrogen peroxide au povidon Iodin. Hii utapaka kwenye pamba au gauze na unasuguwa kwenye kwapa iliyokuwa nyeusi. Hii itasaidia pia kunuka kwa kwapa.
 
Jitahidi kunyoa nywele vizuri kwapani,chukua ndimu iliyokamuliwa{ganda lake sio maji} sugua makwapani frequently itakusaidia
 
Huyo ni fungus, tumia mshubiri mwitu (aloe vera) twanga, paka maji yake kila siku kutwa mara tatu. Na pia sugulia ndimu kila siku nusu kabla ya kuoga.
 
waenga walisema "miluzi mingi umpoteza Mbwa!"
kwa tiba zote hizo, mwisho wa siku, hilo kwapa
litakuwa la kijani na si jeusi!!:A S embarassed:
 
Kuna njia sahihi ya ufanya. Hao ni bacteria ambao unatakiwa uwaangamize kwa kutumia eodorant . Nitafute nitakuelekeza. uko wapi ili nikuletee maelezo? andika simu yako ama email yako
 
Nikwambie ummy mpendwa,fata ushaur wa doctoz,na ukiwa unanyoa tumia shaving cream km vle veet zpo nyingi tu kuna ya dry skin na oil skin ww utajua ngozi yako ya vp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom