Poleni Sana wafiwaKwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten.
View attachment 3511493
View attachment 3511494
Mzee Makwaia alifanikiwa kuibua mijadala mbali mbali iliyokuwa na tija nchini kwenye nyanja za Kiuchumi, Kisiasa na Kidiplomasia.
Tutaendelea kumuenzi kwa mazuri yake, Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema la milele.
Rest in pieceKwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten.
View attachment 3511493
View attachment 3511494
Mzee Makwaia alifanikiwa kuibua mijadala mbali mbali iliyokuwa na tija nchini kwenye nyanja za Kiuchumi, Kisiasa na Kidiplomasia.
Tutaendelea kumuenzi kwa mazuri yake, Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema la milele.
Hii zanaki/kurya imekuwa chukizoWatu wazuri hawadumu imagine tunabaki na wazee kama yule wa Mwalimu foundation
Linaitwaje vile, butiku halifi na leoWatu wazuri hawadumu imagine tunabaki na wazee kama yule wa Mwalimu foundation
Rip classmateKwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten.