Wakati muafaka utakapofika ni sisi wanachama tutakwambia kama tunakuhitaji kwa nafasi ipi. Big up, that is wisdom. Hata Dr Slaa alifuatwa na alikataa, alikubali baada ya kuombwa sana.
Mfupa wa maji ya Goba unamshinda, afanye juhudi sana asipoteze umaarufu.Jembeeeeeeee...Hilo ndilo Jembe la CDM bwana.Nakumbuka CCM walikuwa wanasema Malecela ni tingatinga la CCM lakini mimi nasema Mnyika ni Kifaru cha CDM
Mfupa wa maji ya Goba unamshinda, afanye juhudi sana asipoteze umaarufu.
Aendelee kutafuna huo mfupa taratibu asije pata ukibogoyo,Mkuu Lole kwa Goba Mnyika ni hero. Mfupa uliomshinda CCM for 50 yrs kijana anautafuna taratiibu