Makundi ya watu yanayoishi kwa stress kwenye jamii

Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya.

1. Dada wa kazi.
Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule wanapata mda wa kutuliza akili.

Hofu yao kuu ni kugombezwa, kutukanwa, kuropokewa nk toka kwa maboss zao ambao ni toxins women au circle sin.

Wapo wanawake Wana tabia mbaya za kuwaumiza watoto wa wenzao kwa kuwaropokea maneno makali, machafu yasiyofaa ( toxin's) kisa wanawalipa mshahara au mabinti wanatokea family masikini hii ni laana mbaya mama unapanda kwenye maisha yako.

Dada wa kazi ni mwanao usimtende vibaya kisa hana thamani kwako, lakini kumbuka ndio kabeba usalama wa maisha yako akiwa Kama muangalizi wa familia ukiwa haupo.

2. Madereva wote.
Hawa hofu yako kuu uletwa na traffic maana dereva mda wote anawaza kupigwa mkono ukitaka kuona hili kaa na dereva then akimuona traffic mbele muangalie usoni.

3. Malaya stress kuu ni namna ya kupata wateja siku hio.

4. Kibaka muda wote uwaza kitanuka

5. Mpangaji uomba mwisho wa mwezi usifike.

6.Wauza gongo

7.Machinga hofu ya kukamatwa na kubebewa Mali zao na wazee wa city.

Ukienda mjini wanauza huku macho juu juu
8.Marejesho ya vicoba marejesho uwapa sana stress hadi ujiuza ili waepuke kuchukuliwa vitu ndani wengi ukopa pasipo waume zao kujua.
9.Wenza waishio na chui.
Chui ni mwanamke/ mwanaume mgomvi,mtata,mkali, mkorofi ambae akifika home hadi nyau zinatafuta chimbo la kujifichia.
Acha ujinga we
List inakosaje maticha
 
Walimu

Cc: Mpwayungu Village
 
🚶
 
Umewasahau wanasimba wote
1. Simba ni timu ya 8 miongoni mwa timu bora barani Afrika. Yanga ikiwa ya 18
2. Simba imecheza Ligi ya mabingwa mpaka robo fainali huku Yanga ikicheza mechi mbili ya Zalan na Al hilal ikatolewa ikaenda kucheza kombe la washindwa (Shirikisho)
3. Simba itacheza mashindano ya Super cup. Haya mashindano wanacheza timu bora barani Afrika huku Yanga hayupo na inawezekana ikamchukua miaka 200 kucheza.
Hii rekodi aliyoweka Simba, Yanga inaweza kumchukua miaka 200 kuvunja rekodi ya Simba.
Mwaka 2017-2021 Simba ilichukua ubingwa misimu 4 mfululizo. Sioni jipya hapo
Sasa hivi ukitolewa Champion hakuna kwenda Confederation.
Unafikiri kati ya Simba na Yanga nani anaishi na wasiwasi?
 
Ila hamna kombe lolote lakuringishia
 
Back
Top Bottom