Ukitaka kupata dondoo ya personality yako nenda kafanye test hapa kwanza :
Personality Test
Mku hao waongo! Nimefanya test yao na kunipa 50% kwa matokekeo yote sita!
Ni afadhali maelezo ya mada nafit 99.999% Kundi A kitoto cha B! [phlagmatic!]
Yes!Ulikuwa honest kweli mkuu?
Mkuu ulevi si hubadili tabia kwa muda mchache tu? Au kuna zaidi ya hapo?Anyway hizi personality huweza kuwa altered na mazingira ya ukuaji au utumiaji wa vilevi...
Yes!do you have moods?
Yah kwa muda mchache. Lakini ukishakuwa mlevi sugu yaweza kuwa ni badiliko la muda mrefu. OK binafsi napendelea kujua kiundani zaidi attributes za personality fulani kama myer-briggs indicators and the likes. Hapo ndiyo naweza tambua kwa urahisi vitu kama uwezo wa kufanya maamuzi, tolerance, feelings, perception, etc.Mkuu ulevi si hubadili tabia kwa muda mchache tu? Au kuna zaidi ya hapo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bashite kundi gani?
Karibu mkuuNatafuta mtunzaji mzuri wa siri, ntakutafuta😀
i agree!Nishasoma sehemu pia,binadamu huwi na hyo aina moja tu ya personality,unakuwa umemix na zingine,unaweza kuwa melancholic sanguine au melacholic choleric nk...