Nilidhulumiwa na Polisi(Afisa) kidogo niuawe

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
591
Reaction score
909
Wasalaam

Mwaka 2019 sitausahau kwa tukio hili
Kwa kifupi mimi ni mwenyeji sana wa maeneo ya Kimara Suka na Temboni

Maisha yaliniendea poa baada tuu ya kumaliza chuo...lakini hapo katikati ukiwemo 2019 hayakuwa poa kabisa

Siku moja jioni kulikua na mechi sikumbuki alikuwa anacheza man city na nani...nikasema hebu nipite hapa kwenye hii bar niulize mechi ni saa ngapi,karibu tuu mlangoni baada ya kuingia nikaona meza moja amekaa mtu mmoja wa makamo na mwingine alikuwa mzee kabisa mtu mzima...nikawasalimia nikaenda kukaa meza ya pembeni nikaagiza kinywaji

Ghafla yule mtu wa makamo akainuka kwa kufura kanifuata..."wewe unatusalimia unatujua?si ndio wezi ninyi..."katika kushikwa na butwaa nisijue na mimi ni react au vipi mzee akaanza kunisulubia makofi na mateke,alikuwa na vijana wengine meza za pembeni chawa wake wakaanza kunishushia kichapo huku wanasema hawa ni wezi...nilijitetea kwa uchungu nikasema jamani mimi mkazi wa maeneo haya isitoshe ni muumini wa hapa(ki pub kilikuwa karibu na Kanisa Katoliki Mavurunza)
.jamaa wakasema muongo...nikajitetea zaidi kuwa naimba hata kwaya mwiteni muumini yeyote loh watu wakazidi kuwa wengi huku wengine wanasema kaleteni mafuta loh nilianza kukata tamaa

Dakika kama 10 hivi baadhi ya barmaids walianza kunitetea...yule mzee ndio kwanza akapiga simu aletewe mkia wa Taa...mkia wa samaki mmoja hivi kama unavipelepele...dakika chache ukawa umefika...huku wengine wakinipiga na fimbo yeye alikuwa akinisulubia na huu mkia...loh maumivu makali sijawahi kuona...mkia ulinichanachana

Hatimaye baada ya kujitetea na kuona hawanielewi niliwaambia basi niueni hapo nikiwa nimekata tamaa na kumlilia sana Mungu kwa uchungu

Baada ya watu kumbana mzee nimemwibia nini na hakuwa na majibu ...kwa aibu alipiga simu kuuliza kama kuna gari ya polisi ilikuwa Doris maeneo ya Temboni ije kunichukua...ndio nikajua huyu kumbe alikuwa Afisa Mkubwa wa Jeshi la Polisi...baadae akaamua na yule mzee nikafungwa kamba kama mbuzi nikatupwa nyuma kwenye gari yake mpaka Gogoni Police Station...alivyonishusha nilimmshambulia kwa maneno makali sana huku akiwapa oda askari waliokuja kunichukua kuendelea kunipiga...sikusikia maumivu tena
..nilimtamkia maneno yote ya laana

Asubuhi yake niliulizwa na mkuu wa kituo unashtakiwa kwanini na nani nikamjibu simjui muulize askari alienipeleka...nikaandikiwa natuhumiwa kwa uhalifu bila kuutaja uhalifu wenyewe...nilipandishwa mahakamani...asante Mungu nilipata dhamana na hakimu nilivyorudi mara ya pili akafuta kesi

Swali...Hivi vetting ya polisi lazima uwe na roho mbaya ya kishetani au ni kozi mnasoma huko huko?

Tunafundishwa kusamehe...sasa kuamua kumpotezea mtu kama yule ndio kusamehe au kuna kwenda mbali zaidi?
 
Nina kisasi kibaya sana ambacho kinakaa rohoni miaka mingi ikiwa nimedhuliwa jambo ambalo linaonekana...

Yangenikuta mimi ki ukweli ningechukua hata miaka mi tano ila jambo lingemkuta naamini ni mara tano yake.. Hapo asingejua ni nani wala hata kunifikiria ni mimi kwani miaka ingekuwa ishapita sana na nimefanya utafiti wa hali ya juu.
 
Wasalaam

Mwaka 2019 sitausahau kwa tukio hili
Kwa kifupi mimi ni mwenyeji sana wa maeneo ya Kimara Suka na Temboni

Maisha yaliniendea poa baada tuu ya kumaliza chuo...lakini hapo katikati ukiwemo 2019 hayakuwa poa kabisa

Siku moja jioni kulikua na mechi sikumbuki alikuwa anacheza man city na nani...nikasema hebu nipite hapa kwenye hii bar niulize mechi ni saa ngapi,karibu tuu mlangoni baada ya kuingia nikaona meza moja amekaa mtu mmoja wa makamo na mwingine alikuwa mzee kabisa mtu mzima...nikawasalimia nikaenda kukaa meza ya pembeni nikaagiza kinywaji

Ghafla yule mtu wa makamo akainuka kwa kufura kanifuata..."wewe unatusalimia unatujua?si ndio wezi ninyi..."katika kushikwa na butwaa nisijue na mimi ni react au vipi mzee akaanza kunisulubia makofi na mateke,alikuwa na vijana wengine meza za pembeni chawa wake wakaanza kunishushia kichapo huku wanasema hawa ni wezi...nilijitetea kwa uchungu nikasema jamani mimi mkazi wa maeneo haya isitoshe ni muumini wa hapa(ki pub kilikuwa karibu na Kanisa Katoliki Mavurunza)
.jamaa wakasema muongo...nikajitetea zaidi kuwa naimba hata kwaya mwiteni muumini yeyote loh watu wakazidi kuwa wengi huku wengine wanasema kaleteni mafuta loh nilianza kukata tamaa

Dakika kama 10 hivi baadhi ya barmaids walianza kunitetea...yule mzee ndio kwanza akapiga simu aletewe mkia wa Taa...mkia wa samaki mmoja hivi kama unavipelepele...dakika chache ukawa umefika...huku wengine wakinipiga na fimbo yeye alikuwa akinisulubia na huu mkia...loh maumivu makali sijawahi kuona...mkia ulinichanachana

Hatimaye baada ya kujitetea na kuona hawanielewi niliwaambia basi niueni hapo nikiwa nimekata tamaa na kumlilia sana Mungu kwa uchungu

Baada ya watu kumbana mzee nimemwibia nini na hakuwa na majibu ...kwa aibu alipiga simu kuuliza kama kuna gari ya polisi ilikuwa Doris maeneo ya Temboni ije kunichukua...ndio nikajua huyu kumbe alikuwa Afisa Mkubwa wa Jeshi la Polisi...baadae akaamua na yule mzee nikafungwa kamba kama mbuzi nikatupwa nyuma kwenye gari yake mpaka Gogoni Police Station...alivyonishusha nilimmshambulia kwa maneno makali sana huku akiwapa oda askari waliokuja kunichukua kuendelea kunipiga...sikusikia maumivu tena
..nilimtamkia maneno yote ya laana

Asubuhi yake niliulizwa na mkuu wa kituo unashtakiwa kwanini na nani nikamjibu simjui muulize askari alienipeleka...nikaandikiwa natuhumiwa kwa uhalifu bila kuutaja uhalifu wenyewe...nilipandishwa mahakamani...asante Mungu nilipata dhamana na hakimu nilivyorudi mara ya pili akafuta kesi

Swali...Hivi vetting ya polisi lazima uwe na roho mbaya ya kishetani au ni kozi mnasoma huko huko?

Tunafundishwa kusamehe...sasa kuamua kumpotezea mtu kama yule ndio kusamehe au kuna kwenda mbali zaidi?
Boresha muonekano wako
Kana unavaa na kunyoa kihuni ndio hivyo.
Pili punguza unyonge mimi hata wangekuwa 20 ningepambana nao kama bruce lee ningevunja mtu taya
 
Hawa watu bwana mi hata ndugu yangu akipata hiyo kazi undugu unakufa, na najitahidi sana kuishi maisha yasiyoweza kunikutanisha nao ila ndo kama hivyo bahati mbaya hutokea... I still remember vividly one of 'em once put a gun on mi head, a fkng loaded gun, ni Mungu tu kwamba yale yaliisha.
 
Wasalaam

Mwaka 2019 sitausahau kwa tukio hili
Kwa kifupi mimi ni mwenyeji sana wa maeneo ya Kimara Suka na Temboni

Maisha yaliniendea poa baada tuu ya kumaliza chuo...lakini hapo katikati ukiwemo 2019 hayakuwa poa kabisa

Siku moja jioni kulikua na mechi sikumbuki alikuwa anacheza man city na nani...nikasema hebu nipite hapa kwenye hii bar niulize mechi ni saa ngapi,karibu tuu mlangoni baada ya kuingia nikaona meza moja amekaa mtu mmoja wa makamo na mwingine alikuwa mzee kabisa mtu mzima...nikawasalimia nikaenda kukaa meza ya pembeni nikaagiza kinywaji

Ghafla yule mtu wa makamo akainuka kwa kufura kanifuata..."wewe unatusalimia unatujua?si ndio wezi ninyi..."katika kushikwa na butwaa nisijue na mimi ni react au vipi mzee akaanza kunisulubia makofi na mateke,alikuwa na vijana wengine meza za pembeni chawa wake wakaanza kunishushia kichapo huku wanasema hawa ni wezi...nilijitetea kwa uchungu nikasema jamani mimi mkazi wa maeneo haya isitoshe ni muumini wa hapa(ki pub kilikuwa karibu na Kanisa Katoliki Mavurunza)
.jamaa wakasema muongo...nikajitetea zaidi kuwa naimba hata kwaya mwiteni muumini yeyote loh watu wakazidi kuwa wengi huku wengine wanasema kaleteni mafuta loh nilianza kukata tamaa

Dakika kama 10 hivi baadhi ya barmaids walianza kunitetea...yule mzee ndio kwanza akapiga simu aletewe mkia wa Taa...mkia wa samaki mmoja hivi kama unavipelepele...dakika chache ukawa umefika...huku wengine wakinipiga na fimbo yeye alikuwa akinisulubia na huu mkia...loh maumivu makali sijawahi kuona...mkia ulinichanachana

Hatimaye baada ya kujitetea na kuona hawanielewi niliwaambia basi niueni hapo nikiwa nimekata tamaa na kumlilia sana Mungu kwa uchungu

Baada ya watu kumbana mzee nimemwibia nini na hakuwa na majibu ...kwa aibu alipiga simu kuuliza kama kuna gari ya polisi ilikuwa Doris maeneo ya Temboni ije kunichukua...ndio nikajua huyu kumbe alikuwa Afisa Mkubwa wa Jeshi la Polisi...baadae akaamua na yule mzee nikafungwa kamba kama mbuzi nikatupwa nyuma kwenye gari yake mpaka Gogoni Police Station...alivyonishusha nilimmshambulia kwa maneno makali sana huku akiwapa oda askari waliokuja kunichukua kuendelea kunipiga...sikusikia maumivu tena
..nilimtamkia maneno yote ya laana

Asubuhi yake niliulizwa na mkuu wa kituo unashtakiwa kwanini na nani nikamjibu simjui muulize askari alienipeleka...nikaandikiwa natuhumiwa kwa uhalifu bila kuutaja uhalifu wenyewe...nilipandishwa mahakamani...asante Mungu nilipata dhamana na hakimu nilivyorudi mara ya pili akafuta kesi

Swali...Hivi vetting ya polisi lazima uwe na roho mbaya ya kishetani au ni kozi mnasoma huko huko?

Tunafundishwa kusamehe...sasa kuamua kumpotezea mtu kama yule ndio kusamehe au kuna kwenda mbali zaidi?
Mungu wa Rehema na Neema usishangae yule mzee anaenda mbinguni harafu wewe ukaenda Motoni.

Hii imani ni complex sana
 
Back
Top Bottom