Makubwa kama haya: Rais au Ikulu kutokujua ni mzaha mwingine katika kupigania Uwajibikaji

Baada ya uteuzi wa Muhongo ambao kama kawaida ulisifiwa na kupongezwa na baadhi yetu hapa JF niuliza kama mtu mwenye sifa zote hizo alizokuwa anasifiwa anaweza kukubali uteuzi wa uwaziri ktk wizara yenye mikono michafu ya maboss wake. Leo wote wamepotea hapa jukwaani. Muhongo ni jambazi na ana laana ya mkewe wa kwanza aliye muua. Leo Mungu amemlipizia huyo mama!
 
Mechi ndiyo kwanza inaanza hata sab bado leo wameongea wavulana kesho wanaongea wanaume hutaamini masikio yako.

Naona unavyogawa siku mbili hizi walaji hakuna heri ukampe jirani yako tu siku Moja atakusitiri na mvua kuliko kujipeleka kwa kina Muhongo ambao hata MAGARI yao hujawahi yasogelea....
 
Baada ya uteuzi wa Muhongo ambao kama kawaida ulisifiwa na kupongezwa na baadhi yetu hapa JF niuliza kama mtu mwenye sifa zote hizo alizokuwa anasifiwa anaweza kukubali uteuzi wa uwaziri ktk wizara yenye mikono michafu ya maboss wake. Leo wote wamepotea hapa jukwaani. Muhongo ni jambazi na ana laana ya mkewe wa kwanza aliye muua. Leo Mungu amemlipizia huyo mama!

Duh very sorry kumbe jamaa alirestisha in peace kiburudisho chake? Mungu aepushie mbali
 
Zitto kaishamaliaza kila kitu viongozi wako walikuwa wapi kupambana na hii issue.



Naomba mola afungue fahamu zako ili upate kuona kuwa swala la wizi wa escrow account sii la chama bali la taifa. Sote tunaishi kwa taabu kubwa sana kwa sababu ya wezi hawa.
 
Hapo kwenye wekundu jakaya panamuhusu Sema tu analindwa na mfumo mbovu wa katiba naye angewajibika
 
[FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]"[/FONT]
Escrowgate inatosha kutufanya tulazimike kuutumia utaratibu huo? Bunge na wabunge wana mori na motisha wa kulirukia, achilia mbali utashi na ujasiri wa kulifanya, jambo hilo? Nchi na wananchi wapo tayari kumtua Waziri Mkuu zigo la kashfa zote za ufisadi utokanao na uzembe wa watendaji na viongozi wakuu wa Serikali na kumtwika Rais?" -
UDADISI: Tatizo la Tanzania ni Waziri Mkuu?
 
Zitto kaishamaliaza kila kitu viongozi wako walikuwa wapi kupambana na hii issue.

zito pale alikua ni msomaji wa taarifa tu yeye sio kamati yote kamati ni zaidi ya zito rais wako ni fisadi tu
 
Last edited by a moderator:
Siyo lazima Rais ajue, ukiangalia hata pm mwenyewe siyo lazima ajue

wezi wakubwa hao hiyo kamati imeona ikimtimua rais wabunge watagawanyika hivyo kukwamisha na maazimio mengine lakini kule kusini mbeki alitimuliwa
 
Hii ni sawa wewe kama baba wa nyumba mwanao ana mimba karibia ya miezi sitta alafu unajifanya hujui!
 
Wanaoujua ufisadi wa IPTL katika ukubwa, mapana na urefu wake wanatambua kuwa kushughulika na Escrow Account pekee (kisha kujiaminisha tumeshughulikia IPTL katika ujumla wake) ni mzaha unaoweza kuvumiliwa kwa minajili ya kuacha muda au wakati uwe hakimu mzuri. Lakini kwa wale wanaoujua undani wa IPTL namna mkataba wa kilaghai na kifisadi ulivyosainiwa tangu miaka ile ya 90 wakati nchi ilipoingia katika shida kubwa ya umeme, huku wahusika wakituingiza katika uvundo mkubwa ambao umezalisha matawi mengi, mojawapo likiwa ni hili la Escrow Account (cha mtoto?), watakuwa na maswali mengi hasa baada ya kuwasilishwa kwa Ripoti ya PAC. Mojawapo ya maswali hayo ni je; Kweli kwa ufisadi mkubwa kama huu, ukiwa ni sehemu ya matokeo ya moja ya mikataba mibovu katika sekta ya nishati, kwamba mabilioni ya fedha yaliyochotwa sehemu nyeti kama benki kuu, yakagawiwa kwa kiwango kile, kiasi ambacho mtu anaweza kujenga hoja na kuhitimisha kuwa kulikuwa na elements za state capture or rather an institutionalized corruption, kwamba ofisi kuu ya nchi na mwenye ofisi ambaye kimamlaka ni Rais Mtendaji alikuwa hajui yote haya? Kwamba aliyekuwa anajua ni Waziri Mkuu pekee! It is a question which remained to be answered! Time will tell, alisema Bob.

Mkuu Tumaini, wakati hili sakata linaendelea, rais anazurura hata hajitambui,anasubiri upepo upite arudi nchini
 
Mleta uzi ni kiongozi wa chadema. Anachotaka hapa ni kuhamisha mada. Waliotajwa ndio wahusika wakuu tudili nao hao kwanza wakiwemo viongozi wa dini walafi walioacha kumtumikia mungu na kwenda kuiba pesa za watanzania
 
Wakirsto wataimaliza hii nchi kwa ufisadi.

twambie wewe boko haram sasa ccm haina mwislam wa kupitishwa kuwa rais sasa utahamia chama gani? maana tunajua nyinyi boko haram huwa hamshabikii chama bali dini ya mgombea
 
Wakirsto wataimaliza hii nchi kwa ufisadi.

kuna haja gani ya kuwa na rais kama kikwete ambaye wizi na ufisadi wote unafanyika yeye yupo yupo tu! ana tofauti gani na koti lilo tungikwa kwenye kiti pale ikulu!!!!!!!?????????!!!!!
 
Back
Top Bottom