Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
hehehehe, kumbe Kongosho hua unablush???
Mnachakachua thread nyie!!!!
hehehehe, kumbe Kongosho hua unablush???
I gesi wos
liwalo na liwe
Umekua Mod siku hizi? :mmph:Mnachakachua thread nyie!!!!
You can't hate me bwana, unaanzaje vile?
EMT kachoka, amelala. Nipe ujumbe wake nitamfikishia akiamka.
As a matter of fact amesha amka.Hmmm....
As a matter of fact amesha amka.
Kacheka kweli kuona hii post yako
Na mimi nikitoswa nitakuja na thread
Usijali tutaanzisha kakikundi, sio?
sijui, twambie wewe.Kwani kuna aliyetoswa?
sijui, twambie wewe.
Nannhii kakufanya nini?Kutokana na makosa niliacha shilingi ya leo nikangoja laki ya kesho!
Bahati mbaya nikala za uso. Nilivyodhani ndivyo kumbe sivyo!
Nimejifunza.
du pole usidharau kidogo....
Nannhii kakufanya nini?
Nilijua tu lakini.
Hivi nilishawahi kukwambia kua napenda location yako?Nannhii kakufanya nini?
Nilijua tu lakini.
Kutokana na makosa niliacha shilingi ya leo nikangoja laki ya kesho!
Bahati mbaya nikala za uso. Nilivyodhani ndivyo kumbe sivyo!
Nimejifunza.