Chabo na vichelema hukupitia hii experience?πKuhonga totozi , nikiwa na miaka 21 nilipiga pesa sana, na mwana ambae ndio alinifahamisha jf na humu yupo , kitu sitakaa nisahau nilihonga sana na kukodi magari , kufanya tambo laiti ningekua na akili za sasa hapa nilipo ningekua mbali zaidi
Hiyo hapana bwashee πChabo na vichelema hukupitia hii experience?π
Kuhonga totozi , nikiwa na miaka 21 nilipiga pesa sana, na mwana ambae ndio alinifahamisha jf na humu yupo , kitu sitakaa nisahau nilihonga sana na kukodi magari , kufanya tambo laiti ningekua na akili za sasa hapa nilipo ningekua mbali zaidi
Bwashee nikiwa na miaka 20 account yangu ilisoma mil 100 , bata na tambo za kijinga ziliniponza sana π hiyo pesa niliitafuta kwa mdamfupi ila cha kushangaza ile akili ya kufosi hivyo sina tenaπMimi nilikuwa mtu wa ibada sana kisa binti wa mchungajiπ
Hahaha ndio ukweli huo bwashee, amini kwambaView attachment 3642431
Chai ya maziwa tena ya baridi
Hahaha acha kabisa nikifunguka zaidi kuna nyumbu watasanukaπUlikuwa young millionaire
Nyeto mbona tunakula mpaka uzeeni bwasheenilikula sana nyeto ..hapa nilipo ni mlemavu wa mkono wa kushoto
tutazikwa nayo mangiNyeto mbona tunakula mpaka uzeeni bwashee
Ituue tu bwashee πtutazikwa nayo mangi