Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

NALIONA PIA hilo na ukweli team magufuli ilikuwa na wachapa kazi sana , kwa sababu hakuangalia uCCM wako aliangalia zaidi merit na alikuwa ukichelewesha kazi tu kakungoa
Kamfufueni huyo magufuli wenu..tumewachoka wapuuzi nyie..jiwe huyu huyu ambae binamu Yake alikuwa paymaster general au? na makandokando kibao aliyafanya..mara Elfu ya Samia kuliko jiwe...Kila baya unaloliona jiwe ndio muanzilishi mkuu.
 
angela Kairuki na kibamba
Huyu aliununua ubunge kwa pesa yake mwenyewe. sijawahi kushudia RUSHWA ya kiwango kile toka kwa mgombea
kisha anakuja kuwa waziri Afu uniambie raisi ana sijui vyombo gani vinafanya kazi sijui ujinga gani
Hata kama afisa hakuwa anapenda rushwa, akiona hii ya Kairuki anaona rushwa inaruhusiwa
 
Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama.

1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara ya ardhi ni wizara nyeti yenye malalamiko mengi mno, na ni wizara yenye rushwa mno, waziria anayehitajika hapo anatakiwa mtu mkali sana mfano Lukuvi au Jerry slaa au biteko

2. Kuna wizara kama ya kilomo umemtoa Bashe alikuwa ameshaonyesha nia ya kuibadilisha sana wizara hiyo na kujua kusolve matatizo haswa ya wakulima , kuanzia kuimarisha uzalishaji wa mbegu, kununua nafaka na kuhifadhi yaani kuiboresha NFRA, kusisitiza miradi ya umwagiliaji nk lakini kumtoa inamfanya waziri Chongolo kuanza na mambo yake tena na sioni kama speed kama ya mtangulizi wake , Chongolo anafaaa sana wizara kama ya ulinzi , wizara ziisizo na makeke wala mbio mbio

3. Doto biteko imewahuzunisha sana watanzania kumtosa hata kama issue ni uraia sidhani kama ninfactor nyeti kwa sababu kwa level ya uwaziri hawezi kuwa na siri nyingi sana za nchi na kuna tiss ifanye kazi yake ya kumfuatilia , Huyu alikuwa mtendaji mzuri sana na ana nidhamu angebaki wizara ile ile

4. Waziri wa mambo ya nje ni mzigo tu kwa serikali mtoe mweke kabudi kupunguza gharama na kuongeza ufanisi

Mwisho wizara ya mali asili na utalii tunahitaji waziri mwenye ubunifu na anayejua uhamasishaji wa kimataifa hapa nashauri utulie sana hata ukimtoa kwenye sector binafsi mteue ubunge na umpe uwaziri,

hapa angaliia mtu aliyefanya vizuri sana kwenye marketing and branding campaign kwenye makampuni makubwa au nje ya nchi, au mpe balozi Kairuki alipokuwa china niliona kazi yake alifanya kazi kubwa sana ya jutangaza fursa za china kwa wafanyabiashara wetu, wengi tulipata huduma zake bila ukiritimba wala rushwa

Tunaipenda mama Tanzania
Katiba ibadilishwe ili mawaziri waombe kazi. Walete VC zao, washindanishwe, wapewe muda wa kupimwa kazini, (probation time)

Huu ujinga wa siasa kuwasifia au kuwapamba au kuwaponda utaisha jumla.
 
Kamfufueni huyo magufuli wenu..tumewachoka wapuuzi nyie..jiwe huyu huyu ambae binamu Yake alikuwa paymaster general au? na makandokando kibao aliyafanya..mara Elfu ya Samia kuliko jiwe...Kila baya unaloliona jiwe ndio muanzilishi mkuu.
Hatumfufui lakini legacy yake mpaka miaka 30 ijayo haitafutika kama ulikuwa na vyeti feki sio lazima ujionyeshe humu
 
angela Kairuki na kibamba
Huyu aliununua ubunge kwa pesa yake mwenyewe. sijawahi kushudia RUSHWA ya kiwango kile toka kwa mgombea
kisha anakuja kuwa waziri Afu uniambie raisi ana sijui vyombo gani vinafanya kazi sijui ujinga gani
Anamaanisha yule mme wake. Balozi.
 
angela Kairuki na kibamba
Huyu aliununua ubunge kwa pesa yake mwenyewe. sijawahi kushudia RUSHWA ya kiwango kile toka kwa mgombea
kisha anakuja kuwa waziri Afu uniambie raisi ana sijui vyombo gani vinafanya kazi sijui ujinga gani
Kuna ambae hakununua ubunge..?
 
angela Kairuki na kibamba
Huyu aliununua ubunge kwa pesa yake mwenyewe. sijawahi kushudia RUSHWA ya kiwango kile toka kwa mgombea
kisha anakuja kuwa waziri Afu uniambie raisi ana sijui vyombo gani vinafanya kazi sijui ujinga gani
Wanawake hampendani
 
Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama.

1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara ya ardhi ni wizara nyeti yenye malalamiko mengi mno, na ni wizara yenye rushwa mno, waziria anayehitajika hapo anatakiwa mtu mkali sana mfano Lukuvi au Jerry slaa au biteko

2. Kuna wizara kama ya kilomo umemtoa Bashe alikuwa ameshaonyesha nia ya kuibadilisha sana wizara hiyo na kujua kusolve matatizo haswa ya wakulima , kuanzia kuimarisha uzalishaji wa mbegu, kununua nafaka na kuhifadhi yaani kuiboresha NFRA, kusisitiza miradi ya umwagiliaji nk lakini kumtoa inamfanya waziri Chongolo kuanza na mambo yake tena na sioni kama speed kama ya mtangulizi wake , Chongolo anafaaa sana wizara kama ya ulinzi , wizara ziisizo na makeke wala mbio mbio

3. Doto biteko imewahuzunisha sana watanzania kumtosa hata kama issue ni uraia sidhani kama ninfactor nyeti kwa sababu kwa level ya uwaziri hawezi kuwa na siri nyingi sana za nchi na kuna tiss ifanye kazi yake ya kumfuatilia , Huyu alikuwa mtendaji mzuri sana na ana nidhamu angebaki wizara ile ile

4. Waziri wa mambo ya nje ni mzigo tu kwa serikali mtoe mweke kabudi kupunguza gharama na kuongeza ufanisi

Mwisho wizara ya mali asili na utalii tunahitaji waziri mwenye ubunifu na anayejua uhamasishaji wa kimataifa hapa nashauri utulie sana hata ukimtoa kwenye sector binafsi mteue ubunge na umpe uwaziri,

hapa angaliia mtu aliyefanya vizuri sana kwenye marketing and branding campaign kwenye makampuni makubwa au nje ya nchi, au mpe balozi Kairuki alipokuwa china niliona kazi yake alifanya kazi kubwa sana ya jutangaza fursa za china kwa wafanyabiashara wetu, wengi tulipata huduma zake bila ukiritimba wala rushwa

Tunaipenda mama Tanzania
Kiufupi CCM imeshapoteza legitimate ya kuongoza TZ that is why kila kitu. I shagarabagara
 
Acha kumpangia mh Rais nini cha kufanya, hao aliowateua wanafaa sana.Ulipomtaja Bashe nikaona umejaa ujinga mwingi Bashe huyu mbabaishaji mwizi mwizi tu.Hawa walioteuliwa wapewe muda uongozi siyo kufokafoka ujue
 
Toka uliposema mtu asie Raia anafaa kuongoza niacha kusoma
 
Labda niulize.

Kwanini hakuna utaratibu wa kuweka mawaziri katika wizara ambazo wana ujuzi nazo??

Mfano, waziri wa katiba na sheria asiwe Mwanasheria

Waziri wa Afya awe Daktari
Waziri wa ulinzi awe Mwanajeshi

Acha kumpangia mh Rais nini cha kufanya, hao aliowateua wanafaa sana.Ulipomtaja Bashe nikaona umejaa ujinga mwingi Bashe huyu mbabaishaji mwizi mwizi tu.Hawa walioteuliwa wapewe muda uongozi siyo kufokafoka ujue
Toka tumepata uhuru lini kilimo kimewahi kuwa na mikakati inayotoa dira kama kipindi cha bashe? kama kuna wizi mbona ni rahisi sana waziri sio mlipaji mkuu na kuna takukuru na tiss wapo si wafanye kazi zao? mengine ni chuki tu na makundi ya kisiasa
 
Back
Top Bottom