Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,463
Reaction score
1,284
Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama.

1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara ya ardhi ni wizara nyeti yenye malalamiko mengi mno, na ni wizara yenye rushwa mno, waziria anayehitajika hapo anatakiwa mtu mkali sana mfano Lukuvi au Jerry slaa au biteko

2. Kuna wizara kama ya kilomo umemtoa Bashe alikuwa ameshaonyesha nia ya kuibadilisha sana wizara hiyo na kujua kusolve matatizo haswa ya wakulima , kuanzia kuimarisha uzalishaji wa mbegu, kununua nafaka na kuhifadhi yaani kuiboresha NFRA, kusisitiza miradi ya umwagiliaji nk lakini kumtoa inamfanya waziri Chongolo kuanza na mambo yake tena na sioni kama speed kama ya mtangulizi wake , Chongolo anafaaa sana wizara kama ya ulinzi , wizara ziisizo na makeke wala mbio mbio

3. Doto biteko imewahuzunisha sana watanzania kumtosa hata kama issue ni uraia sidhani kama ninfactor nyeti kwa sababu kwa level ya uwaziri hawezi kuwa na siri nyingi sana za nchi na kuna tiss ifanye kazi yake ya kumfuatilia , Huyu alikuwa mtendaji mzuri sana na ana nidhamu angebaki wizara ile ile

4. Waziri wa mambo ya nje ni mzigo tu kwa serikali mtoe mweke kabudi kupunguza gharama na kuongeza ufanisi

Mwisho wizara ya mali asili na utalii tunahitaji waziri mwenye ubunifu na anayejua uhamasishaji wa kimataifa hapa nashauri utulie sana hata ukimtoa kwenye sector binafsi mteue ubunge na umpe uwaziri,

hapa angaliia mtu aliyefanya vizuri sana kwenye marketing and branding campaign kwenye makampuni makubwa au nje ya nchi, au mpe balozi Kairuki alipokuwa china niliona kazi yake alifanya kazi kubwa sana ya jutangaza fursa za china kwa wafanyabiashara wetu, wengi tulipata huduma zake bila ukiritimba wala rushwa

Tunaipenda mama Tanzania
 
angela Kairuki na kibamba
Huyu aliununua ubunge kwa pesa yake mwenyewe. sijawahi kushudia RUSHWA ya kiwango kile toka kwa mgombea
kisha anakuja kuwa waziri Afu uniambie raisi ana sijui vyombo gani vinafanya kazi sijui ujinga gani
 
Kinachofanyika kwa Samia ni kutoa team Magufuli na kuingiza team msoga.
NALIONA PIA hilo na ukweli team magufuli ilikuwa na wachapa kazi sana , kwa sababu hakuangalia uCCM wako aliangalia zaidi merit na alikuwa ukichelewesha kazi tu kakungoa
 
angela Kairuki na kibamba
Huyu aliununua ubunge kwa pesa yake mwenyewe. sijawahi kushudia RUSHWA ya kiwango kile toka kwa mgombea
kisha anakuja kuwa waziri Afu uniambie raisi ana sijui vyombo gani vinafanya kazi sijui ujinga gani
hapana namuongelea mume wake balozi mbelwa kairuki ni balozi wa Tanzania uingereza
 
Huwezi kuipenda Tanzania na Samuya kwa wakati mmoja.

Ndio maana unamuona amekosea
Kwa sasa ndo rais wetu tupambane kushauri anapokosea hamna namna akifanya vizuri tumsifie tusubiri mtanange 2030
 
Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama.

1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara ya ardhi ni wizara nyeti yenye malalamiko mengi mno, na ni wizara yenye rushwa mno, waziria anayehitajika hapo anatakiwa mtu mkali sana mfano Lukuvi au Jerry slaa au biteko

2. Kuna wizara kama ya kilomo umemtoa Bashe alikuwa ameshaonyesha nia ya kuibadilisha sana wizara hiyo na kujua kusolve matatizo haswa ya wakulima , kuanzia kuimarisha uzalishaji wa mbegu, kununua nafaka na kuhifadhi yaani kuiboresha NFRA, kusisitiza miradi ya umwagiliaji nk lakini kumtoa inamfanya waziri Chongolo kuanza na mambo yake tena na sioni kama speed kama ya mtangulizi wake , Chongolo anafaaa sana wizara kama ya ulinzi , wizara ziisizo na makeke wala mbio mbio

3. Doto biteko imewahuzunisha sana watanzania kumtosa hata kama issue ni uraia sidhani kama ninfactor nyeti kwa sababu kwa level ya uwaziri hawezi kuwa na siri nyingi sana za nchi na kuna tiss ifanye kazi yake ya kumfuatilia , Huyu alikuwa mtendaji mzuri sana na ana nidhamu angebaki wizara ile ile

4. Waziri wa mambo ya nje ni mzigo tu kwa serikali mtoe mweke kabudi kupunguza gharama na kuongeza ufanisi

Mwisho wizara ya mali asili na utalii tunahitaji waziri mwenye ubunifu na anayejua uhamasishaji wa kimataifa hapa nashauri utulie sana hata ukimtoa kwenye sector binafsi mteue ubunge na umpe uwaziri,

hapa angaliia mtu aliyefanya vizuri sana kwenye marketing and branding campaign kwenye makampuni makubwa au nje ya nchi, au mpe balozi Kairuki alipokuwa china niliona kazi yake alifanya kazi kubwa sana ya jutangaza fursa za china kwa wafanyabiashara wetu, wengi tulipata huduma zake bila ukiritimba wala rushwa

Tunaipenda mama Tanzania
Kati ya Mawaziri wa ovyo kabisa kuwhi kutokea ni huyu wa Mambo ya Nje, ni ovyo kabisa.
 
Labda niulize.

Kwanini hakuna utaratibu wa kuweka mawaziri katika wizara ambazo wana ujuzi nazo??

Mfano, waziri wa katiba na sheria asiwe Mwanasheria

Waziri wa Afya awe Daktari
Waziri wa ulinzi awe Mwanajeshi

Kwanini haiko hivyo?
 
inawezekana kabisa enzi ya mkapa alifanya hivyo , wizara nyingi aliweka wenye ujuzi nazo
 
angela Kairuki na kibamba
Huyu aliununua ubunge kwa pesa yake mwenyewe. sijawahi kushudia RUSHWA ya kiwango kile toka kwa mgombea
kisha anakuja kuwa waziri Afu uniambie raisi ana sijui vyombo gani vinafanya kazi sijui ujinga gani
Hivi kwa CCM kuna mgombea ambaye hakutoa RUSHWA?..au shida ipo kwenye kiwango?
 
Brain infrastructure workforce it pulls itself but fails to move..!
 
Back
Top Bottom