Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

Na kusubiri kutafutwa pia. Hawajihangaishi kutafuta wanaume wa kuwaoa. Hii ni kasumba mbaya sana. Akina dada nanyi tafuteni, watokee wakaka haina noma.
  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.
  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.
  • baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
  • baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
  • baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
  • baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!
 
Bomba sana, ila amesahau moja ...

Baadhi ya wasichana ukichukua namba yake ya simu leo, kesho yake anakuomba umtumie vocha ...
 
Na kusubiri kutafutwa pia. Hawajihangaishi kutafuta wanaume wa kuwaoa. Hii ni kasumba mbaya sana. Akina dada nanyi tafuteni, watokee wakaka haina noma.

Umesahau 1,wasichana wasasa wanasubiri
Wanatafuta wazee ,kwa udi na uvumba ,eti kuwa wazee lazima wanahela za mafao,na kuwakimbia vijana ,kwa sasa hii ndio ndoto yao kubwa.
 
Kuolewa hakuna mwisho,hata ukiolewa na 78 yrs bado ni ndoa.........have fun,love yourself and do what makes you the happiest,life is short and there is no guarantee that when married everything will be smooth.......chelewa as much as you can,when you are comfortable and you meet someone.....go ahead!!
 
okay kwa issue sio kuwa hawaolewi but wanachelewa kwa sababu ambazo wewe umezitaja , ndio ujue kila mtu anachoice ya mtu anayetaka kuishi naye mwingine anataka handsome akimpata hata kama yuko 34 roho imelizika anaolewa!mwingine anataka mwenye mapesa so hadi roho ipate kitu inapenda ati?kwani wewe utaoa mwanamke ambaye is not of ur dream???anaweza asiwe na vigezo vyote ulivyotamani but ukimpta mwenye 80% lazima utangaze ndoa.
 
Kuolewa hakuna mwisho,hata ukiolewa na 78 yrs bado ni ndoa.........have fun,love yourself and do what makes you the happiest,life is short and there is no guarantee that when married everything will be smooth.......chelewa as much as you can,when you are comfortable and you meet someone.....go ahead!!
NA UTAKAPO OLEWA UTASHIKA MIMBA AT 78? UTAKAPO ZAA MTOTO ATKUITE MAMA AU BIBI?
Acheni kujidanganya na wazungu na hawa Black Americans ambao wanasagana na kukimbilia adoption
Madada wa Kitanzania acheni Movies Life na ucerebrity fake.
Du ila ina wacost poleni sana,Ndo maana mnapangwa na G8 apa Mujini kama simu za kichina
 
Umesahau,
wengine wanajishughulisha sana na shule, kujitafutia maendeleo katika maisha yao binafsi na kusahau kuyapa mahusiano kipaumbele, wakija kushtuka muda umepita, wana miradi/kazi nzuri, pesa nyingi na wanaume wa umri unaofaa wanawaogopa.
 
  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.
  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.
  • baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
  • baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
  • baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
  • baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!

Kwenye Red ongezea .."au dini zao".

Kwenye red hapo nadhani tunaweza kujadili zaidi na tutagundua kuwa hicho kigezo hakina ubaya kama hivyo vingine. Ukiangalia swala la imani au utamaduni na mila, inapendeza kama ikiwezekana watu wawe na imani au utamaduni mmoja.Bahati nzuri dini unaweza kubadili lakini kabila linalobeba mila, desturi au utamaduni huwezi kubadili.
 
NDOA ANAPANGA MUNGU. FULL STOP uwe mbaya, mzuri, una pesa au huna na vyovyote vile kama ulipangiwa kuolewa utaolewa na kama hukupangiwa utaishia kuishi na mtu mnazaa na mnaachana pamoja na ndoa yenu ya kanisani. Tujitahidi kuwa wavumilivu na si kulazimisha mambo
 
  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.

  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.

  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.

  • [*]baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.

    [*]baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.

    [*]baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.

    [*]baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!
Hapo nilipo-italize na ku-bold upo sawa kabisa mkuu! Jambo hilo linawacost sana dada zetu siku hizi! Badilikeni jamani, kwani unaweza kuolewa na masikini na baadae mkashirikiana kutafuta na hatimaye mkawa matajiri wa kutupwa!!!!!!!!!!!!
 
Yatawashinda wasichana wanawake kila mara hamchokiiii tuuuuu

Na wanaume wa siku hizi wanapenda wanawake/wasichana wenye kazi nzuri na mapesa kedekede
Hawajishughulishi
 
NA UTAKAPO OLEWA UTASHIKA MIMBA AT 78? UTAKAPO ZAA MTOTO ATKUITE MAMA AU BIBI?
Acheni kujidanganya na wazungu na hawa Black Americans ambao wanasagana na kukimbilia adoption
Madada wa Kitanzania acheni Movies Life na ucerebrity fake.
Du ila ina wacost poleni sana,Ndo maana mnapangwa na G8 apa Mujini kama simu za kichina

Tatizo lako una fikra finyu sana,hufikirii zaidi ya urefu wa pua yako.......kama kuna mayatima kwa nini wasiwe adopted,si ni watoto pia??

Kwani lazima ufike 78 ukiwa huna mtoto,uzae wakati huo?? Si kuna wenye watoto na wanalea wenyewe hawataki kuolewa?kama siku akitokea akatamani kuolewa si anaolewa??

Dada zako ndo wanaishi maisha ya movie,wengine wanaishi real life,kila mtu ana choice zake kwenye maisha usijitie kujua sana whats best for everyone....

Pole yako kawape wanaokulilia shida,na ujipe mwenyewe unaowaonea wenzio shida wasizokuwa nazo.......

Si kila mtu anapagawa na G8,acha ushamba wa ku-assume kila mtu ana status moja na wewe,kwenye akili yako G8 ndo gari ya gharama sana????wenzio hatupagawi na vitu kama hivyo,tunataka peace of mind na furaha kwenye maisha yetu,na tunajiamini na tunaishi maisha quality independently,wewe kama mama yako alikuambia furaha inakuja ukioa au kuolewa,wengine mama zetu walitulea kuwa independent na kufanya maamuzi wenyewe si kwa kuangalia wengine wanafanyaje.We do what is best for US not for everyone.:coffee:
 
michelle this is too much for him dear,take easy n be calm,,,blessings
 
  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.
  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.
  • baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
  • baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
  • baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
  • baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!

Hasa wa migombani... lol
 
Tatizo lako una fikra finyu sana,hufikirii zaidi ya urefu wa pua yako.......kama kuna mayatima kwa nini wasiwe adopted,si ni watoto pia??

Kwani lazima ufike 78 ukiwa huna mtoto,uzae wakati huo?? Si kuna wenye watoto na wanalea wenyewe hawataki kuolewa?kama siku akitokea akatamani kuolewa si anaolewa??

Dada zako ndo wanaishi maisha ya movie,wengine wanaishi real life,kila mtu ana choice zake kwenye maisha usijitie kujua sana whats best for everyone....

Pole yako kawape wanaokulilia shida,na ujipe mwenyewe unaowaonea wenzio shida wasizokuwa nazo.......

Si kila mtu anapagawa na G8,acha ushamba wa ku-assume kila mtu ana status moja na wewe,kwenye akili yako G8 ndo gari ya gharama sana????wenzio hatupagawi na vitu kama hivyo,tunataka peace of mind na furaha kwenye maisha yetu,na tunajiamini na tunaishi maisha quality independently,wewe kama mama yako alikuambia furaha inakuja ukioa au kuolewa,wengine mama zetu walitulea kuwa independent na kufanya maamuzi wenyewe si kwa kuangalia wengine wanafanyaje.We do what is best for US not for everyone.:coffee:

The Following Users Say Thank You to michelle For This Useful Post:

LD (Today),​
 
michelle this is too much for him dear,take easy n be calm,,,blessings

Fine my dear,am kind of tired of people who think they have the right formula of how we should live our lives.....Blessings to u 2 dear!
 
Back
Top Bottom