LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 574
NA UTAKAPO OLEWA UTASHIKA MIMBA AT 78? UTAKAPO ZAA MTOTO ATKUITE MAMA AU BIBI?
Acheni kujidanganya na wazungu na hawa Black Americans ambao wanasagana na kukimbilia adoption
Madada wa Kitanzania acheni Movies Life na ucerebrity fake.
Du ila ina wacost poleni sana,Ndo maana mnapangwa na G8 apa Mujini kama simu za kichina
Mkaka wa kitanzania, ndoa ni zaidi ya mtoto, mama na bibi.
Usije ukaoa simply because unataka mtoto, au umri umeenda.
Maisha ni Amani na Furaha.
Afadhali kukaa kwenye pembe ya dari kuliko kuishi na mwanamke/mwanaume mgomvi. Mithal..........