Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.
  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.
  • baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
  • baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
  • baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
  • baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!
 
hapo kwenye underline tuko pamoja sana!!
 
is that so? and how did u know it?anyway i think it can be so though it cant be also,by the way its ok
 
Kwa kuongezea tu, ...kuna baadhi ya wasichana wako so desperate kuolewa in such a way akienda first date na mtu anaanza kuuliza honemoon yetu itakuwa wapi kiasi kwamba wanaume wanakuwa scared na kuishia, just keep it slow ladies, good things come to those who are patients.
 
Kwa kuongezea.. baadhi ya wasichana wanapiga mno Invoice kiasi kwamba wanaume wanawakimbia-haswa hizi vocha! ni kero tupu
 
mh kuna kaukweli, mie zamani nilikuwa nachagua kweli nilikuwa nataka mwanaume mrefu na awe msukuma... hii kitu ilinipotezea muda sana na hata nilipompata ckufaidi kama nilivyokuwa nategemea
olalala....hukufaidi vipi?
 
  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.
  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.

    [*]baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
  • baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
  • baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
  • baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!

Hapo kwenye mstari na imekuwa magnified, iwe fundisho kwa wasichana wa siku hizi, sio kila anayekuvisha pete anakupenda kidhati wengine ni matapeli.
 
Na wengine ukimuaproach kwa mala ya kwanza anataka mwende kwa wazazi wake, matokeo wengi wanaishia, maana usitake "ajira kabla ya kibarua''.
 
  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
  • baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.
  • baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.
  • baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
  • baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
  • baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
  • baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!

Hapo kwenye bold panahusu sana mi nimeona wengi wa ki hivyo....na inawacost kweli
 
Na wengine ukimuaproach kwa mala ya kwanza anataka mwende kwa wazazi wake, matokeo wengi wanaishia, maana usitake "ajira kabla ya kibarua''.

Kuna wengine ukishapeleka hata hiyo barua immediately wananegotiate mahari..unaambiwa mahari millioni moja and u a like 'hivi naenda kununua mtu'? Unachapa lapa tu
 
  • baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.

  • [*]baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.

    [*]baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.

    [*]baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.

    [*]baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.

    [*]baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.

    [*]baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!

Give me validity and reliability of your arguement!
 
he@ Mashi...you kidding us or what......tell me how do we determine validity and reliability and then u will realize that ur argument is uncalled for here
 
Back
Top Bottom