Umeongea vyemaTatizo lako una fikra finyu sana,hufikirii zaidi ya urefu wa pua yako.......kama kuna mayatima kwa nini wasiwe adopted,si ni watoto pia??
Kwani lazima ufike 78 ukiwa huna mtoto,uzae wakati huo?? Si kuna wenye watoto na wanalea wenyewe hawataki kuolewa?kama siku akitokea akatamani kuolewa si anaolewa??
Dada zako ndo wanaishi maisha ya movie,wengine wanaishi real life,kila mtu ana choice zake kwenye maisha usijitie kujua sana whats best for everyone....
Pole yako kawape wanaokulilia shida,na ujipe mwenyewe unaowaonea wenzio shida wasizokuwa nazo.......
Si kila mtu anapagawa na G8,acha ushamba wa ku-assume kila mtu ana status moja na wewe,kwenye akili yako G8 ndo gari ya gharama sana????wenzio hatupagawi na vitu kama hivyo,tunataka peace of mind na furaha kwenye maisha yetu,na tunajiamini na tunaishi maisha quality independently,wewe kama mama yako alikuambia furaha inakuja ukioa au kuolewa,wengine mama zetu walitulea kuwa independent na kufanya maamuzi wenyewe si kwa kuangalia wengine wanafanyaje.We do what is best for US not for everyone.:coffee:
mimi hiyo red ndo inanicost jamani sina tatizo lingine
- baadhi ya wasichana huyaelekeza macho yao kwa wanaume matajiri wakisahau kuwa hakuna mtu aliyezaliwa na utajiri bali hata masikini wa leo anaweza kuwa tajiri baadae.
- baadhi ya wasichana wanapenda na kutamani kuwa na wanaumme wazuri sana kuliko wote amabao hawapo.
- baadhi ya wasichana hawajishughulishi kabisa na kujiweka katika hali ya kuvutia wakiamini kwamba mungu atawaletea tu. Hata wawe na tabia nzuri au mbaya.
- baadhi ya wasichana wakivishwa pete na baadae kutelekezwa na kuachwa huamini kuwa wanaume wote duniani hawafai tena na huwachukia wanaume wote.
- baadhi ya wasichana wanajifanya ni wa daraja la juu sana na mwishowe hufanya kiburi na hatimae wanaume wanawakwepa.
- baadhi ya wasichana wana tatizo la kutokujiamini na wanawaogopa wanaume kupita kiasi.
- baadhi ya wasichana wanapenda kuolewa na watu wa kabila lao au watu kutoka kijiji kimoja ambayo , ambapo pale mahala wanapoishi kwa sasa huwa vigumu kupatikana !!!
Bebii bado tu?mimi hiyo red ndo inanicost jamani sina tatizo lingine
Umesahau,
wengine wanajishughulisha sana na shule, kujitafutia maendeleo katika maisha yao binafsi na kusahau kuyapa mahusiano kipaumbele, wakija kushtuka muda umepita, wana miradi/kazi nzuri, pesa nyingi na wanaume wa umri unaofaa wanawaogopa.
Kwani kutokuolewa lazima?Kwani kuolewa lazima?
unatokea kijiji gani yule kijana wako anaweza kunifaabebii bado tu?
Kwani kutokuolewa lazima?
Sasa vijana wenyewe nyie usumbufu tuuuu, kesho huyu, leo huyu, jana huyu.
Hunisaidii chochote, nikiuomba vocha unasema, nikiwa mchafu unasema, nisipovaa vizuri unasema.
Daaa ama kweli dunia ina mambo.
M
Kwani kuolewa lazima?
Hahahaha!!!! Tusker Bariiidi bana lolMwishowe baada ya Ma-frustation WANAJILIPUA... eti SINGLE MOTHER.
Hasa wanawake wa Kichaga!Na wengine ukimuaproach kwa mala ya kwanza anataka mwende kwa wazazi wake, matokeo wengi wanaishia, maana usitake "ajira kabla ya kibarua''.
Ha ha haa umenichekesha mkuu unajua kuna wanaume huwa wanasubiriNa kusubiri kutafutwa pia. Hawajihangaishi kutafuta wanaume wa kuwaoa. Hii ni kasumba mbaya sana. Akina dada nanyi tafuteni, watokee wakaka haina noma.
Kwa sababu na wewe una haraka, yaani kukaa sitiBomba sana, ila amesahau moja ...
Baadhi ya wasichana ukichukua namba yake ya simu leo, kesho yake anakuomba umtumie vocha ...
Great! Unajua wanawake wa sasa hawana mapenzi na sidhani kamaUmesahau 1,wasichana wasasa wanasubiri
Wanatafuta wazee ,kwa udi na uvumba ,eti kuwa wazee lazima wanahela za mafao,na kuwakimbia vijana ,kwa sasa hii ndio ndoto yao kubwa.