Makosa 5 Wajasiriamali Wanafanya Katika Mtandao wa Facebook na Instagram

Pesa za namba namba ya USD ndio zipi hizo? Kwani hiyo USD sio pesa halali?

Sijakuelewa hapo
mkuu kama ulishawahi fungua ads account ukaona kilichomo nadhani utaelewa. account yangu inazaid ya USD 25mil, siku ya kwanza kuifungua niliweweseka nikidhani in real money nilivyogoogle nikaambiwa hizo pesa zinasurpot kwenye matangazo tu na huwezi zitoa
 
Kusema la ukweli sijui unaongelea nini.

Facebook inatoa service ya kufanya matangazo. Na kama unataka tangazo lako lionekane mbele ya umati wa wanachama wa Facebook, Facebook wanakutoza hela.

Not fake money. REAL MONEY!

Kuweza kulipia matangazo unahitaji kuwa na VISA / Master Card ambazo zinapatikana katika benki tofauti kama CRDB, Banc ABC, NBC n.k.
 
Maelekezo yote nimeeleza humo. Ada, OFA iliyokuwepo kwa sasa, unapata nini, unalipia vipi. Kila kitu kiko huko.
Kwa kuwa hutaki kutueleza tuliopo hapa watutaka twende huko, waonaje ukienda huko utuache?
 
We jamaa wewe mwenyewe unatakiwa upate crush course ya customer care na namn ya kufanya marketing especially digital marketing kwa usahihi kuna kitu upo wrong sana hasa kwenye website yako na ukiendelea hvyo utastruggle sana kupata viewers.
 
Unaambiwa shiriki somo la ujasiliamali kwa shilingi elfu kumi ili uje kuwa milionea.
Kwanza kabla ya kushiriki unatakiwa ujiulize kwa huyo anayekufundisha huo ujasiliamli ameshakua milionea?

Kama jibu ni No basi ujue kapata fursa nae anaitumia.
Sawa ,nimekuelewa lakini Siyo wote n mamillionea,na pia waganga wanatoa utajiri c wengi lakini mbona watu wengi hawatajiriki!!Jua kitu kimoja kila mtu ana Jambo,au ameletwa Kwa dhumuni fulani
 
Sawa ,nimekuelewa lakini Siyo wote n mamillionea,na pia waganga wanatoa utajiri c wengi lakini mbona watu wengi hawatajiriki!!Jua kitu kimoja kila mtu ana Jambo,au ameletwa Kwa dhumuni fulani
Katika falsafa hii inaitwa 'straw man' argument. Mtu anapinga hoja kwa madaha lakini hoja inayopinga haikuzungumzwa kabisa. Sifahamu hayo mambo ya kulipa shs. 10,000 na kuwa milionea ilitoka wapi.
 
Back
Top Bottom