ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,732
- 1,787
Na mimi naunga mkono hizo ni ID fake kama za JfIbilisi, Shetani, Malaika, Mungu, Malaika yote ni majina ya hadithi tu.
Si majina ya vilivyopo kiuhalisia.
Ndiyo maana huwezi kuthibitisha hata kimoja kati ya hayo majina kipo kwa uhalisia.
Lakini nyuma wapo the real 'Anunaki' mpende msipende