Unahisi umekielewa nilichokiandika ?Wewe hata swali unalijua ni lipi na jibu ni lipi?
Utaanzaje kulijua hili swali na hili jibu kama unaamini Mungu mwenye contradiction?
Ibilisi, Shetani, Malaika, Mungu, Malaika yote ni majina ya hadithi tu.
Si majina ya vilivyopo kiuhalisia.
Ndiyo maana huwezi kuthibitisha hata kimoja kati ya hayo majina kipo kwa uhalisia.
Utajibuwa na mungu katika ndoto, Sisi wanadamu hatuna majibu ya vitu vilivyo vya kiimani zaidi.
Wapi umeuliza wakati ulikua unalialia tuHujajibu niliyouliza.
Bujajibu contradiction inayoonesha mapengo katika ubongo wako yanayofanya fikra zako ziwe na kilema cha kudumu.
Utajua vipi kama nimeelewa au sijaelewa kama unakubali Mungu wa contradiction?Unahisi umekielewa nilichokiandika ?
Hujathibitisha Mungu yupo.Wapi umeuliza wakati ulikua unalialia tu
Kitabu sio chako unashupalia kina contradiction uliiweka wewe..!?
Hilo pengo la ubongo unalo wewe unaedandia yasiyo kuhusu
Kwa akili yako hiyo ya mlengo mmoja hata ukienda kwa watani wangu kusini mwa Tanzania
Wakikuambia wanakula Upupu utapinga na kuona wanawezaje kula sumu na iwe chakula_ inajicontradict hii
Na ndipo utakapokufa kwa njaa kwakuwa huna adabu ya kuuliza
Kaa ufundishwe sio ujeuri ujeuri tu
Hujathibitisha Mungu yupo, unapiga hadithi tu.Ibilisi ni jina la sifa ya mtu mwenye kiburi, majino, muovu na mpotoshaji haki na ukweli na asiyetumaini juu ya jambo lolote jema kutoka popote.
Shetani ni jina la sifa ya mtu au kitu chenye matendo maovu mfano mtu muongo au mwenye lugha chafu na matusi, mkaidi na jeuri nk.
Malaika ni jina la sifa ya mtu au nafsi njema, au kwa lugha nyingine sifa ya malaika ni kinyume cha sifa ya shetani.
Mungu ni nafsi ambayo kwayo kila kitu kimeumbwa na kumtegemea Yeye yaani, "causa causans", ni nafsi iliyomo kwenye "realm" ya Eternity, ni nafsi isiyoguswa na muda, ndiyo nafsi iliyosanifu na kuumba DNA (hereditary material iliyomo ndani ya Genes).
Watu wasiojua wanataka ,eti ufahamu wa kumjua Mungu ungepandikizwa ndani ya Genes !!πππ, ni kichekesho kikibwa!!, sasa kama ni hivyo kazi ya ubongo iwe ni nini??!!, nyinyi Atheists mnashindwaje kuumba viumbe wenu na mfanye hivyo mnavyotaka??, mmezoea malalamiko tu huku hata kuumba "unicellular creature" hamuwezi ila kushupaa tu na kauli za kijinga eti "thibitisha Mungu yupo"π€π€, hiyo mechanism ya DNA uliisanifu wewe??!!, complexity ya human body mechanism uliisanifu wewe??. Inatosha tu kwa mifano michache kutambua kuwa aliyesanifu na kuumba hayo yote yupo na kwakuwa mambo yote hayo yanarndelea kuuumbwa katika nidhamu adhiimu, basi huyo aliyeumba hayo yote ni Mungu.
Kilanga, bado unatuhuma unazotakiwa unijibu au utujibu wana jf, tuhuma za ile A+ credit uliyoipata/uliyozawadiwa nje ya chumba cha mtihani huko Marekani kwa sababu tu ya kumkana Mungu, unachotakiwa ni kuweka maelezo mazuri ili tukuelewe na kama uliteleza basi muungwana hukiri kuteleza na kukiri ni ujasiri na hekima na "u-gentlemanship" na heshima yako itakuwa preserved.
Angalizo:- Naomba usitowe lugha chafu ili nisije kuamini kuwa lugha chafu ni "signature" ya "dini" yenu ya Atheism au nisije amini kuwa "dini" yenu inafundisha immortality.
Yupo Mbweni _nenda utamkuta ila uwahi kidogoHujathibitisha Mungu yupo.
Hujathibitisha, unapiga hadithi tu.Yupo Mbweni _nenda utamkuta ila uwahi kidogo
Wewe umekariri utawezaje kujua kuwa huu ni uthibitisho au La..!Hujathibitisha, unapiga hadithi tu.
Siyo tu huwezi kuthibitisha Mungu yupo, hujui hata kusoma.Wewe umekariri utawezaje kujua kuwa huu ni uthibitisho au La..!
Hata nikikuambia kuwa Upupu unaliwa na wewe hutaki kukubali
Na unasisitiza yanayoliwa ni maharage tu _unataka nikulazimishe..!?
Angalia hata muktadha wa habari ushasahau_huruma kweliSiyo tu huwezi kuthibitisha Mungu yupo, hujui hata kusoma.
Naunga mkono hojaNi matokeo ya kifikira za binadamu kwa sababu,
Bila uongo wa Muhammad kuwaaminisha watu kuwa kuna Mungu hata wewe usingekuwa na fikira hizi za uwepo wa Allah.
In short Allah ametengenezwa na kupandikizwa kichwani kwako na binadamu aitwae Muhammad kupitia qur'an,taurati,injili na Zaburi.
Kadhalika na kwa wale wa upande wa pili,bila wanadamu waliojiita manabii kumtengeneza Mungu kifikira na kuwapandikiza watu,tusingekuwa na makanisa leo.
Acheni kuwa watumwa wa kifikira,Mungu hayupo.
Hakosei kwasabu hayupoHivi Mungu naye anakosea?
Wewe unaweza kunipinga bila kujadili post zangu?Angalia hata muktadha wa habari ushasahau_huruma kweli
Tunazungumzia contradiction unazoziona wewe kwenye kitabu ambacho si cha kwako
Na ndio maana nakupa mifano hiyo kulingana na muktadha huo we vipi.!?
Na ndio uache kung'ang'ania visivyo kuhusu kwa kuwa huvijui
Naona Unarukaruka tu kama bisi
Na ndio tatizo la kulishwa pilau mtoto mchanga wakati meno huna_unawapa tabu watu tu
Hahaaaa takbirUnaambiwa Allah kaziba mioyo yao na masikio yao, maono yao kayawekea pazia. Na hao wana hukumu kubwa.
Yani Aallah anakufanya usimjue, halafu anakuhukumu kwa sababu hujamjua!
Unaambiwa kitabu cha Mungu hicho.
Surah Al-Baqarah [2:7]
SAHIH INTERNATIONAL
Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.
The Question of God . Sigmund Freud . Human Mythology | PBS
Sigmund Freud: Human Mythology
from Program One
Freud turns to humanity's archaic past to explain the longing for an "exalted father."
Narrator: Freud called religion an illusion. For over 30 years, he developed this idea in his enormous body of work. His first major book, The Interpretation of Dreams was published in 1900, a book for the new century.
Freud: I completed the dream book. I was once again intoxicated with a hope that a step toward freedom and well-being had been taken.
Sander Gilman: The book flops. It falls on its head in a way that is unbelievable, because the medical scholars read this and say, "Nothing to do with medicine." The popular reception is virtually zero. Freud is desperate.
Freud: Not a leaf stirred to reveal that The Interpretation of Dreams had any impact on anyone. Understanding was meager; praise was doled out like alms.
Gilman: It takes an enormous amount of time to sell the first hundred copies of the book. But based on that book, Freud is now taken seriously in a sub-group in medicine and in culture in Vienna.
Narrator: A group of followers β Alfred Adler, Carl Jung, Otto Rank β gathered around Freud and his work. The group gave themselves the name The Vienna Psychoanalytic Society. Within 20 years, there were dozens like it throughout the world.
Ismar Schorsch: The essence of psychoanalysis, of Freud's creation, is interpretation. Reading symbols. Understanding stories. It's this interpretive thrust, which I've always felt is so Jewish in Freud. Judaism is an interpretive religion and psychoanalysis is an intellectual discourse which turns on interpretation.
Narrator: From his work in The Interpretation of Dreams, Freud began to see that mythology reflected human history and human psychology too. On his desk, there was a collection of statues, heads, busts, figurines. Ancient objects that had been dug up.
Gilman: Freud imagined himself as the archaeologist of the soul. And so, one of the things that he does is to think about this notion of the psyche as having levels, as being equivalent to the levels that the archaeologist digs through. But he also understood that those levels represented different civilizations, different stages of development of civilization. Religion is something that Freud sees as something that has to do with the archaic past of human beings. And these objects, these beautiful aesthetic objects, are also ritual objects.
Gilbert Bond: He identifies in the language of religion and mythology, terms that can be appropriated for scientific use. He retools pre-Christian Greek stories and sees them as oracles to the inner workings of humankind and then arranges a scientific approach to understanding that phenomena within the structures of rationality.
Freud: Religions owe their compulsive power to reawakened memories of very ancient, forgotten, highly emotional episodes of human history.
Blum: I think that Freud decided because of his analysis of myth that many of the myths were in common. The myths about paradise, about expulsion from paradise, about immortality, about resurrection or rebirth, could be found in so many different societies and cultures and in ancient cultures, that it made him think about how similar they were to many of the beliefs in current religions like Judaism and like the different branches of Christianity.
Gilman: Freud tells the story of being brought to a church and being sort of overwhelmed by the spectacle. He tells this as an adult about a childhood memory. He tells other stories about the nanny also, about the seductive power of the nanny, in terms of her belief, her piety. These stories Freud tells to talk about the pitfalls of religion. He doesn't like religious practice, so he says, "only a child would've been suckered by these candles and this incense."
Narrator: Later in his life, Freud would bring all his thinking on religion together in the book, The Future of an Illusion.
Freud: Religion is the universal obsessional neurosis of humanity. Like the obsessional neurosis of children, it arose out of the Oedipus Complex, out of the relation to the father. Our God, reason, will fulfill whichever of our wishes nature outside us loves.
Ana-Maria Rizzuto: Freud claimed religion is an illusion but our science is not an illusion. Darwin had shown us that we descend from monkeys, that Copernicus had said we are not the center of the universe, and Freud was saying "come down from your heights, human beings, you are not as great as you think you are. You have to save yourself from your delusions. You're full of sexuality, you're full of hatred and lust and envy. Face yourself. I am going to save you from those delusions."
Mtu na akili zake kabisa anakwambia anamkubali huyo Mungu, na hicho kitabu cha Mungu.Hahaaaa takbir
Can't beat the God hocus pocus.[emoji523]A MERE HOCUS POCUS.[emoji523]