Ukishatumia "na" "au" "isipokuwa" ushatumia mantiki.Hahaha,bro nakutesa sana,leta hitimisho la kimantiki katika shahada bro.
Swali langu nimekwambia hivi,leta hitimisho la kimantiki katika shahada,au huwa mnajadili tu "na", "au", "isipokuwa" bila kuleta hitimisho kwa jambo mnalolijadili ?Ukishatumia "na" "au" "isipokuwa" ushatumia mantiki.
Ila inawezekana hujui hilotu, ndiyo maana unaipinga mantikiwakati hapo hapo unaitumia.
Watu hao hawapo, kwa sababu Allah hayupo.Wewe unaweza kuwajua watu hao ?
Duuuh !Watu hao hawapo, kwa sababu Allah hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Allah yupo.
Hujajibu kw aufasaha hata moja, umejibu kwa kukosa werevu.Maswali yako yote 10 ambayo ulidai ndio yanayokupelekea usiamini uwepo wa Mungu nimekujibu kiufasaha zaidi.
Unataka upi zaidi,nimekuuliza unataka kumuona kwa macho umegoma.
Nioneshe wapi Mungu amesema maneno hayo.Hujajibu kw aufasaha hata moja, umejibu kwa kukosa werevu.
Majibu yako yamezidi kuonesha kwamba huyo Mungu unayemsema humjui, na hivyo vitabu unavyosema ni vya Mungu hujavisoma kwa kina.
Ndiyo maana nimekuuliza inakuwaje Mungu mwingi wa rehema na upendo awazibe watu mioyo wasimjue, halafu awahukumu kw akutomjua, hujanijibu.
Dini= Religion =دين
Mpaka hapo swali lako linaonesha hujaisoma Quran vizuri, unakubali hilo?Nioneshe wapi Mungu amesema maneno hayo.
Acha maneno mengi ,onesha hiyo aya unayoisema.Mpaka hapo swali lako linaonesha hujaisoma Quran vizuri, unakubali hilo?
Hapo umetafsiri sijakuambia unipe tafsiri
Naomba maelzo ya dini sitaki tafsiri
Kazi nimemaliza.Lazima ujibu "Duh".
Huwezikuthibitisha Mungu yupo.
Huijui kwa sababu huijui Quran,siyo?Acha maneno mengi ,onesha hiyo aya unayoisema.
Umemaliza kazi ya kuonesha huwezi kuthibitisha Mungu yupo.Kazi nimemaliza.
Hapo umetafsiri sijakuambia unipe tafsiri
Naomba maelzo ya dini sitaki tafsiri
Umeshindwa kuonesha hiyo aya?Huijui kwa sababu huijui Quran,siyo?
Umeshindwa kuonesha hiyo aya?
Umeshindwa kuionesha hiyo aya?Unakubali huijui Quran kwanza nikuoneshe?
Nimemaliza kazi ya kukuonyesha kwamba huijui mantiki bali unajifaragua na msamiati upatikanao katika mantiki bila kuufanyia upembuzi yakinifu na mazingatio.Umemaliza kazi ya kuonesha huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Unakubali huijui Quran kwanza nikuoneshe?Umeshindwa kuionesha hiyo aya?