Falsafa ni haramu kwa sababu inahoji uongo wa kuwepo Mungu.Hawezi kuwa shekhe sababu sisi kwetu falsafa ni haramu.
Bro ukosoaji uko hivi,ukiona jambo lina kosa liweke sawa kisha leta lile lililo bora zaidi.Sasa nayajadili masharti, ili niyaelewe vizuri, nijue ninapoyakubali nakubali nini, na ninapokataa, ninakataa nini, unaniita mjinga?
Mimi kutaka kuyaelewa masharti kabla ya kuyakubali au kuyakataa ni ujinga?
Unategemea niyakubali au kuyakata masharti ambayo siyaelewi?
Huo ndio ujanja?
Hapa kati yangu mimi na wewe nani mjinga?
Wwapi nimemlaumu asiyekuwepo?Unamlaumu asiyekuwepo? Anyways, Mtume Paulo aliyuhasa kutokuwa na mabishano ya kipumbavu hususan juu ya mambo ya kiroho, "mabishano". Kila lakheri.
Huwezi kuhoji kifalsafa ukasalimika. Tunaipinga falsafa sababu ya udhaifu wake wala hatuioingi falsafa kinyume na hapo.Falsafa ni haramu kwa sababu inahoji uongo wa kuwepo Mungu.
Na hata wewe hapa mjadala huu kwenu ni haramu pia, kwa sababu una falsafa za kuhoji uwepo wa Mungu.
Mnatakiwa muamini bila kuhoji kwa falsafa, ili msifunguke macho.
Unajua ukishasema unaipinga falsafa, tayari ushatumia falsafa?Huwezi kuhoji kifalsafa ukasalimika. Tunaipinga falsafa sababu ya udhaifu wake wala hatuioingi falsafa kinyume na hapo.
Falsafa imewaharibu watu na kuwafanya wajinga.
Hii au saala la kuijadili falsafa tuiwekee mada yake pweke.
Turudi katika mada husika au tunalotaka kulifikia kwa sasa,nalo ni kuhusu haya masharti.
Bro naona unazidi kudhihirisha ujinga wako na udhaifu wako wa kushindwa kutofautisha mambo.
Nasubiri jibu la swali langu.
Mwenzako Kiranga alikiri wazi kabisa ya kuwa swali limemshinda hili.
Muulize mmbwa muda ni nini kama atakujibu. Msipende kupotezea watu muda kwa kauli za kitoto kama hizi.
Hivi nikiuliza kuhusu maji. Je kuna mtu au kiumbe kinaulewa tofauti na unavyoelewa wewe kuhusu maji ?
Mbona mnayakosea adabu maumbile kiasi hicho ?
Au mfano mwingine kuhusu kifo,hivi kuna maana nyingine ya kifo zaidi ya roho kutengana na mwili ?
Mnataka tuwaeleweshe vipi kuhusu suala la muda ili muweze kujibu ?
Mfano wa muda ni kama vile kifo,kadhalika maji.
Sasa ukibabatiza maneno naona wewe hauko kielimu bali kupotezeana muda tu.
Tuambie wewe hii dunia na vyote vilivyomo kavitengeneza nani ?
Au imekuwaje mpaka dunia imekuwa hivi ilivyo ?
Ndiyo maana nilikuuliza swali la msingi kuwa hao wanaozaliwa wazima ni yapi waliyoyafanya hadi wakastahiri kuzaliwa wazima hadi uone kuwa hao wengine labda wanamakosa ndiyo maana wakaumbwa na matatizo?
Sijatumia falsafa sababu falsafa ni tamko jibya limekuja limekuta binadamu wamesha anza kuhoji na kuupata ukweli miaka na mikaka iloyopita.Unajua ukishasema unaipinga falsafa, tayari ushatumia falsafa?
Hoja hupingwa kwa hoja, thibitisha kutokuwepo kwake kwa kuwa pasi na shaka umekili kwamba nimedhihirisha ya kwamba MUNGU yupo.
Falsafa ni nini? Unaweza kuyataja matawi yake?Sijatumia falsafa sababu falsafa ni tamko jibya limekuja limekuta binadamu wamesha anza kuhoji na kuupata ukweli miaka na mikaka iloyopita.
Hakuna kiumbe aliyeumbwa mjinga bro,jitafakari upya.Kuwepo kwa ujinga na udhaifu duniani kunazidi kuonyesha kama mungu hayupo
Mungu mwenye busara na hekima kwanini aumbe watu wengine awaumbe wajinga na wengine wenye uelewa
Huu ndio utoto nisioutaka,kule niliweka masharti ili kuzuia ujinga wa kuhamisha mada.Falsafa ni nini? Unaweza kuyataja matawi yake?
Moja ya masharti uliyoweka ni kunibu maswali.Huu ndio utoto nisioutaka,kule niliweka masharti ili kuzuia ujinga wa kuhamisha mada.
Tufanye kitu kimoja,tumalize mada moja kwanza kisha tuanzishe mada mpya,ni rahisi sana.
Twende kazi bro.
Kama tuna mental sickness, huo ninushahidi zaidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Huwa nikisema Atheist wote na wale wanaojidai ma Atheist kama Kiranga na wenzake wana MENTAL SICKNESS ndio kama hivi wanavyofanya na kuandika.
Bado nipo... Naona jambo la masharti limemshinda anataka tujadili Falsafa.
Ila bro sikufichi mimi nitakushikisha adabu. Uwe unatunza kumbukumbu bro. Hapa nakukumbusha sababu nataka nikusaidie. Suala la falsafa nilikuwa namzindua mdau mmoja baada ya kujifaragua kwake juu ya falsafa.Moja ya masharti uliyoweka ni kunibu maswali.
Wewe mwenyewe huwezi kutimiza masharti yako mwenyewe.
Unaongelea falsafa. Ukibanwa uelezee falsafa ni nini tujue kama unajua unachozungumzia, unaruka.
Hutaki kujibu maswali.
Unavunja masharti yako mwenyewe!