Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

He is not presidential material. Tusubiri tuone.
 
Ninadhani ni wazo la busara. Kwa ccm kilipofika sasa, kinahitaji mtu asiyekuwa na makundi ili kuua makundi, kuunganisha nguvu na kujaribu kukirejesha chama katka mising yake ya awali. Swali je ataweza? Kikwete aliyemchagua, amepeperushwa mbali sana na mawimbi ya nguvu za ufisadi, rushwa na ugaidi ndani ya ccm. Makongoro watamwacha?

Anyway, hayo ni ya ccm, tuwaachie wajaribu kufufua chama chao ingawa ninaona kama kuna gharama kubwa kuliko zinazoweka kuonekana kwa sasa.

Hata hivo masuala yote ya ccm, hayana tija kwa taifa kwa sababu, hatuchagui raisi kutoka ccm tena. Hatuipi ccm ridhaa ya kuunda srikali ya majaribio ya marekebisho. Watakaa kando, wajaribu kurekbishana na tukiwaona wanauwezo basi pengine miaka ijayo tunawea kuwafikiria tena. Lakini kwa sasa it it tuuu leiti.

Ccm kwa heri, kila la heri, mjipange upya lakini nje ya serikali yetu, tupumue . Tumechoka. Bye bye mafisadi!.
 
Wakuu,

Mtakumbuka wiki juzi niliwajuza kuwa rais Kikwete baada ya kuona ccm imekufa na hataki chama kizikwe mikononi mwake, aliomba ushauri kwa marais waastafu wa Afrika katika makutano yao kule Ethiopia. Walimshauri kua ajaribu kuokoa jahazi kwakukirudisha chama kwa familia ya mwasisi, Mama Maria Nyerere amajaribu kupinga suala hili lakini ameshindwa, washawishi hasa waandamizi wa dola wamekuwa na nguvu na hata vitisho.

Jana kulikuwa na kikao cha ukoo na wazee wa Musoma ili kupima na kuamua kumruhusu kijana wao mpendwa Makongoro Julius Nyerere kuwa ndie awe mrithi rasmi wa Kikwete.

Kikao hicho kimefanywa kwa ombi la rais Kikwete kwa wazee hao, ambapo wazee kwa kauli moja wamempa baraka zote kuwa kijana avae viatu vya marehemu Baba yake Mzee Julius Nyerere.

Baada ya jana kupata baraka zote, mda huu Makongoro amesafiri kutoka Musoma kuja Dar ambapo tayari ulinzi kwake umeimarishwa maradufu, sasa amepewa ulinzi ma nne ya aliokuwa nao hapo awali.

Chini ya jua haiwezekani kwani ccm ni nini ndio imeshikilia roho zetu wameshajichokea wakae tu pembeni na huu ndio umuhimu wa elimu ya kujitambua na uraiya waondoke tu tushawachoka.
 
labda atakuwa kama marehemu baba wa Taifa akipita mungu amsaidie ila! ajipange maana tupo vizuri of coz
 
na huyu ndiyo yericko nyerere mtungaji....hadithi hadithi...hadithi njoo..uongo njoo...sasa anamlisha mheshimiwa Rais maneno na anataka kumchonganisha na wana ccm wenzake.. Yericko mtungaji nikwambie kitu....kama unaota kuwa makongoro ndiye chaguo la JK basi nakuhakikishia kuwa sisi tutapiga kura za maruhani na tutahakikisha hapiti ndani ya vikao vya chama...
Wakuu,

Mtakumbuka wiki juzi niliwajuza kuwa rais Kikwete baada ya kuona ccm imekufa na hataki chama kizikwe mikononi mwake, aliomba ushauri kwa marais waastafu wa Afrika katika makutano yao kule Ethiopia. Walimshauri kua ajaribu kuokoa jahazi kwakukirudisha chama kwa familia ya mwasisi, Mama Maria Nyerere amajaribu kupinga suala hili lakini ameshindwa, washawishi hasa waandamizi wa dola wamekuwa na nguvu na hata vitisho.

Jana kulikuwa na kikao cha ukoo na wazee wa Musoma ili kupima na kuamua kumruhusu kijana wao mpendwa Makongoro Julius Nyerere kuwa ndie awe mrithi rasmi wa Kikwete.

Kikao hicho kimefanywa kwa ombi la rais Kikwete kwa wazee hao, ambapo wazee kwa kauli moja wamempa baraka zote kuwa kijana avae viatu vya marehemu Baba yake Mzee Julius Nyerere.

Baada ya jana kupata baraka zote, mda huu Makongoro amesafiri kutoka Musoma kuja Dar ambapo tayari ulinzi kwake umeimarishwa maradufu, sasa amepewa ulinzi ma nne ya aliokuwa nao hapo awali.
 
maadam ccm hawakutaka kufuata hushauri wetu sisi kina gogo la shamba la kupiga vita ufisadi na kuwachukulia hatua mafisadi wote mapema hawana njia tena ya kujinasua kuelekea kuwa chama pinzani maana kwa sasa mgombea wa Urais anapimwa ni kwa jinsi gani alivyopiga kelele kuhusu ufisadi hasa huu wa Escrow
 
Kwani kikwete ni nani adi awachagulie watanzania zaidi ya milioni 40 raisi ajaye?

mbona Mwinyi na Mkapa hawakufanya hivyo?

Mwambie asitutibue patachimbika, kwanza makongoro mwenyewe ni kilaza wa kutupa................
 
Back
Top Bottom