Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Yaani makongoro awe rais duhhh tutapiga bange mpaka tukae sawa
 
Yote kelele tu Lowasa ndio Rais wa awamu ya tano, mtazamo tu.

Lowassa,Lowassa hadi kero
Kila kukichaLowassa, Lowassa, oooo mtu mawazo yake binafsi tu anakujana kusema ametumwa na wanainchi katikaeneo lake mfano mkoa au kanda amshauri lowassa agombee Urais.
Lowassa jamani hafai, mtu anayejitajirishakwa kutumia wadhifa wake katika utumishi wa umma hafai kuwa kiongozi kwa sababusiyo mfano wa kuigwa, yaani kuiba mali za umma siyo sifa ambayo inafaa mtumwingine aige.
Lowassa kuwa kiongozi wa ofisi ya juukutavutia wezi wenzie kuinajisi ofisi hiyo, yaani kama ukifuga fisi tegemeafisi wenzie kumtembelea fisi mwenzao hawezi kutembelewa na swala.
Jamani Lowassahafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Kikwete, Mangula hebu mwambieni huyo mtu kwamba hanasifa za kiti cha urais, anaweza mambo mengine na siyo urais, ni nyie mnamlealeamnamchelewesha mpeni sure za moja kwa moja na wala siyo mafumbo mafumbo
CC.

  1. Jajaya Mrisho Kikwete
  2. Jack Zoka
  3. Philip Mangula
  4. Abdrahiman Kinana
  5. Benjamin Mkapa- Uliwakemea maaskofuukasema na majoho yao haiwezekani serikali tatu kwa sababu baba wa taifaalikataza mbona Lowassa humkemei? Mnafiki wee.
  6. Ali Hassan Mwinyi
  7. Nape Nnawiye
  8. Delvis Adolf Mwamunyange
  9. Ernest Hamis Mangu
  10. JohnKomba-na unafiki wako, kama Lulu Michael kakukomba mali zote usitegemee uibukiekatika kumpigia dabe fisadi Lowassa, kufa na lywako
  11. RostamAzizi –ikulu siyo pango la walanguzi unatumia mapesa yako ya wizi ili umwekeLowasaa ikulu ili uwe ndio uchochoro wako.
 
maelezo mafupi hayakinzani na taarifa yenyewe haieleweki kchwa ni wapi na mguu ni wapi
bora ukawa wafanye MAAMUZI MAGUMU itakuwa fundisho kwa maccm ubuyu
 
A.k.a gongo.
Ha ha ha ha ha!, mkuu mwanaume hakuna kuogopa pombe kali, unataka unywe wine kama wadada. Kula nyama sana hakikisha unavimbiwa kisawasaw, agiza viroba vyako 6 gonga kuondoa gesi tumboni kisha ingia kwenye mechi utaniambia habari yake, masaa 3 hufungi gari na bado unakuwa fiti
 
Kwani CCM kuna ulazima wa mtu kufaa au kutokufaa?Kwani huyu anayetoka ALIKUWA ANAFAA?

Cha msingi ni sisi watanzania tuamue kuchagua kinachofaa.

nani kakwambia kuwa kura yako ndo inaamua nan awe rais,inaelekea huyajui mambo ya system yalivyo.
 
Maccm kwa propaganda hamfai!!! eti hii ndio plani yenu ccm kuipata upya kanda ya ziwa,mmechelewaa!!
 
Ukiona watu wanakugangani ugombee uongozi wa nchi hii bila nafsi yako kuamua ujue wapo wanaotaka kutumia urais wako kama mtaji.
 
nani kakwambia kuwa kura yako ndo inaamua nan awe rais,inaelekea huyajui mambo ya system yalivyo.

Tunachotakiwa kufanya ni KUBADILIKA,Watanzania TUKIAMUA kubadilika mambo mengi sana yatabadilika.lakini tukiamua kukaa na kukongojea MPUMBAVU mmoja atuchagulie RAIS na sisi tukamkubali basi tutakuwa hivyo mpaka kiama kije!

Hebu tujiulize hivi huyu JK Nyerere alisema bila RUSHWA Tanzania ITAYUMBA?Tujiulize pili alipokasirika na kusema CCM siyo baba wala mama yake anaweza kuondoka wakati wowote,hebu takae chini pia tujiulize kwanini alisema?

Siamini kama bado tupo kwenye ile miaka ya 47,tujiamini tunaweza hakuna cha system wala nduguye system ni sisi watanzania kwa umoja tuamue kuchagua kiongozi bora na si bora kiongozi,uwezo tunao..........
 
Ha ha ha ha ha!, mkuu mwanaume hakuna kuogopa pombe kali, unataka unywe wine kama wadada. Kula nyama sana hakikisha unavimbiwa kisawasaw, agiza viroba vyako 6 gonga kuondoa gesi tumboni kisha ingia kwenye mechi utaniambia habari yake, masaa 3 hufungi gari na bado unakuwa fiti

Hii nchi itaendendwa kivirobaviroba mdau +madaraka=tutashaaa
 
Kundi la imani ya Nyerere lenye watu kama Warioba, Salim, Butiku, na wale wote wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere wamegawanyika katika imani yao kwa Makongoro, wengi hawamwamini, na wanaomwamini wanaamini kuwa atatawala nchi kwa maelekezo yao.
 
Wakuu nyakati za uongozi wa baba ake na izi n tofauti........acje angukia pua ka hawa wengine.....
 
Nimesikia tetesi hapa Butiama kuwa Mh. Makongoro Nyerere ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ana nia ya kuwania Urais kwa ticket ya CCM mwakani, taarifa zinasema kuwa Makongoro atatangaza nia hiyo muda wowote toka sasa.


Kila la kheri...

sidhani kama ni vibaya akigombea au kupata.. itatusaidia kutosikia sikia makelele ya watu mbalimbali ndani ya chama na kuzima expectation zilizopo kwa watu wengine wakiwa tayari wameshagawanyika kwa wagombea waliokuwa wanawatazamia.. keep on going... let us see what will happen..
 
Waambieni sa ivi tunachagua chama,sio mtu.Hata wamuweke malaika as long as ni CCM tunapiga chini.
 
Back
Top Bottom