Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

  • Makongoro namkubali kuwa mgombea na hatimaye kuwa rais wa nchii hii kwa awamu ya tano.
  • Nakumbuka enzi tuko shule Tabora boys (enzi hizo military school) alipokuwa form six alikuwa Rais wetu ( Chief student leader).
  • Shule ilikuwa na bajeti tofauti na shule nyingine - ration per student ilikuwa kubwa sababu ya mafunzo ya jeshi.
  • Waalimu walianza ufisadi wa kuiba chakula, pesa ya usafiri n.k tukawa hatushibi na huduma muhimu kupungua.
  • Zogo lilianza, Makongoro akatupa tuition ya mgomo.
  • Siku ya school baraza aliwapasha live staff wote waalimu raia na maafande kutoka Mirambo baracks waliokuwa watunapa mafunzo ya jeshi.
  • Wote walibaki midomo wazi hadi alipomaliza kuongea, wanafunzi wote tulisimama na kunyoosha ngumi kama za peopleoooozzziiiii na kuanza kusema" Tunalaani, tunalaani kulala na njaa, tunlaani wizi wa mali ya shule" n.k
  • Staff walifanya kikao - maamuzi ilikuwa kumpa barua akamwite mzazi wake - yaani J.K. Nyerere Baba wa Taifa.
  • Alienda - J.K. Alimtuma mkuu wa Mkoa Rutakyamirwa kumleta kijana shule.
  • Headmaster Alexander Ndeki aliamuru apigwe viboko sita mbele ya school baraza. ( Kama Kayanza alivyoamuru tupigwe tuuu)
  • Jamaa ana msimamo katika masuala ya msingi, wala haogopi yeyoyete. Akichukua nchi mafisadi watasimama dede na huenda tukarejea uchambuzi wa katiba mpya kuzingatia rasimu ya Warioba sio ile ya Nyoka wa Makengeza na Bwana 6.
  • Suala la konyagi hilo nidogo sana. Ratiba ya ikulu inalirekebisha tu. Mbona Karume junior aliweza, kwani hachanganyi vyupa!!!!?
  • Swala la degree nalo sioni kama lina mantiki, Mbona Profesa, Dr. J.K Junior a.k.a tezi dm ana vyeti kibao lakini delivery ni hafifu?
  • Likitokea hilo la Makongoro, kweli nampa kura. Mimi ni Ukawa, kazi yangu kwa ngazi hiyo nitakuwa nimemaliza naanza kupambana na wabunge na madiwani na katiba mpya!!!!!! Peopleooooooooooooozzzzzzzziiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!
 
Nimesikia tetesi hapa Butiama kuwa Mh. Makongoro Nyerere ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki ana nia ya kuwania Urais kwa ticket ya CCM mwakani, taarifa zinasema kuwa Makongoro atatangaza nia hiyo muda wowote toka sasa.

Kila la kheri...
Makongoro dhaifu hana maadili ya kupewa urais mhun tu. ..atageuzwa rmot...madaraka nyerere angalau
 
Namfahamu Makongoro Nyerere(walau kidogo). Ni jina la Baba yake tu ndilo linalompandisha majukwaani huyu bwana.

Nikweli kwamba, wakati fulani ana mawazi na hulka yakukemea maovu(rejea issue ya kuvua magamba na kauli zake kadhaa). Lakini, hana #Ethiks zakumfanya awe Rais au hata kiongozi flan mkubwa wa nchi.

Misha yake binafsi ni ushahidi tosha wa hayo ninayoyasema(sipendi sana niingie ndani zaid ktk maisha yake binafsi-social life).

Niwaombe muelewe hivyo.
 
Kimsingi Makongoro Nyerere anaweza kurejesha amani ndani ccm! Maana mpaka saa ivi ni vurugu tupu! Mpeni tu ili ukawa jasho liwatoke kidogo, maana huyo Lowassa ukawa watachukua nchi mapemaaaa
 
utaruka mkojo utakanyaga..........................
maendeleo hayajalibiwi!! tutarudishwa nyuma miaka 30 iliyopita...
 
  • Makongoro namkubali kuwa mgombea na hatimaye kuwa rais wa nchii hii kwa awamu ya tano.
  • Nakumbuka enzi tuko shule Tabora boys (enzi hizo military school) alipokuwa form six alikuwa Rais wetu ( Chief student leader).
  • Shule ilikuwa na bajeti tofauti na shule nyingine - ration per student ilikuwa kubwa sababu ya mafunzo ya jeshi.
  • Waalimu walianza ufisadi wa kuiba chakula, pesa ya usafiri n.k tukawa hatushibi na huduma muhimu kupungua.
  • Zogo lilianza, Makongoro akatupa tuition ya mgomo.
  • Siku ya school baraza aliwapasha live staff wote waalimu raia na maafande kutoka Mirambo baracks waliokuwa watunapa mafunzo ya jeshi.
  • Wote walibaki midomo wazi hadi alipomaliza kuongea, wanafunzi wote tulisimama na kunyoosha ngumi kama za peopleoooozzziiiii na kuanza kusema" Tunalaani, tunalaani kulala na njaa, tunlaani wizi wa mali ya shule" n.k
  • Staff walifanya kikao - maamuzi ilikuwa kumpa barua akamwite mzazi wake - yaani J.K. Nyerere Baba wa Taifa.
  • Alienda - J.K. Alimtuma mkuu wa Mkoa Rutakyamirwa kumleta kijana shule.
  • Headmaster Alexander Ndeki aliamuru apigwe viboko sita mbele ya school baraza. ( Kama Kayanza alivyoamuru tupigwe tuuu)
  • Jamaa ana msimamo katika masuala ya msingi, wala haogopi yeyoyete. Akichukua nchi mafisadi watasimama dede na huenda tukarejea uchambuzi wa katiba mpya kuzingatia rasimu ya Warioba sio ile ya Nyoka wa Makengeza na Bwana 6.
  • Suala la konyagi hilo nidogo sana. Ratiba ya ikulu inalirekebisha tu. Mbona Karume junior aliweza, kwani hachanganyi vyupa!!!!?
  • Swala la degree nalo sioni kama lina mantiki, Mbona Profesa, Dr. J.K Junior a.k.a tezi dm ana vyeti kibao lakini delivery ni hafifu?
  • Likitokea hilo la Makongoro, kweli nampa kura. Mimi ni Ukawa, kazi yangu kwa ngazi hiyo nitakuwa nimemaliza naanza kupambana na wabunge na madiwani na katiba mpya!!!!!! Peopleooooooooooooozzzzzzzziiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!

Si anayo degree ya Siasa na Masters ya International relations ya Scotland
 
Í this shīt ís real then huyu dogo ataharibu reputation ya baba yake. Í ask him not tó try ít at all
 
utaruka mkojo utakanyaga..........................
maendeleo hayajalibiwi!! tutarudishwa nyuma miaka 30 iliyopita...

Fafanua vizuri ndugu! Una maamisha makongoro akipewa nchi haitasonga mbele! Funguka vizuri
 
Ndugu,

Mtoto wa nyerere hawamchaguwi hata kugombea uraisi. CCM wanakazi kubwa safarii hii na watakalo ni kuzima moto wa znz, na moto wa tanganyika kwa wakati mmoja, MAKONGORO NYERERE sio solution ya TZ kwa muda huu
 
NIMEIPATA WHATSAPP...Imetimia, Makongoro Nyerere ndie chaguo rasmi la Kikwete urais.

Yericko Nyerere 11:38 Today

Wakuu,

Mtakumbuka wiki juzi niliwajuza kuwa rais Kikwete baada ya kuona ccm imekufa na hataki chama kizikwe mikononi mwake, aliomba ushauri kwa marais waastafu wa Afrika katika makutano yao kule Ethiopia. Walimshauri kua ajaribu kuokoa jahazi kwakukirudisha chama kwa familia ya mwasisi, Mama Maria Nyerere amajaribu kupinga suala hili lakini ameshindwa, washawishi hasa waandamizi wa dola wamekuwa na nguvu na hata vitisho.

Jana kulikuwa na kikao cha ukoo na wazee wa Musoma ili kupima na kuamua kumruhusu kijana wao mpendwa Makongoro Julius Nyerere kuwa ndie awe mrithi rasmi wa Kikwete.

Kikao hicho kimefanywa kwa ombi la rais Kikwete kwa wazee hao, ambapo wazee kwa kauli moja wamempa baraka zote kuwa kijana avae viatu vya marehemu Baba yake Mzee Julius Nyerere.

Baada ya jana kupata baraka zote, mda huu Makongoro amesafiri kutoka Musoma kuja Dar ambapo tayari ulinzi kwake umeimarishwa maradufu, sasa amepewa ulinzi mara nne ya aliokuwa nao hapo awali
 
Safi!
Huyo si fisadi!
UKAWA hapo mtakuwa na kazi ya ziada!
 
Safi!
Huyo si fisadi!
UKAWA hapo mtakuwa na kazi ya ziada!
Yule anayepiga tungi hadi anasahau anapokwenda!!! Mwalimu hakuwaandaa wanaye wawe viongozi Wa baadaye Wa nchi hii. Tofauti na tunavyoona sasa
 
Back
Top Bottom