Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

Tatizo lako kubwa ni udini,nakumbuka ulivyokuwa unashupalia mgogoro wa Ndanda High! utadhani ulikuwepo? Utakunywa sumu au hama nchi! nyamamf.....wewe!

Sasa unabadili mjadala kwa makusudi kabisa. Hivi mtu akiongea ukweli ndiyo mdini?

Nyerere nchi hii hatawali tena, wazee wa Dar walifanya makosa mara ya kwanza hawafanyi tena makosa hayo mara ya pili.

Labda safari hii Ikulu ihamie Mwitongo.
 
Hebu tafakari nchi hii angeongoza mkwere wako baada ya Mwinyi ingekuwaje?

Si ingepotea kabisa kwenye USO Wa dunia?

Hebu fikiri tunakusanya zaidi ya billion 800 kwa mwezi na bado serikali ina ukata Wa kutisha hadi Huduma za jamii zinadorora PESA zinakwenda wapi?

Huduma za jamii zingedorora ungekuwemo mtandaoni saa hizi. Fikiri
 
Nilikwambia nna shida ya mchango wako? au mwengine yeyote? unanchekesha!

AlhamduliLlah, sisi kwetu ubepari hatukuuanza wakati wa Nyerere, alipokuja Dar alitukuta tu mabepari zamani.
Sinamaana kwamba wewe huna uwezo,ila kuonyesha furaha yangu kwa wewe kuihama hii nchi,ikiwezekana pia uwabebe na Waislamu wengine wenye akili kama zako.This holy nation won't miss your absence at all.
 
Atakuwa na kazi kubwa sababu ya mafisadi "RICHMOND" na "ESCROW"

Ningekuwa na nafasi ningependa rais ajaye awe kama alivyotokea Mhe. Mkapa (mtu asiyefahamika na maskini)
 
sasa unabadili mjadala kwa makusudi kabisa. Hivi mtu akiongea ukweli ndiyo mdini?

Nyerere nchi hii hatawali tena, wazee wa dar walifanya makosa mara ya kwanza hawafanyi tena makosa hayo mara ya pili.

Labda safari hii ikulu ihamie mwitongo.

faizy ..hao wazee wa dar unaongelea wewe siku hizi wako wapi ??? Maana hata jeuri ya kuhidadhi asili ya dar watu wameshindwa .....wazee wa dar walikua kariakoo ...kina sykes ,tambaza,kyete , max mbwana,dossa aziz , john rupia ...kwa kifupi kipande kilichotengwanishwa na mnazi mmoja hadi mission quater [tbl] ...miaka ya baada ya vita vya pili vya dunia ilikuwa mitaa ya harakati nyingi zilizoongozwa na wenyeji ....
Sasa faizy niambie hao wazee wa dar ukifika mjini sasa hivi ni kina nani ?? Maana hatuwaoni kama ni wazaramu au wamanyema na wanyamwezi wakuloea bali ni watanzania .....
Hata walioachiwa uridhi mkubwa wa majumba kariakoo wameuza yote na kuhamia kimanzichana ,masaki, gezaulole ....
Sasa hivi wazee wa dar es salaam wapo wapo sana ...ni wazaramu,wapogoro,wagogo,wanyakyusa,wamasai,wasukuma,wachagga, wakwere ..wazee wa dar es salaam ni wa makabila yote ....
 
Huduma za jamii zingedorora ungekuwemo mtandaoni saa hizi. Fikiri

Ha ha kweli ndugu una shida,

Mtandao nitumiao unaendeshwa na kikwete? Au watu binafsi? Hujasikia mtandao Wa umma uliopaswa kunipa Huduma ya uhakika na kwa unafuu TTCL umefilisika? Huyo mkwere wako ameshindwa kuiinua TTCL anaruka ruka angani Kama mwewe....
 
"akili nyingi haizidi maarifa". Usisahau.

Angekuwa na akili angeiwacha nchi hohe hahe masikini wa mwisho duniani? Fikiri.

Akatokea mswahili mmoja tu wa unguja, mwenye akili kidogo lakini maarifa mengi akasema "ruksa" nchi ikaanza kurudi inapostahiki.

mtu yeyote mwenye akili fupi anashabikia ruksa ...sera iliyouwa ubunifu ,..uzalendo ..viwanda vyote ..na kutufanya wavaa chupi za mitumba ....
Kujenga uchumi kunahitaji uvumilivu ....hadi miaka ya 90 china walikuwa wanavaa kaunda suti nchi nzima ...na mchina wa kawaida hakuwa na nguo zaidi ya tatu....waliweza kuvumilia bila kuangalia nje nchi za ulaya wanavovaa na kula ..
Miaka ya 2000 kuja mbele uchumi wa china ukajitosheleza ndani na wakanza kwenda nje pamoja na kufungua milango ..ya uwekezaji ......ndio china ya leo wanavaa wanachokitaka na kula wanachokitaka ..
Mimi ni kati ya wanaoamini kuwa kama tungeweza kuvumilia kuvaa midabwada na kusikiliza radio ya mkulima na kujitegemea kiviwanda ...kuogea sabuni za mbuni na kupaka shanti na dawa za meno bonamed ,.....basi ni dhahiri leo tungekuwa kila kitu tunazalisha na kuuza nje wenyewe

typical tabia yetu sisi ni wavivu na kutaka kuiga ...na hatuna uvumilivu ...tukaanza kutamani kuvaa dingris jeans kama za wazungu ....kimantiki ...tukakubali kukaa na kuwa walaji wa vitu vinavozalishwa nje .....hiyo ndio adhari ya ruksa ..

Mzee mwinyi mwenyewe kwa maneno yake anatoa kasoro kwa sera yake ya ruksa ....na kukiri angepata wasaa wa kutawala tena ..asingeitekeleza kama alivyofanya ..." tulikuwa na shida tukafungua madirisha ..lakini tulisahau kuweka wavu....kwa hiyo kila kitu kikaingia ..mbu..,inzi..hadi wanyama ..." anasema mzee mwinyi
kimsingi tunaweza pia kuwalaumu washauri wake ....kwani mzee yeye alitoa mwelekeo wa kisiasa ..ilikuwa ni kazi ya wataalamu kuweka utaratibu wa sera ya ruksa ...mfano ingeruhusu tu kupokea vitu ambavyo tulikuwa na uhaba na ingeweka time frame ya kuweza kufanya mambo wenyewe ...na ingeendelea kusisitiza kujitegemea
lingine ni kuwa ..world bank na imf hawakutaka tanzania ijitegemee ..walitaka tuwe soko ...walimuhujumu nyerere na wakamlazimisha mwinyi kufunga baadhi ya mashirika ..ili watoe misaada ...
Nyerere pia alimshauri mwinyi kujadiliana na imf ....akimpa mfano wake kuwa yeye alikuwa na kiburi cha kubishana nao huko huko ...lakini yeye hangeweza kuendelea kubishana nao
 
Ha ha kweli ndugu una shida,

Mtandao nitumiao unaendeshwa na kikwete? Au watu binafsi? Hujasikia mtandao Wa umma uliopaswa kunipa Huduma ya uhakika na kwa unafuu TTCL umefilisika? Huyo mkwere wako ameshindwa kuiinua TTCL anaruka ruka angani Kama mwewe....

Naam, hiyo ndiyo sera yetu ya ubepari imeyaleta hayo kufikia kundeshwa na watu binafsi, ile ya Nyerere tumeivunja-vunja kwani ilikuwa hata TV hamna.
 
faizy ..hao wazee wa dar unaongelea wewe siku hizi wako wapi ??? Maana hata jeuri ya kuhidadhi asili ya dar watu wameshindwa .....wazee wa dar walikua kariakoo ...kina sykes ,tambaza,kyete , max mbwana,dossa aziz , john rupia ...kwa kifupi kipande kilichotengwanishwa na mnazi mmoja hadi mission quater [tbl] ...miaka ya baada ya vita vya pili vya dunia ilikuwa mitaa ya harakati nyingi zilizoongozwa na wenyeji ....
Sasa faizy niambie hao wazee wa dar ukifika mjini sasa hivi ni kina nani ?? Maana hatuwaoni kama ni wazaramu au wamanyema na wanyamwezi wakuloea bali ni watanzania .....
Hata walioachiwa uridhi mkubwa wa majumba kariakoo wameuza yote na kuhamia kimanzichana ,masaki, gezaulole ....
Sasa hivi wazee wa dar es salaam wapo wapo sana ...ni wazaramu,wapogoro,wagogo,wanyakyusa,wamasai,wasukuma,wachagga, wakwere ..wazee wa dar es salaam ni wa makabila yote ....

Utawajuwa tu siku ikifika.

Kumbuka, hakuna ataeingia Ikulu bila ridhaa ya wazee wa Dar. Hilo kumbuka sana tena. Azunguke Tanzania nzima hii kama wazee wa Dar hawataki Ikulu atauona uzio tu.
 
Naam, hiyo ndiyo sera yetu ya ubepari imeyaleta hayo kufikia kundeshwa na watu binafsi, ile ya Nyerere tumeivunja-vunja kwani ilikuwa hata TV hamna.

Wake za lowassa mko kazini,naona mnahaha balaa
 
Sinamaana kwamba wewe huna uwezo,ila kuonyesha furaha yangu kwa wewe kuihama hii nchi,ikiwezekana pia uwabebe na Waislamu wengine wenye akili kama zako.This holy nation won't miss your absence at all.

Haitotokea siku Makongoro atashika Urais wa hii nchi, hilo kumbuka.

Anatafuta umaarufu tu asiokuwa nao huyo hana lolote.
 
Naam, hiyo ndiyo sera yetu ya ubepari imeyaleta hayo kufikia kundeshwa na watu binafsi, ile ya Nyerere tumeivunja-vunja kwani ilikuwa hata TV hamna.

Hivi mbona unamsakama Sana Nyerere?

Nakwambia mchango mkubwa Wa Nyerere kwa nchi hii na kwingineko, heshima na umaarufu wake duniani hakuna karagosi yeyote hapa nchini alomfikia....

Huyu mswahili wako kajifaragua Sana kutafuta Sifa kashindwa mwishowe kaamua kuwa fisadi....

Utahangaika Sana kumchafua Nyerere hutaweza futa reputation wala heshima yake.....
 
Utawajuwa tu siku ikifika.

Kumbuka, hakuna ataeingia Ikulu bila ridhaa ya wazee wa Dar. Hilo kumbuka sana tena. Azunguke Tanzania nzima hii kama wazee wa Dar hawataki Ikulu atauona uzio tu.

WAZEE WA DAR WALISHATANGULIA MBELE YA HAKI ....INA INALILLAH RAJUUN ...RIP

WALIOBAKI NI BAADHI YA WATOTO WAO AMBAO WANAJIELEWA NA WAJUKUU ZAO KAMA FAIZY AMBAO WOTE WASHAUZA NYUMBA ZA URITHI NA KUHAMIA CHAMAZI...

WAZEE WA DAR WAPO SASA KINA KINGUNGE ,KINA MADABIDA ....MASSAWE ..MWAKALINGA ..NGOSHA ETC ..
Na huwa tunawaona ....

DAR KITU GANI ..IKULU INAHAMIA DODOMA ....!!
 
Hivi mbona unamsakama Sana Nyerere?

Nakwambia mchango mkubwa Wa Nyerere kwa nchi hii na kwingineko, heshima na umaarufu wake duniani hakuna karagosi yeyote hapa nchini alomfikia....

Huyu mswahili wako kajifaragua Sana kutafuta Sifa kashindwa mwishowe kaamua kuwa fisadi....

Utahangaika Sana kumchafua Nyerere hutaweza futa reputation wala heshima yake.....

Hayo unasema wewe, jionee halafu nioneshe za Nyerere:

US Doctors for Africa (USDFA) honored The President of The Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya M. Kikwete on May 20th, 2009 in Los Angeles, California. Mr. Kikwete is known by most as one of most respected and forward thinking leaders in Africa. As President of The Republic of Tanzania and as a former head of the African Union, Mr. Kikwete played a leading role in improving access to health care in Tanzania as well as through out the African Continent.

Chanzo: http://www.usdfa.org/index.cfm?views=inthenews
 
Ha ha ha we kweli hamnazo hizo tuzo za nchagoni ndo unajibetua nazo?

Huyo atafutika Kama vumbi baada ya October wakati Nyerere kafa miaka imepita but utafikiri yupo hai....
 
Back
Top Bottom